hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Ewe askari soma hii na uielewe

  2. M

    JamiiForums Tanzania TANESCO inakata umeme kutwa viongozi wamekaa kimya. Nchi hii sasa ipo tu hamna dereva

    TANESCO sasa hivi wanakata umeme bila ya kutoa taarifa. Halafu hakuna kiongozi anayefuatilia wala kuzungumzia ili suala. Ingekuwa Magufuli angeenda kushuhudia mwenyewe iko kina cha maji kama kweli kiko chini. Sasa hivi hata Waziri haendi sijui kazi yake ni nini yeye anapewa taarifa kama sie na...
  3. JamiiForums Tanzania TANESCO: Tuna upungufu, siyo mgao wa umeme. Wananchi endeleeni kuvumilia

    Akizungumza leo September 18 katika kipindi cha #Supa Breakfast cha East Africa Radio, Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO ndugu Maharage Chande amedai kuwa Tanzania hakuna kabisa mgao wa umeme bali kuna upungufu Wateja na wananchi watuvumilie katika kipindi hiki najua ni kigumu kuvumilika na...
  4. JamiiForums Tanzania Hata Mimi kwa Dharau hii ningekuwa Kocha wa Singida Fountain Gate FC ningewaachia tu Litimu lao

    "Kocha GENTAMYCINE tafadhali tunakuomba upange Kikosi kulingana na Ulivyoambiwa na Kocha wa Yanga SC Gamondi ambao ni Ndugu zetu na siyo upange ujuavyo Wewe sawa?" Boss Mkuu wa Singida Fountain Gate FC. Haya nae sasa Kawaonyesheni kuwa siyo Mswahili kama mlivyo / tulivyo halafu Anajiamini...
  5. JamiiForums Tanzania Mimi na Joannah tunatarajia kufungua Kanisa hivi karibuni ili kukabiliana na hii hali ya Uchumi

    Bwana Yesu asifiwe watu Mungu. Mimi na mama mchungaji Joannah Katika majadiliano yetu ya kukabiliana na hali ya uchumi,tumeonelea tuanzishe Biashara ya Kanisa ili nasi tujipatie kipato kizuri kama wafanyavyo wapambanaji wengine. Haikuwa kazi rahisi kulifikiria hili suala ila namshuku Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali imchukulie hatua kali za Kisheria huyu aliyemtesa Mtoto kwa staili hii

    Haijalishi hata kama atakuwa Mtoto ana makosa kiasi gani, hii sio namna sahihi ya kumuadhibu Mtoto. Tafadhali Waziri Dkt. Gwajima D tunataka kuona huyu aliyefanya hivi anafikishwa kwenye vyombo vya sheria Pia soma: Jeshi la Polisi linamsaka aliyemfanyia Mtoto Kitendo cha Ukatili na...
  8. JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

    Waziri wa OR-TAMISEMI akihojiwa na Clouds Media amesema... Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani. Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini dalili hii ya kubalehe haifundishwi hata shuleni?

    Habari wanaJf! Mimi sio mwandishi mzuri lakini naamini tutaelewana tu. Kipindi cha kubalekhe kina dalili nyingi ambazo tunazisikia na zaidi zinafundishwa mashuleni, dalili kama vile kuota matiti, nywele sehemu zilizojificha, kuvunja ungo na kuanza kupata wet dreams, hizi zinafundishwa ili...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa Jinsi maisha yalivyo ni bora dada zetu wakapewa hii siri Mapema

    Kwa jinsi watoto wakike wanavyoingia broke na kupoteza thamani yao, Ni bora hii siri wakaifahamu kuwa uzuri wa nje hauna msaada wowote katika kutoboa Maisha. Wanabidi kupambana kujiziboresha akili zao na sio kuhangaika na kuuboresha Mwili na kusahau kujiboresha ghorofani. Katika Dunia ya leo...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hii EATV mbona ina wachambuzi wapuuzi hivi?

    Hapa wanaandika eti Simba imerejea nyumbani kinyonge? Simba ilifungwa? Hapana Imeshatolewa CAF CL? Hapana Ina nafasi ya kusonga mbele? Ndio tena kubwa timu imetoa sare ya goli 2-2, yaani hata ikitoa sare ya bila kufungana (0-0) hapa tayari imeshapita, unasema imerudi kinyonge kwa sababu...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa watasha tu !

    Good morning jobless wenzangu natumai mko salama na matumaini ya kuijenga himaya kubwa siku za usoni japo mbele kuna kiza kinene. Twende hapa tujifurahishe Weka dhanio unatakiwa kutoa sare kwenye huu mchezo kwa maana kushinda haiwezekani , kete ipi utasukuma kupelekea mchezo huu kuisha sare.
  13. JamiiForums Tanzania Kwa Tabia zangu Zilivyo. Ningeambiwa nichague kuwa Yesu Masihi Au Mtume Muhamad leo hii

    Wala nisingepepesa macho. Ningechagua kuwa Mtume Muhamad. Tabia zangu na zake zinaendana sana. Napenda sana maisha ambayo aliishi kutokana na tabia zangu. Maisha ya Yesu Masihi yalikuwa magumu sana na ya kubore. Hayakuwa na chereko chereko, hakuwa aki enjoy life. Mimi ningeamua kuishi kama...
  14. JamiiForums Tanzania Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kupata hii tamthilia ya Kiswahili

    Wakubwa nakuja tena kwenu kwa mara ya nne,naomba mtu anayejua mahala nakoweza kupata tamthiliya ya SIRI YA MTUNGI ikiwa imekamilika. Youtube kuna episodes chache tu.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Hii ina maana ipi

    Mnaofatilia ziara ya mama huko newala, mkuu wa wilaya katolewa jukwaani, baada ya wananchi kufanya fujo na vurugu. Toti wapo Wana tumbuiza apa Hali ni mbaya sana.
  17. JamiiForums Tanzania Ndoa ilikufa kutokana na sababu hii

    Sina maneno mengi sana leo ila wacha niwape ukweli kuhusu kufa kwa ndoa na sababu iliyo sababisha. - Pale tu walipo ruhusu mwanamke atafute pesa kwa udi na uvumba kama mwanaume ndipo ndoa ilikufa mazima. - Pale tu walipo ruhusu usawa wa kijinsia ndipo ndoa ilijifia. - Pale tu waliopo ruhusu...
  18. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Kramo imenihuzunisha sana

    Yoyote anayemtesa huyu jamaa kwa misumari basi ajue anatukosea sana wapenda kabumbu. Halafu kwanini wachezaji wazawa wanawabagua wachezaji wageni hapo lunyasi? Hata picha inajieleza tu
  19. D

    JamiiForums Tanzania hii propaganda ( PR)🙌 CAF anaipa Yanga, kama rushwa.

  20. JamiiForums Tanzania Workstation kama hii naweza kufanya kazi gani na nikaingiza kipato ndugu zangu?

    Habari za muda huu ndugu zangu wana JamiiForum, naomba niende moja kwa mija kwenye mada, nataka kuandaa workstation kama hii nyumbani kwangu, na mimi sio mjuzi sana wa mambo ya mitandao ila napenda sana kufanya kazi online, mpaka sasa nimesha nunua monitor mbili 27inch HP, nina computer (laptop...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…