hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi mlisema wanawake wa aina hii wanapatikana wapi hapa nchini?

  2. JamiiForums Tanzania Naomba Mungu sana niache pombe

    Pombe pombe pombe. Mimi sio mnywaji sana. Ila kuna utumwa wa pombe siupendi. Kila bada ya siku 3 nahitaji bia. Inakuwa ngumu sana kuimaliza wiki https://youtu.be/W46HKkXzX0A?si=iaS7E3n394FnuaFg
  3. JamiiForums Tanzania Hii ndio solution ya hili tatizo

    Tatizo ni nini? Sasa hivi kumekuwa na hofu kwa baadhi ya watu wanaokula samaki Sato na Sangara kutoka ziwa Victoria baada ya riport kuwa wakazi wengi wa kanda ya ziwa wanapata kansa na hili sio tu Tanzania imegundulika hata kwa upande wa wenzetu Uganda na Kenya kwenye jamii zinazozunguka Ziwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii Challenge Coin aliyopewa Sugu na Balozi wa Marekani ina maana gani?

    Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle baada ya kumtembelea Mwekezaji wa Kimataifa, Bilionea Joseph Mbilinyi, mwisho wa Mazungumzo yao alimpatia Sugu zawadi inayoitwa CHALLENGE COIN. Hii Challenge coin ina maana gani hasa, na ni Watanzania wangapi wamepewa, na kwa vigezo vipi?
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje ndugu zangu wazazi

    Mimi ni kijana mwenye mtoto wa miaka 5. Nina ukaribu sana na watoto yaani kwa kifupi mimi hupenda sana michezo na kuhakikisha watoto wanapata furaha na kucheka. Uzuri wangu mtoto akikosea huwa sipendi masihara nae, anakula mboko za kutosha. Najiepusha nisimpige kwa hasira sana kwa mikono au...
  6. JamiiForums Tanzania Kuna mtabiri alisema Dar itajaa maji tukimbilie Kibaha. Je, ni mvua hii au tusubiri nyingine?

    Imeandikwa Mathayo 10:41-42 "If you honor a prophet, you will receive a prophetic reward" yaani kama utamtii Nabii basi unabii utakusaidia, tumeamua kumtii nabii na tunamuuliza: Je, ni mvua hizi zitakazo sababisha bahari imwage maji na kuifunika Dar au tusubiri mvua nyingine?
  7. JamiiForums Tanzania Kheri ya siku yako ya kuzaliwa kipenzi cha Wananchi 𝐆𝐒𝐌

    Leo tarehe 19.11.2023 siku hii inaitwa #GSMDay na Wananchi wote tunajumuika pamoja kusherekea siku hii maalum.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Soma hii upate mawili matatu: Jinsi graduate nilivyojikwamua na kuingiza milioni 10 nje ya ajira

    ...
  9. JamiiForums Tanzania Ipe maneno picha hii

    Weka maneno kwenye picha hii…
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwa mtu yoyote anaetegemea kuanza biashara kwa kufunga mzigo Kariakoo

    Hellow members, kama wewe unategemea kuanza biashara na unatarajia kufunga mzigo wa biashara Kariakoo basi hii ni ya kwako. Ipo hivi hapa nina vitabu viwili nimekuandalia vitakavyokupa muongozo wa kupata machimbo ya bidhaa kwa bei ya jumla nzuri sana ndani ya soko la kariakoo. Vitabu hivi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nitajieni biashara nyingine inayotoa faida kama mikopo ya kausha damu!

    Kausha damu: Unawekeza mtaji wa shilingi 1,000,000, unavuna faida ya shilingi 300,000 mpaka 400,000 kwa mwezi. Nitajieni biashara nyingine kama hii. Tunaposema hii mikopo ni kausha damu na initia watu umasikini, basi hicho ndicho kinachofanyika. Hivi leo hii ukipewa mtaji wa shilingi 1000,000...
  12. JamiiForums Tanzania Taarifa hii ya TANESCO ni kielelezo cha kukosa weledi hasa wa mawasiliano

    Hivi TANESCO wamesahau kwamba Nyakato Mwanza wana MW 60 kwanini 36 MW? 24MW zimekwama wapi? Mitambo ya maji iko kwenye ukanda ambao mvua hazijaanza kunyesha? Wanafikiri wayu wa Dar es Salaam watawaelewa wakiwambia mvua hazipo?
  13. JamiiForums Tanzania TFF hii inaiimarisha Yanga kwa uonevu

    Mashabiki wa Simba wamempiga shabiki wa Yanga uwanjani lakini TFF haikutoa adhabu kwa Simba badala yake imewatafuta waliompiga TU na kuwapa adhabu hao tu. Kwa timu nyingine TFF haitafuti mashibiki wao waliokosea uwanjani badala yake wanatoa adhabu kwa timu nzima kwa makosa ya mashabiki wao...
  14. JamiiForums Tanzania Mkristo ni Mungu. Bila kuamini hivyo huwezi kuwashinda miungu watu na miungu yao

    Sio mara ya Kwanza Mungu kuwafanya wanaomufuata Mungu. Ili Musa amvae Farao ambaye kwa kimisri alikuwa anahadhi ya muungu alimfanya kuwa mungu kwa farao. Kuna watu ni miungu, kuna miungu mingi, ukiwaface kama binadamu watakushinda, lazima uvae cheo chako cha umungu ili uwe juu yao. Biblia...
  15. JamiiForums Tanzania Fahamu chuki ni tatizo la kifikra zaidi na dawa yake hii hapa

    Sisi binadamu namna yetu rahisi ya kuelewa na kukumbuka mambo ni kwa kuyaweka mambo katika makundi mfano tunawagawa watu katika makundi kama marafiki, ndugu, watoto, maadui, warefu, wafupi, n.k. Makundi haya yanatusaidia kujenga picha ya haraka hata kama wakati fulani hatuwezi kuelezea wazi wazi...
  16. JamiiForums Tanzania Picha: Hii ramani inatumika sana kueneza uwongo wa mashabiki wa magaidi ya HAMAS humu

    Ramani ya kwanza inayotumika kueneza uwongo, ila ramani ya pili ndio yenye uhalsia
  17. G

    JamiiForums Tanzania Je, ushawahi kukumbwa na hali ya kumchukia mtu bila sababu?

    Je, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu? Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani, hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi hata kumuona tu.
  18. N

    JamiiForums Tanzania Je naweza kupata huduma ya E-sim kwa simu ya namna hii?

    Habari waungwana! Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Nahitaji kutumia huduma ya E-sim ambayo siku hizi makampuni yetu ya huduma za mawasiliano yameileta nchini. Je, kwa simu aina ya samsung A04 ina support kupata huduma hii? Nimeona nije kwa wajuzi wa haya mambo. Karibuni kwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  20. JamiiForums Tanzania Eti Kwa hii picha na hizo logo huyu ni mchezaji gani?

    Mdau wa michezo hasa soka, unadhani Mchezaji huyu aliyecheza katika klabu husika zilizotajwa kwa Mfumo wa Nembo anaitwa nani?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…