hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Kamishna wa Uhamiaji Manyara amejibu hoja Kisomi; ni kweli katika macho ya sheria gari na bendera siyo mali ya CCM; CHADEMA kuweni makini na hii move

    Kilichojibiwa na Idara ya Uhamiaji ndicho kinachoitwa majibu katika macho ya sheria. Si kila bendera ya kijani ni bendera ya CCM na siyo kila bendera ya kijani yenye nembo ya CCM siyo mali ya CCM. Kamishna wa Uhamiaji Manyara amepewa nguvu ya kufanya uchunguzi kwa mijubu wa sheria ya Uhamiaji...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  4. JamiiForums Tanzania Mganga atabiri matokea ya Simba na yanga yatakavyokuwa dhidi ya wapinzani wao mwishoni mwa week hii

    Wadao wa simba na yanga mnasemaje? 😃😀
  5. JamiiForums Tanzania Pata Wazo Zuri la Biashara ya Mtandaoni Kwa Kufuata Formula Hii

    Hello wanajamii, Baada ya kuwasaidia zaidi ya wafanyabiashara 3000 kujenga biashara mtandaoni, moja ya swali ninaloulizwa sana na watu ni formula nzuri ya kupata wazo zuri la biashara. Nimejibu swali hilo katika video ifuatayo: https://www.youtube.com/watch?v=oN9ZQWzAoxk Enjoy. Kama una...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Pangani: Taka hatarishi za hospitali zinaokotwa ufukweni, Serikali ichunguze wanaofanya michezo hii

    Wilaya ya Pangani, Kijiji cha Ushongo Mtoni kumekuwa na taka hatarishi za hospitali zinazoonekana ufukweni. Wanakijiji wameshuhudia Drip, Sindano na chupa za dawa mbalimbali ufukweni. Kuna Hospitali au Kituo cha Afya ambacho haifahamiki kinatupa taka zake baharini, yawezekana zinatoka hata...
  7. JamiiForums Tanzania Wanawake hawanitaki, nahisi nina mkosi mkubwa

    Salam za wakati huu jamvini, naimani hamjambo na wazima wa afya kabisa na mnaendelea kulijenga taifa la mpate japo kitu kiende kinywani. Bila kupoteza muda na kuifupisha makala hii, naweza kusema kuwa napitia wakati mgumu sana pale ambapo naona binadamu wenzangu wakidekezana wao kwa kao (male +...
  8. JamiiForums Tanzania Nafikiri hii ndiyo sababu ya matajiri kuitwa katili wasiyo na utu

    Habari wanajukwaa, Heri ya Kwaresma kwa ndugu zangu wakristo. Ramadham Kareem kwa ndugu zangu waislam. Kama ilivyo kwa wengi, katika harakati za upambanaji unajikuta una team up na wadau kadhaa katika kujaribu kuona ni namna gani mnaweza mkayafikia malengo kwa ukubwa, haraka na unafuu. BAsi...
  9. JamiiForums Tanzania Nauza hii ShowCase

    Showcase ilo sokoni hii kwa wale wauza simu na bidhaa zake inawafaa zaidi au hata kama hufanyi hiyo biashara ila unaona inakufaa pia unakaribishwa.... Bei ni 235,000 Ipo Sinza madukani Mawasiliano 0718905208
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo historia Watanzania wengi tunahitaji kuijua, Ili tujue maisha ya nyuma yanaugumu kiasi gani.

    Fikiria au imagine kwa dakika moja tu, kwamba ulizaliwa mwaka 1990, Ulipofika miaka 14, ikatokea vita ya kwanza ya dunia, ambayo iliisha ukiwa na miaka 18, na watu zaidi ya vifo milioni 22 vilitokea. Ukiwa na miaka 22, ugonjwa wa spanish flu global pandemic ukaua zaidi ya watu milioni 50...
  11. JamiiForums Tanzania Wadau wa season natafuta hii

    Wakuu kwa mwenye season ya kikorea inayoitwa THE HEALER main theme anisaidie maana nimeitafuta kwa kipindi kirefu bila mafanikio Nimeitafuta YouTube wameifuta msaada wakuu
  12. H

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini na matapeli wa "ile pesa tuma kwenye hii namba". Ni kama vile wanapata taarifa tunapofanya miamala

    Jana nimemaliza tu kuwasiliana na mtu kwa njia ya simu ya sauti na kunisisitiza pesa nimuwekee kwenye namba yake ya airtel. Nakata simu dakika moja mbele napokea hii text. Hii inaweza kuwa ni bahati mbaya kweli au hawa matapeli wana-pata mawasiliano yetu.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaharakati wengi waliovuma kipindi cha Magufuli wamepoteza umaarufu wao awamu hii?

    Kipindi cha Magufuli tulishuhudia kuibuka kwa wanaharakati wengi mtandaoni Kuna ambao walikuwepo tangu zamani lakini umaarufu wao ukaongezeka mara dufu kipindi cha Magufuli na wengine hawakuwahi kuwepo kabisa katika harakati za siasa kabla ya urais wa Magufuli Baadhi ya Wanaharakati hao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Hii mialiko ya futari inafikirisha. Sasa imeshakuwa trend!

    Hi tabia ya kualikana futari ni ya muda mrefu na ni jambo jema kama linafanywa kwa kuzingatia misingi bora iliyowekwa. Essence ya kualikana futari ni kushare na wale wasio na uwezo wa kupata hiyo futari lakini trend iliyopo ni kualikana wenye nazo kwa wenye nazo. Kwa kweli inafikirisha...
  15. JamiiForums Tanzania Hii ndio nchi ya Uganda

    -Baba (Yoweri Museveni) ni Rais -Mama (Janeth Museveni) ni Waziri wa Elimu -Mtoto (Muhoozi Kainerugaba) ni Mkuu wa Majeshi, CDF Waafrika bado tuna safari ndefu sana.
  16. C

    JamiiForums Tanzania Hii

    Hii
  17. JamiiForums Tanzania Hivi hii ya mtoto wa kwanza kuwa makamu wa wazazi ni Tanzania pekee au kote?

    Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
  18. JamiiForums Tanzania Mwenye shida ya uzazi soma download hii doc

    Kuna kipindi nilikuwa sina watoto, miaka nenda rudi, nilitafakari maneno haya na kumwambia Mungu kuhusu haya, Mungu alikuja kufungua tumbo la mke wangu, nina watoto hadi tunapambana kuzuia mimba wasije wengine. Mungu ni wa ajabu sana. WATOTO NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU Mwanzo 1 :28, Mungu...
  19. JamiiForums Tanzania Umekutana na hali kama hii kwenye usafiri wa umma, utampisha nani?

    Kwako mdau, vuta picha upo kwenye usafiri wa umma na hali ndiyo hiyo. Je, utampisha nani?
  20. JamiiForums Tanzania Waziri wa Michezo anataka kuua uchumi katika tasnia ya michezo, tujitokeze kulaani kauli zake

    Kufatia kauli ya Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro kuwa watawashughulikia wale wote watakaokwenda kuwapokea na kuwashangilia timu pinzani nje na Tanzania ni uamuzi wa kupigwa vita kwani unaenda kuua soka na hata uchumi wa timu zetu. Imagine mashabiki wananunua jezi za timu pinzani na hata kuingia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…