hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lema: Nikiwa na Wenje, Heche na Msigwa makamu Tundu Lisu alituhakikishia Nafasi atakayogombea Mbowe basi Yeye hatachukua fomu!

    Godbless Lema ameandika ukurasani X Halafu wakitoka hapo wanasema CCM inatoa Fomu Moja Siasa za Tanzania pasua kichwa sana aiseee ==== Nimeona andiko la BOB Wangwe na maandiko mengine ya watu wengi pamoja na ushauri wake. Jibu langu kwenu ni hili ,tukiwa Arusha mahali fulani kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Maboresho makubwa yafanyike idara ya elimu kwani hii ndio idara mama

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Elimu ya sekondari imekua ni muhimu kwa watu wote (elimu msingi), lengo ni kuwa kila mtu walau afike kidato cha nne. Ni jambo jema....lakini kumekua na changamoto nyingi kiasi cha kushindwa kufikia malengo kwani pamoja na kwamba kila mtu...
  3. JamiiForums Tanzania Single mother wote nchi hii karibuni mkoa wa Mara,Ukuryani, kwa nini uteseke? Kwa nini ujione kama ulikosea hii dunia? Hakika hutojutia

    Slogani yetu sisi wakurya "Tunataka watu,na kitanda hakizai haramu " Nashangaa mdada unateseka huko uliko kisa huna mume na huwezi kuolewa kisa una watoto wako uliozaa na mwanaume mwingine huku ukiwaza watoto wako wataishije mbeleni? Sisi Ukuryani tunataka watu,njoo na wanao utaolewa na majina...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hatuna taasisi inayochunguza ubora wa huduma zinazotolewa kwenye hii mighahawa hapa nchini?

    Siku hizi ukiingia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan sisi wazawa wenye rangi nyeusi yakituhumu ubaguzi katika kutoa huduma kwa wateja wenye ngozi nyeusi kwenye hii mighahawa ya kitalii. Ukisoma maoni kutoka kwenye malalamiko ya mtoa hoja unakuja...
  6. JamiiForums Tanzania Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa??

    Kigoma na Lindi nani kawaroga hii mikoa? Kwenu wahusika Pia, soma Wana Kigoma embu jengeni kwenu Mbona Lindi iko unpopular sana? Shida ni promotion au wakazi?
  7. JamiiForums Tanzania Ney Wa Mitego You are The True Son Of Your Father. Kwenye hii ngoma yako mpya " Bachelor" umeweza sana kaka. Hakuna swali.

    Kwenye hii ngoma yako kama ingekuwa ni demu basi ni Beyonce Knowles. Na kama ingekuwa mchezaji wa mpira wa miguu basi ni Said Mwamba Kizota au Haruna Moshi Boban. A very catchy melody . Ni aina ya wimbo ambao hata ukiusikia kwa mara ya kwanza unakukumbusha sehemu ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa upande wangu siwezi KUMCHANGIA aliyefia Uturuki akifanya surgery ya urembo

    Mmepita huku insta mkaona harambee ya watoto wa mjini?? Wanachangisha michango Ili kuleta mwili wa dada mmoja aliefikia uturuki katika harakati za surgery ya kuweka makalio, kwahyo inasemakana ndugu na marafiki hawana uwezo. Wa Kusafirisha mwili kuja Tanzania. Nataka kujua hivi hizi surgery...
  9. JamiiForums Tanzania Wapi pa kurekebisha Thamani hii?

    Wakuu habari za majukumu.Mtaalam àmenipa hii draft ya ramani.Naomba Maombi wapi pa kurekebisha.Niayangu ni Nyumba ya Vyumba 4 Vyote Self,inaweza kutumika Kijijini lakini watu wakiondoka inakodishwa kama AirBnB/Apartment Kwa anayehitaji. Ahsante
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio maana au tafsiri halisi ya wadudu

    Hapo vip!! Nimeona niwape tafsiri halisi ya hili jina la wadudu kutokana na waazilishi wenyewe. Kama unavyoelewa Arusha ni mji ambao ukikaa vibaya unasababishiwa mauvi chap. Kwanza kwa tafsiri ya kawaida mdudu ni kiumbe kidogo ambayo kinaweza kuishi ndani ya kiumbe kingine..mfano kuna...
  11. JamiiForums Tanzania Umemtambua yupi kwenye hii legendary picha

    Challenge kwenu wadau
  12. JamiiForums Tanzania First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy Kramo Miquissone/Karabaka Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni kuchanganyikiwa au kunogewa kwenye mapenzi?

    Nipo kwenye mahusiano na mlimbwende mmoja (mchepuko); ambaye ameamua kuwa na mimi pale mama watoto anapokuwa mbali nami kijiografia. Nimekuwa nampa shoo za ukweli mara kwa mara, na hii imempelekea kila siku jioni lazima alazimishe tuonane. Tangu wiki iliyopita hataki kuniachia nafasi, akitoka...
  14. JamiiForums Tanzania Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

    Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua. Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
  15. JamiiForums Tanzania Hii mikopo ya simu bora kausha damu, Serikali iiangalie aisee

    Aisee hii mikopo n balaaa inatesa wamama wengi sana ingawa hawajajua Majuzi nilikuwa napiga kwa shemeji yenu, ana simu mbili, ya kwanza ilibaki nyumbani ya pili piga kimya haipatikani na kaaga anaenda kanisani. Nikamuuliza aliporudi vipi mbona umezima simu, sio mimi wenye simu zaoo sijalipia...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio Zanzibar

    Bonjour, Hapo Zanziba usipofunga unakandikwa bakora lakini kufiran.a ruksa. Unashangaa ?! Watakwambia suna yakhe. Watu ma tamadudini za Arabia hasa hawa simbilisi weusi wavaa kanzu ni wanafiki sana wenye chuki na kupenda ghasia na vurugu. Kwao vurugu ni ushujaa. Ukidadisi hata kitabu chao cha...
  17. JamiiForums Tanzania Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Awataka wabunge wa Zanzibar kuanzia sasa wachangie Wizara zinazowahusu, Awataka wawe wanatoka nje pale bunge linapojadili mambo yasiyo ya Muungano, sio wanatujazia foleni ya kuongea hata kwa mambo yasio ya Muungano. Ally Kessy Mbunge wa Nkasi(CCM), amesema Wazanzibar waache kuwanyonya...
  18. JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya kuondoa hii message kwenye desktop au pc?

    How to fix this message?
  19. G

    JamiiForums Tanzania Biashara nyingi zinazofanikiwa Tanzania ni ushirikiano wa familia na ndugu wa karibu, bila hii silaha unaweza kuichukia biashara, heri ujaribu ajira

    Mifano ni matajiri wengi tunaowajua kina Mo, Bakhresa, GSM, ni biashara za familia na ndugu wa karibu, ni team work. Pia kwa upande wetu watanzania wa asili ukienda kwenye masoko makubwa utawakuta wengi wanaofanikiwa ni biashara za familia na ndugu wa karibu wanapambana pamoja, ukienda ofisi...
  20. JamiiForums Tanzania Napata shida sana kutumia hii app mpya ya JF.

    Haya maboreho kwenye hii app ya jamiiforums.com kwangu naona ni kero sana kuitumia. Kwanini hawa kubaki na muonekano ule ule wa zamani ulikuwa unampa mtu urahisi wa kutumia. Hii ya sasa hakuna tofauti kati ya anaetumia app na Web. Kioo kimeminywa, hebu angalia kama hiii picha hapa chini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…