hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye hii picha bado sana

    Atcl Zetu zimeshapaki. Zimechoka. Hazipendi kuzurura usiku.
  2. T

    JamiiForums Tanzania Watu wameishi zaidi ya miaka 30 eti wanafunga ndoa Kesho? Wakristo naomba mnieleweshe

    Lakini nimestaajabu sana aisee eti watu wanafunga ndoa Kesho na hapo wamekaa bila kufunga ndoa na wamezaa watoto zaidi ya 4 sasa hlyo imenistaajabisha sana aisee kwahiyo kipindi hicho walikuwa wanazini. Na huyo mtu hakufunga ndoa na alikuwa muhubiri au katekista wa kanisa Fulani sasa hao watu...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii hata kama huyu kijana ana akili, uonevu umepitiliza

    Huyu ni jamaa nilikuwa nimesoma naye shule ya msingi na sekondari, huyu jamaa kweli alikuwa ana akili sana, sasa nimekutana naye juzi kati duh! maisha yake tuliotegemea ayaishi sio yale niliyomuona naye, basi tumekaa naye akanisumulia mapito yake. Kiukweli nilijikuta machozi yananitoka from no...
  4. JamiiForums Tanzania Mtanzania gani ataweza kuja kuweka rekodi hii? Rais Samia alishaweka rekodi zake.

    Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Rais. Waziri Mkuu wa kwanza kuwa Makamu wa Rais. Mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Jaji Mkuu. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Majeshi. Mwanamke wa kwanza kuwa Mkuu wa Polisi (IGP). Mwanamke wa kwanza kuwa mkuu wa Magereza. Mwanamke wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hii ni kwanini sina chuki nawanawake

    Tuliombre mno taifaletu pendwa, At this age above37,nimeona mengi na nimekwepa mishale mingu mno,haikua kazi rahisu Leo naomba nishee nanyi sababu za kwanini sina chuki moyoni mwanguna wanawake,au jinsia ke, tofauti nawengi humu wanaoeneza sumu kwa wannawake . 1)malezi ya udogoni, Udogoni...
  6. JamiiForums Tanzania Ni kweli kuna wakati kulikuwa na wachuna ngozi za binadamu nchi hii?

    Miaka ya tisini nilikuwa nasikia sana stori za uchunaji ngozi maeneo mbalimbali ya nchi, stori zenyewe zilikuwa za kutisha sana kwamba watu wanamkamata mtu hasa watoto wadogo wanawachoma sindano fulani ngozi yote inaumuka kisha wanaichana na kuivua tu. Hizi story za uvunaji ngozi ya binadamu...
  7. JamiiForums Tanzania Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  8. JamiiForums Tanzania Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali

    Rejea kichwa Cha thread...... Serikali Iko vizuri ni wabunifu.... Walimu mlioomba ajira mpya jiandaeni na interview, hii itaondoa malalamiko. Hongera serikali
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mara nyingi wanawake hawaoini kuna tatizo na huzoeana kama mabesti na gays, hii imechangia sana kundi kubwa la gays kuwa watoto wa single mothers.

    wanawake wengi wanaona hakuna tatizo lolote kwa mwanaume kushiriki ama kuwa na viashiria vya mapenzi ya jinsia moja, kwao huchukulia ni sawa tu.. Tumeshajionea mpaka mitandaoni wanaume wanacheza vigodoro na wanasifiwa sana na wanawake, wanawake hawaoni kuna tatizo lolote. Mwanaume anavaa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa wizara na taasisi za Wizara ya Mambo ya Ndani mkeka wenu unakuja kama siyo leo usiku basi wiki hii

    Malalamiko mengi yamepelekwa kwa Waziri wa Mambo ya ndani na viongozi wake. Maeneo yanayolalamikiwa zaidi ni 1. Utekaji 2. Wananchi kunyimwa dhamana na kushikiliwa kinyume cha sheria 3. Viongozi wa chama cha mapinduzi kusafirisha wahamiaji haramu kwa mashangingi bila kuchukuliwa hatua 4...
  11. JamiiForums Tanzania Uongozi unaoacha alama hii ndio faida ya bomba la mafuta

    Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
  12. JamiiForums Tanzania Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi

    Jenga nyumba ya hivi kupunguza gharama za ujenzi ila zile za hidden roof ni hatari kama ukipata fundi mbaya hizi hakuna nondo nyingi. Kama unataka kuwasiliana na mimi 0743257669
  13. JamiiForums Tanzania Hii ndoa itadumu kweli?Baba wa bibi harusi amruhusu mkwe wake kurudi saa nane usiku mbele ya waalikwa

    Niliwahi kuleta uzi humu kuwa ukitaka kujua wazee wa ovyo wanaongezeka kwa kasi nenda harusini.. Leo nimeona clip mtandaoni baba anamwambia binti yake kuwa ole wake siku alete kesi kwake kuwa mumewe amerudi saa nane za usiku... ,akaendelea kudai kuwa hiyo ni kawaida sana kwa wanaume, Kichaa...
  14. D

    JamiiForums Tanzania yanga wasije sema barua ya kumkataa manara mashabiki hatukutuma wala kutoa ushauri. barua hii hapa

    as young Africans fans we did our work. the management shouldn't come forward we did advice them or sent letter of concern. if chaos happens. it's Hersi and management fault.
  15. JamiiForums Tanzania Kwa hali hii utaweza?

    Mara pap umepata demu anayekula sana sana. Umemualika demu home halafu ukajipinda kupika . Kufika ukamkaribisha kidogo , kafuta chote , unaremba remba anapiga na ya sahani yako. Je utaaendelea naye au utamwacha kwa halii hii ya bajeti ya nchi
  16. JamiiForums Tanzania Xiaomi wamezindua SU7 Ultra: Hii Hyper ina 1500+ HP

    Wapenzi wa magari especially EV na hybrid. Kampuni la Teknolojia kutoka China, Xiaomi kupitia kitengo cha Xiaomi Auto wamezindua gari jingine, SU7 Ultra, ambayo ni kama muendelezo wa SU7 EV. Kwa design, hii ni Sport sedan ikiwa na milango minne. Muonekano wake sio mgeni machoni mwetu, wamekua...
  17. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani kwenye kanisa katoliki

    hi
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe ni CCM! Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu?

    Inawezekana Freeman Mbowe amejiunga na CCM indirectly kutokana na his selfish ambition ya kutaka kuwa Mwenyekiti wa milele chadema. Amekubali vipi kumpotezea Lema, Msigwa na Lissu vipi Halima ya John Heche..?
  19. JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira hii imekaaje?

    Wanajukwaa salaam! Kilicho nisukuma kuandika uzi huu ni baada ya kushuhudia vijana wengi wakikata tamaa na kujutia maamuzi yao ya kujiendeleza kielimu kwa kukosa haki za kuajiriwa serikalini. Kama tujuavyo, nafasi za kazi zote za serikali hutangazwa na huombwa kupitia mfumo wa sekretarieti ya...
  20. JamiiForums Tanzania Huenda Rais Biden, akajiondoa /akalazimishwa kujiondoa kinyang'anyiro Cha Urais 2024?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…