hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Chagua idea ya nyumba unayopenda ili nikubunie ramani ya kuendana na uchaguzi wako

    Unaweza kutana na picha nzuri ya nyumba na ukapenda nyumba utakayojenga ifananie hivyo hivyo. Kwa gharama ya Tsh 50,000 nakuchorea ramani na makadirio ambavyo vitaendana na muundo wa hio picha ya nyumba utakayo kuwa umechagua. KARIBUNI. WHATSAPP: 0755325977
  2. JamiiForums Tanzania Safari hii viongozi wa Simba wametu win mashabiki.

    Mara baada ya mchezo, viongozi wa Simba wakakimbilia mitandaoni kutuhadaa kwa kumtupia lawama goal keeper na Mwamuzi wa mchezo. Wamesahau kuwa yanga jana walituongoza kwa kila kitu kuanzia Possession hadi idadi ya nafasi zilizo tengenezwa kwani walicreate clear chance 4 za magoli ni uzembe wao...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye Haki za Wananchi, Awamu Hii, Nchi Ipo Kwenye Hali Mbaya Kuliko Awamu Yoyote

    Nchi yetu inapitia kipindi kigumu ambacho hakijawahi kuwepo tangu Taifa liwepo. Japo kumewahi kuwepo malalamiko mbalimbali kuhusu usalama na haki za watu, lakini hali haijawahi kuwa mbaya kama ya awamu hii. Kwenye awamu zilizopita, mathalani wakati wa utawala wa Kikwete, Dr Ulimboka alitekwa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ni kwa wana-Simba wanaoijua football

    Naona maneno ni mengi kila mtu anajaribu kuongea anachokijua, hila kwa wanasimba wanaoijua football vizuri sidhani kama watakua wanaumia na matokeo haya Wanasimba wanajua kua wapo kwenye kipindi cha mpito bado wanatengeneza timu, na wanasimba wote wanajua hichi kitu, tatizo naona lilikuja mara...
  5. JamiiForums Tanzania Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  6. JamiiForums Tanzania Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  7. JamiiForums Tanzania Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake

    Kuna Baadhi ya wanawake wana date na wanaume waliooa Usimwamini mwanaume ambaye hampendi mke wake Hajawahi kuku valisha hata hiyo pete na anakuambia anakupenda Unafikiri anakupenda wew? Kama aliyemvalisha pete anam cheat wew kwake utakuwa na thaman?? usiwe mjinga Anakuambia anakupenda na huku...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kushindwa kupata Msimbo kutoka NACTE ili kusajiliwa chuoni, tusaidieni jinsi ya kutatua changamoto kama hii

    TATIZO LA WANAFUNZI WA DIPLOMA WALIOENDA KULIPOTI MWAKA WA KWANZA LAKINI WAKAPATA CHANGAMOTO YA KUPATA MSIMBO ILI KUSAJILIWA CHUONI MNATUSAIDIAJE WAKUBWA ZETU
  9. JamiiForums Tanzania Mwanaume mwenzangu katika pitapita zako usiombe ukutane na wanawake wa sampuli hii. Hakuna rangi utaacha ona

    Wanawake wa namna hii hakuna anachowaza zaidi ya shughuli, kwa masifa anatunza malaki ya pesa, hawazi maisha au baadae ya watoto. Yeye ni shughuli ukiwa hauna sasa anaenda kukopa huko, na vitu vya ndani anaweka bondi. Mjamba wangu alioa mwanamke wa sampuli hii, mkewe akiwa hana pesa ya shughuli...
  10. JamiiForums Tanzania Hii post nimeikuta instagram, nimecheka saana! Sijui nilikuwa sahihi??

  11. JamiiForums Tanzania Ali kamwe najua ulikuja mafia alhamis umeondoka ijumaa ila safari hii mambo tofauti

    Nafaham juani ulipokwenda hata watu wa serikali ndio hutumia huko mizimu ya kule ni mikali sana ila nachowashsuri simba ili tushinde hakikisha mpira wa kwanza aguse mchezaji mmoja na autoe goolkik tukenda kinyume na hapo tunafungwa Karibuni mafai
  12. JamiiForums Tanzania Ama kwa hakika, jamaa aliye kwenye hii gari anakula maisha sana

    Yani Kwanza jamaa unaonekana hela ipo, demu mkali anae, halafu demu mwenyewe bado mdogo Mali mpya kabisaaaaa. Na demu mwenyewe yupo romantic kuliko mademu wengi Sana hapa nchini Natamani wanawake wengine mngekua kama huyu
  13. I

    JamiiForums Tanzania Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  14. JamiiForums Tanzania CCM chama changu mawakala wa chama hadi sasa hawajalipwa chochote tangu uandikishaji uanze hii ni hujuma kwa chama kikubwa kama hiki.

    Mawakala tangu wameanza zoezi la kuandikisha hawaja pata chochote licha ya kushiriki kikamilifu kufanya uhamasishaji, wanajigharamia wenyewe chakula na hakuna posho yeyote wamepewa kwa kazi hii hadi sasa. Je, hawakuwa na budget au kuna watu wa chama ngazi ya halimashauri wamekula? Hebu tuifute...
  15. JamiiForums Tanzania Sikilizeni hii audio. Kisha nipeni ushauri. Je, nafaa kuwa muhadithiaji wa hadithi au simulizi?

    Ninaplan ya kuanza kujirecord nikisimulia hadithi au matukio. Hii audio hapa nilikuwa natest tu nione ninavyosikika. Nimeamua kushare na nyinyi mnichane nafaa ?? Niongeze nini??? Nipunguzie nini???? Note: NIMERECORD KWA SIMU, na EDITING ni simu pia.
  16. JamiiForums Tanzania Hii Hofu ya Historia ya TANU na Uhuru Inaletwa na Nini?

    https://youtu.be/Id8-WJc6ODY?si=9lzAbgoq1Vq3Fzcd
  17. JamiiForums Tanzania Joshua na Clemence hii ni kwa ajili yenu. Sasa mlale kwa amani zaidi

    Waliokuwa nyuma dhidi ya mauaji yenu wameanza kusambaratika. Wameanza kuonja mateso kama yale mliopitia. Wapumbavu hawa👇 sasa hawapo na vibaraka wao pia wanaendeleo kudondoka. Kufa kupo, lakin clemence na josh hamkustahili kuondoka katika mikono ya magaidi ambao wananuka damu za watu wasio na...
  18. JamiiForums Tanzania Kinachoniuma ni kwamba Bunge la Tanzania halina hata mamlka ya kumuhoji mkuu wa wilaya

    Bunge la Tanzania halina mamlaka hata ya kumuita na kumujoji mkuu wa wilaya na wakimuita haendi na hawana cha kumfanya. Hili ni bunge la wapiga makofi na wakitoka hapo zile Posho zao wananunua Bati na mifuko ya cement wanaenda kuhadaa wajinga jimboni mwao. Sasa angalia ni tunahitaji miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Dhambi inatakiwa ikemewe namna hii. Sio kubembeleza

    Kwanza kabisa Mimi Sina dhehebu maalumu japo nimebatizwa Rc na ndoa nikafungia huko. Napenda kusikiliza mahubiri yoyote Yale. Tofauti tu na mahubiri ya kitapeli na ushuhuda wa uongo, hayo Sina muda wa kuyasikiliza hata kidogo. Huwa nafurahishwa sana na aina hii ya wachungaji/watumishi wa Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania KWELI Hii ni theluji iliyopo karibu na kilele cha Kibo cha Mlima Kilimanjaro

    Habari Wakuu, Nimekutana na video hii TikTok inayodai hii pande kubwa la theluji lipo Mlima Kilimanjaro na lilikuja kutokana na mabadiliko ya Tabianchi. Kuna ukweli hapa? Naombeni mtusaidie ---
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…