hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  2. JamiiForums Tanzania American Renegades: Naitafita sana hii movie.

    Wakuu,naomba msaada kwa yeyote mwenye link ya site kwaajili ya ku-download hiyo movie.
  3. JamiiForums Tanzania Hii kampuni nikweli au matapeli?

    Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie lakini baada ya kuwatafuta wapo wanamzungusha tu Badae nimemwambia aachane nao Sasa najiuliza hii...
  4. JamiiForums Tanzania Jukwaa la Siasa Tanzania: Kwa Nini Vijana Wanajihisi Kusalitiwa na CHADEMA?

    Nakumbuka mwaka 2015 jijini Dar es Salaam, kipindi ambacho kishindo cha kampeni za CHADEMA kilikuwa kikubwa. Kati ya matukio yaliyonivutia ni kundi kubwa la watu nililoliona maeneo ya Magomeni likielekea Msimbazi kuhudhuria mikutano ya chama. Ingawa wakati huo sikuwa na mshikamano wa karibu na...
  5. G

    JamiiForums Tanzania Mungu aliagiza tukaijaze dunia. Hii habari ya kuoana imetoka wapi?

    Mungu aliagiza tukazaane tuijaze dunia, wala hakusema tuoane. Huu ubunifu wa kufuga mtoto wa mtu kwa lengo la kunyanduana tu ulianzishwa na nani?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba makadirio ya fedha ujenzi wa nyumba hii

    Kiasi gani cha fedha kinahitajika hapa, kukamilisha ujenzi nyumba kama hii
  7. JamiiForums Tanzania MANSION DESIGN 5BEDROOMS (JENGA NASI VIFAA UNAJINUNULIA) UKIJENGA KAMA HII HUNA HAJA YA GOROFA KABSA

    5BEDROOMS KUBWA NZURI KARIBU UJENGE NYUMBA YA NDOTO YAKO NASI TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM SINZA CALL/WHATSAP US +255624004650
  8. JamiiForums Tanzania Video:Vijana wa hovyo hii Code Ni ya mwisho sitawaambia tena.

    Vijana akiingia geto hakikisha harudi salama. Siyo demu anakuaga unaanza kujiuma uma tu... Mwamba kapita mle mle. Hii ni ya mwisho sitawaambia tena 🙌🙌😋😋
  9. G

    JamiiForums Tanzania Mafunzo ya polisi yawe miaka 3 badala ya miezi 6. Ili kuboresha utendaji wa jeshi la polisi.

    Weledi, umakini na mwenendo wa jeshi la polisi vinatia mashaka sana kwa sasa. Hivyo kuna kila sababu ya kuongeza muda wa mafunzo ya jeshi la polisi kutoka miezi 6 hadi miaka 3 ili waive sawa sawa.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ukisikia Peoples Power ndio Hii

    SIo ile ya CHADEMA ikiongozwa na Maria Sarungi wakiwa Twitter kazi yao ni kurusha matusi tu. Kwa hali kama hii Lazima kielewea tutarajie lolote kutoka Korea muda mchache ujao.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Gari aina ya IST new model cc:1500,year of manufacture 2015, ipo vizuri sana Karibu wateja Wetu wa MR classic tuwasiliane kwa nambari 0695022051
  12. JamiiForums Tanzania Bunge la Ufaransa lafanya kikao jioni hii na baadae kupiga kura kumuondoa waziri mkuu Michelle Barnier

    Waziri Mkuu wa Ufaransa Michel Barnier ambae yupo njiani kurejea Ufaransa kutoka katika ziara nchini Saudi Arabia, anatarajiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye na Bunge la nchi hiyo na hivyo kuipundua serikali yake. Vyama vya upinzani nchini Ufaransa vikiongozwa na Maria Le Pen muda huu...
  13. JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kuna mrembo mzuri kuzidi hii?

    Hivi kwa bongo hii kuna MBOGA Safi inayovutia kuzidi hii? Kuna watu wanakula MBOGA Safi bana!
  14. JamiiForums Tanzania Nimetokea kukuikubari hii impreza xv 2012. Nisaidieni tamu na chungu zake

    Karibuni wakuu
  15. JamiiForums Tanzania Lamu, Mombasa na Tanga toka miaka na miaka hii ni moja ya sifa zao

    Toka miaka ya 90 moja ya utani kwa mtu anayependa vitu vya bure aende Mombasa. Kuwa kwa Mombasa unaweza enda kula sehemu ukataka kulipa wakakuambia ushalipiwa wewe..... Ukaoneshwa mtu ambaye unaambiwa amekulipia unamwona anakuna ndevu zake akitabasamu. Hii hali na huu utani upo miaka nenda...
  16. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini kila MARIOO akitoa nyimbo na DIAMOND lazima atoe?

    ..MARIOO ni msanii ambaye anatoa hits nyingi sana ambazo zinafanya vizuri kila kona ya mtaa, na endapo DIAMOND akimwachia upenyo MARIOO wa kuendelea kusikika mtaani basi lazima atachukua nafasi yake, hivyo diamond ameshamshtukia MARIOO ni msanii anaye kubalika sana na ni rahisi kurithi kiti...
  17. JamiiForums Tanzania Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni

    Hello ! Uzi huu nitakuwa nikikupa updates za Magari used yalipo sokoni, yenye uzima na yanatumika kwa bei nafuu kabisa….kwa latest updates unaweza Subscribe uzi huu, ili kupata taarifa za gari mpya itakayo postiwa hapa. Pia unaweza follow instagram Page yetu kwa handle ya 👉🏾( @tunauza_we_sell )...
  18. JamiiForums Tanzania Wewe ambaye maisha yanakutandika mjini chukua hii password

    Uko mjini wazazi wako hasa Maza wako yuko kijijini na maisha yanakuswaga kila siku? Mpigie simu maza wako muulize mama una chakula ndani? Muulize mama umekula nini leo? Muulize hayo maswali mawili halafu uone maisha ya mama yako yalivyo huko kijijini. Halafu fanya maamuzi magumu, angalia ni...
  19. JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Same imebariki hii laana?

    Kama CCM,wilaya ya Same imebariki hii Lana,Kuna uwezekano hata utekaji mmeubariki.
  20. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata wazo la biashara kupitia njia hii ambayo naifanya hapa. Ikawa faida kwako na kwangu pia

    Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp Kwanini nataka kutumia platform ya WhatsApp? Kwasababu watu ambao nimesave namba zao wananijua na ninawajua vizuri kwaiyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…