hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Niambieni Hii inakuaje?

    Kama isingekuwa Mungu. Mimi na wengine wengi tusingekuwa na uwezo wa kuishi Hebu angalia tu jinsi mambo yalivyo. Nini kinaendelea? Niambie inakuaje hapa Tanzania bado watu wengi wanapinga upinzani. Niambie inakuaje kwenye mshahara kodi wanakatwa walalahoi wabunge hawakatwi Niambie inakuaje...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nyerere alipokuwa anatarajiwa kutoa hotuba, nchi nzima ilikuwa inasubiri kwa hamu. Baada ya Nyerere, leo hii ni Tundu Lissu tu

    Huu ndio ukweli kwa sasa na wala haupingiki: Nyerere alipokuwa anatarajia kuhutubia, karibu kila mtu anasogea kwenye chombo cha habari iwe ni TV au Redio au kufika kwenye ukumbi husika huku akiwa na shauku ya kutaka kusikia atachosema. Mbali na wanachi, hata vyombo vya habari vya ndani na vya...
  3. JamiiForums Tanzania Jeshi Urusi hii Leo lazuia msafara wa Jeshi la Marekani nchini Syria

    Jeshi la Urusi hii Leo limeuzuia msafara wa Majeshi ya Marekani uliokua unataka kuingia katika mji Qamishlo nchini Syria na kuualazimisha kugeuza kurudi ulipotoka. Source: Visegrad24 X account
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hii hapa true stori ya lile sanduku la agano la bwana; the misery unsolved

    Ilikuwa jioni ya tarehe 9 mwezi Av (tano) mwaka 3175 kwa kalenda ya Kiebrania (Hebrew Calendar) sawa na mwezi July au August mwaka 587 kabla ya Kristo kwa kalenda yetu. Mkuu wa majeshi ya jeshi kubwa kuliko yote duniani kwa wakati huo aitwaye Nebuzaradani kutoka Babeli, alikuwa ameingia ndani...
  5. JamiiForums Tanzania Kombinesheni hii ilikuwa hatari sana kwa CUF

    Rais akiwa hayati Benjami William Mkapa, Rais wa Zanzibar akiwa Salmin Amour Komandoo na IGP akiwa Omary Mahita, CUF wakiwa kama Chama Kikuu cha Upinzani maji waliita mma. Utumishi wao katika Taifa hili umetukuka sana
  6. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje mtu mzima anakosa pesa Tanzania hii?

    Huwa najiuliza masikini tena lenye umri mkubwa linalialia kukosa pesa aisee nashindwaga kuelewa aisee yaani kama Mimi mtoto mdogo mwenye pesa nyingi natamba nyie mijitu mizima mnakosaje pesa hivi hao wake zenu wana akili timamu kuolewa na masikini kama nyie acheni ujinga tafuteni hela nyie...
  7. JamiiForums Tanzania Ndama wa namna hii akizaliwa zizini kwako, je utamwacha aishi au utamuuwa haraka kabla majirani hawajamuona? Je nini husababisha hali hii?

    Ndama huyu wa ng'ombe amezaliwa kwenye shamba (ranch) ya rafiki yangu mwenye Asili ya Ujerumani. Nimejiuliza maswali mengi sana nimekosa majibu makini. Je akizaliwa kwako utamtunza? Au utamuua fasta isije ukaonekana ulikula mzigo? Je hali hii husababishwa Na nini?
  8. JamiiForums Tanzania Naishi kwenye Nyumba ya kupanga mwenye nyumba alifariki ghafla na ndugu hawaijui hii nyumba

    Wakuu naishi kwenye nyumba ya kupanga na familia yangu yenye vyumba vinne na Kila kitu quality kuanzia aluminum mpaka tiles nyumba ni nzuri sana mwenye nyumba alifariki ghafla mwezi wa 4 mpaka Leo mwezi wa 12 nakaa bure naona kama hii ni bahati kutoka Kwa mungu nyumba ya bure sababu nilisikia...
  9. JamiiForums Tanzania Unaweza Jifunza Mengi toka kwa Video hii. Aendelee Pumzika Mahala pema peponi.

    Life. What is Life!?😭😭
  10. JamiiForums Tanzania Wazee wa kubring bring kuna hii bidhaa check kutoka china

    🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 HomeJewelry 🌟 Timeless Elegance Meets Affordability: PT950 Platinum Ring 💍 The on Original PT950 Platinum Ring AliExpress combines luxury, quality, and affordability, making it a must-have for any jewelry enthusiast. At just 💵...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

    Yes! No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message. Hii hapa... Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani? And the rest is this thread. Keep it Up
  12. JamiiForums Tanzania Hii ni special kwa makada wa CHADEMA

    Tumeona jana mwenyekiti wenu akisema masuala ya ndani ya chama chenu ya yeye kuendelea kuwa Mwenyekiti ni yenu binafsi. Hivyo basi msiwe mnatushirikisha sisi raia wa kawaida kuhusu mambo yenu na ikitokea mkaonewa kaeni chini na waliowaonea na kutafuta solution na sio kutoka nje na kuanza...
  13. JamiiForums Tanzania Miradi ya EPC+F yamuondoa Waziri Bashungwa Ujenzi, Mpina alionya mikataba hii miaka 2 iliyopita akapuuzwa

    MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024 https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023 https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
  14. JamiiForums Tanzania Na hii ndio maana halisi ya ule msemo wa kusema Mungu ni roho

    Kiuhalisia ni kwamba mara nyingi watu wamekua wakisema Mungu ni roho, namimi nakubaliana na hii kauli ya kwamba ni kweli Mungu ni roho, lakini tujiulize kidogo je, Mungu ni roho kwa namna gani? Kwa maana maandiko husema ya kwamba sisi tuliumbwa kwa mfano wake. Kwahiyo kama sisi tumeumbwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Je hii ni njia mpya ya kuingiza kipato? Makato ya kushtukiza katika simu

    Habari zenu? Natumaini wote mko salama. Je, hii ni njia mpya ya kutengeneza kipato? Is this a new hustle? Mara kadhaa imewahi kunitokea katika simu nakuta hela inakatwa, kama vile nimeongeza vocha halafu nataka kuunga kifurushi naambiwa salio halitoshi. Kipindi cha nyuma nilikuwa nasamehe...
  16. JamiiForums Tanzania Hongereni Watanzania Kwa Miaka 63 Ya Uhuru

    Kwanza tupongezane sote kwa siku hii ambayo ni kumbukizi ya Uhuru ambao wapendwa wetu walipambana kwa jasho na damu mpaka leo hii tunajitawala na kuyaendesha mambo yetu kwa utashi na uhuru kabisa bila bughudha yoyote ile. Ilikuwa ni ndoto ya waafrika wengi kutaka kuwa huru dhidi ya utawala wa...
  17. JamiiForums Tanzania Usitumie hii mbinu kwenye mapenzi utakuja kufa!

    Waswahili wanasema "Kata mti panda mti!". Huu msemo usiulete kwenye mapenzi utakuja kufa ulimi nje!. Baada yakubwagana na mpenzi wangu chapchap kuuponya moyo,roho na nafsi yangu nikaamua kutafuta mpenzi harakaraka ili ku cover nafasi iliyoachwa wazi!. alikuwa binti fulani hivi ndembendembe...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Application yangu hii hapa kwa sasa ni ya android ipo testing naomba ushauri wako..

    Hello wakuu nimetengeneza application ya simu inayohusiana na Real estate jisajili tumia weka comments...
  19. JamiiForums Tanzania Kama mwanaume hii unaweza kweli

    kama
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kurujuan ya mzee MAGOMA inaendelea kufanya kazi ndani ya mtaa wa Jangwani. Lini hii slow pacha itazibwa?

    Eng Hersi na boss wake GSM wakae chini wayamalize na mwanachama kindakindaki wa Yanga,maarufu kama mzee Magoma. Mzee huyu alisikika katika vyombo vya habari akitoa kauli ya kuwa yanga ina slow pacha na haya ni matokeo ya Kurujuan yake aliyoisoma kwa kila ambaye ana mpango wa kuidhulumu Yanga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…