Kwa kutumia mifumo ya nchi, tutawaelimisha waache ujinga na upumbavu wa kuamini kwamba wao ndiyo Tanzania na wengine ni kama sampuli ya mwanadamu.
Lazima tuwaelimishe kwa mujibu wa maelekezo ya Katiba ya CCM ya mwaka 1977, toleo la 2022, ibara ya 07, ibara ya 08 (1)(2)(6), na ibara ya 15 yote...