hii

King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).

View More On Wikipedia.org
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: Utamuweza vipi mwanamke wa namna hii?

    Ukiangalia bila kutafakari unaweza kuchukulia poa sana lakini ukweli ni kwamba mwanamke wa namna hii ukimuweka ndani lazima UTAIMBA WIMBO MPYA KABLA HUJAFIKA MBINGUNI. Hapa unashindwa kuelewa kwanini huyu mwanamke katoa nywele zake nzuri na kuweka wifi(fake) na Bado akaonekana kufurahia kabisa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hapa Mbowe Lissu umemuweza sana

    Mbowe kasema uchaguzi utakuwa live TV zote za duniani zinazotaka kuja zitaingia ukumbi wa uchaguzi 1. Wajumbe kuhakikiwa live 2. Kura kupigwa live 3. Matokeo kuhesabiwa live 4. Mshindi kutangazwa live 5. Mshindi kuhutubia live 6. Mshindwa kuhutubia live Haya yote watashudia wanachama wa chadema...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke mwenye sifa hii muhimu

    Umri kuanzia miaka 22. Elimu form four na kuendelea. MUHIMU awe ana uzoefu wa kulima kwa jembe la plau linalovutwa na ng'ombe. Angalia picha kwa ufafanuzi zaidi.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naombeni ufafanuzi

    Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa vp huu unafaa ili niagize?
  5. The patriot man

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nisahau hii siku niliona rangi zote daah ogopa kifo

    Kwema wakuu Kuna kisa cha kweli kabisa kilichonitokea April 2023 yaani hii siku bana sitoka niisahau mpaka nife. Ipo hivi nilikua nina kidemu changu kinasoma Ushirika Moshi mwaka wa pili sasa mimi nipo Dar aisee kila siku analalamika kuwa ame ni miss nikamuambia nakuja mama akafurahi sana...
  6. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ya wanawake wazuri kuwa single kwa sababu ya uzuri na kwa wanaume ipo?

    Katika dunia ya sasa ambayo mapenzi ni kama game play, watu wanaingia kwenye relationships wakiwa na kipima joto, wasiwe na mtu atakaye waumiza, or asiwe juu sana or chini sana based on expectations alizo jiwekea yeye. Ongezeko la wanawake walio single, linazidi kuongezeka. Let alone wao jamii...
  7. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Unakumbuka nini ukiona hii picha na ulikuwa mwaka gani

    Tuadhie vitoto vya 2000 huyu jamaa alikuwa anaitwa nani na mambo yake yalikuwaje😂😂😂😂
  8. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Keybord Worrior wa Lisu, mida hii mlipaswa kuwa Centra mnakinukisha Dr Salaa aachiliwe.

    Keybord Worrior tuko wapi mida hii tulipaswa kuwa Centra? Dr Salaa mmoja wa Campiagne manager Lisu kamatwa. Au tunakinukishia humu?
  9. excel

    JamiiForums Tanzania Safina ya Nuhu ilibeba viumbe hai zaidi ya Milioni Saba. Hakuna Teknolojia ya namna hii kuja kutokea namna hii

    Miaka zaidi ya elfu 2 imepita sasa toka gharika iukumbe Ulimwengu.. Nuhu alitengeneza Safina, Chombo kilichobeba Viumbe hai, jinsia ke na me zaidi ya milioni saba mpaka sasa hakuna Mwanadamu anayeweza kutengeneza Kifaa kama Safina ya Nuhu.. Hayupo! Hakuna meli, boti wala jahazi lenye uwezo...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini uchaguzi wa chadema wa mwaka huu ni baina ya wanaokusudia kuibomoa chadema dhidi ya wanaokusudia kuijenga na kuimarisha chadema?

    Ni wazi kuelekea uchaguzi wa chadema ngazi ya Taifa, kuna wagombea wasio wazalendo, makuwadi wa mabenyenye ya magharibi, wanaokusudia kuigawanya, kuisabaratisha na kuipoteza kabisa chadema kwenye medani ya siasa kwa makusudi, kwasababu za tamaa zao, ubinafsi, uchu wa madaraka na vyeo, unafiki na...
  11. ITR

    JamiiForums Tanzania Tunga sentensi yeyote kuhusu hii picha.

    😃😃😃😃😀😀😃😃
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hawa watu wa ile pesa tuma kwenye namba hii wanashughulikiwa kweli na mamlaka?

    Bado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
  13. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Mwaka jana hii ndio ilikuwa sababu ya mimi kutopata Wasichana warembo. Mwaka huu nimebadilika

    Mwaka jana nlikosa mademu wengi wakali sababu sikuwa na chambichambi, umatemate, ndarama au mkwanja. Nlikuwa wengine nawapata kwa maneno na ahadi kisha nikiwala wakiona sitimizi ndo basi wananipotezea. Mwaka huu nimebadili kabisa utaratibu. Mwaka jana nliweza angalau tabasamu nao, kula nao na...
  14. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  15. AbuuMaryam

    JamiiForums Tanzania Majina yangu matatu kamili yametoka katika walioitwa kazini na sikuomba, hii imekaaje?

    Inawezekana kuna mtu majina yake yote yanafanana na yangu? Inawezekana nikienda kuchukua barua DODOMA, nikipewa italeta shida gani?
  16. P

    JamiiForums Tanzania Waliosoma uganda au wenye kujua kuhusu hii kozi ya ufamasia nchini uganda

    Wakuu habari,hivi ni vyuo vikuu gani vizuri Kwa kozi ya pharmacy ngazi ya degree nchini Uganda nataka nimpeleke ndugu yangu akasome huko Uganda msaada wakubwa
  17. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbowe: Nimetoka mbali na Lissu, nilikuwa namlipia tiketi za ndege kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji madini

    Wanaukumbi. Halafu mtu anachukua form kukupinga Eti ni Demokrasia,hiyo siyo Demokrasia huo ni uchimbi kabisa, Lissu katumwa. --- “Nimetoka mbali na Lissu. Nilikuwa ninamlipia Lissu tiketi za ndege ninamgharamia safari zake kwenda Tarime kuwatetea wachimbaji Wadogo. Wakati huo hakua hata...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira kiwanda cha saruji cha Dangote

    🍿
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Hii hapa historia kamili ya mlima Kilimanjaro, soma kwa makini uielewe

    Mlima Kilimanjaro, ambao ni mlima mrefu zaidi barani Afrika, una historia yenye mvuto na thamani kubwa. Katika muktadha wa utafiti wa muda mrefu, Kilimanjaro inajulikana kama "Kilimanjaro" kutoka kwa neno la Kiswahili linalomaanisha "mlima wa wingu". History ya Kilimanjaro inategemea mazingira...
  20. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akiambatana na Waziri wa Ujenzi Mhe. Abdallah Ulega wakati wa ukaguzi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha Lami ya Mianzini-Olemringaringa amemtaka Mbunge wa Arusha Mjini Mhe. Mrisho Gambo kuwa anahudhuria vikao mbalimbali vya maendeleo ndani ya...
Back
Top Bottom