Peponi ni madanguroni, kumejaa uzinzi xxL plus๐๐๐๐๐๐๐๐
Pale unapomwonea huruma Mtu ukidhani yuko Akhera Motoni kumbe anakula bata kama kawaida.๐๐๐๐๐๐๐๐
Umdhaniaye ndiye kumbe siye๐๐๐๐๐๐๐๐
Dua ya kuku haimpati mwewe๐๐๐๐๐๐๐๐
Ongeza wenye mikia 70๐๐๐๐๐๐๐๐
Sentence yangu: picha yako haionekani vizuri kama yangu๐๐๐๐๐๐๐๐
Kumuombea(kumsalia) marehemu hakubadilishi ghadhabu ya Mungu.Sentence yangu: picha yako haionekani vizuri kama yanguView attachment 3198215