hii nchi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tunaiepeleka wapi? Mbona kama Tumepotea na Tunaendelea kupotea Hatma Tanzania ni hipi?

    Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi? Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani

    Vyombo vya habari visivyotangaza maandamano sisi wenye hii nchi tutavifuta kwenye ramani. Naona vyomba vya kimataifa tu sio ITV wala TBC tukiwaondoa wahuni wakatafute nchi ya kuwatangazia wananchi tumesema
  3. Its Tesha

    JamiiForums Tanzania Najiuliza hivi RC au DC anaongeaje kama Rais wa nchi, hii nchi inaongozwa nani hasa?

    Wakuu... Nimekaaa nimetafakari sana mkuu wa mkoa au wiliya wanatoa kauli za vitisho kuliko hata Rais kuelekea uchaguzi mkuu lakini ukweli ni kwamba hawa watu wanatakiwa kuwa NEUTRAL kipindi cha uchaguzi lakini utakuta jamaa amevaa kofia na tisheti ina picha ya Samia wao ni nani? kuna hawa...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Mbona amani kwenye hii nchi inazungumzwa kuliko nchi yoyote duniani?

    Ukiona watu wanavozungumzia amani mpaka mishipa inawatoka shingoni mh! Mbona amani ipo sana tu ishu ni hamjawaelewa wananchi au? Wananchi tunachojua sisi haki ndo hakuna ila amani mbona IPO sana tu!
  5. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Sana tunaomba mwacheni Polepole hii Nchi yetu sote

    Tafadhali tena naomba wakuu mwacheni Polepole kama ana kosa tunaomba sheria ifuate mkondo wake. Tunaomba Polepole achiwe bila masharti yoyote. Tafadhali Sana tunakoenda siko mwacheni Polepole
  6. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Kuna siku Moja tena hii nchi itarudi mikononi mwa wazalendo kama Magufuli

    Siku zinakuja hii nchi itarudi tena mikononi mwa wazalendo wenye uchungu na rasilmali za nchi na wananchi wake. Kama ilivyokua Magufuli aya mambo ya unyonyaji utaisha kukusanya kodi inaishia mifukoni mwa wachache litaisha. Mda utafika maana tumeshawajua wanamtandao vizuri na propaganda zao...
  7. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hii Nchi hii asee kwahiyo Yeriko Nyerere naye ni jasusi?

    Akipata kura hata 3 tu basi hii Nchi Ina wajinga wengi kama uyoga. Au Ili uwe jasusi ni lazima uwe na vigezo Gani?
  8. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli hii nchi ni ya Familia zisizopungua 50 wengine sisi ni wapangaji au Vidampa

    Je kweli maana mpaka sasa Polepole anaongelea mafichoni ukiangalia hamna kosa ila ameongea yale yale familia 50 wasiyopenda. Lissu yuko jela tatizo nini kaongea yaleyale familia 50 wasiyoyapenda. Wengine tumebaki kua makasuku kuimba yale ambayo famallia 50 wanapenda Leo Maxi Mello walimwambia...
  9. Diwani

    JamiiForums Tanzania Makada wa CCM. Chama chenu hakitawali hii nchi. AMKENI!!

    Ukiwa huku mtaani Vijana wa CCM wanadhani Chama chao ndicho "Chama Tawala". Chama kama taasisi haiishii tu kwa watu, bali Ilani, sheria, kanuni, taratibu na miongozo ya chama, kisha Wanachama na wafuasi. Katika hali ya kawaida tu; taifa lenye mfumo wa vyama vingi kama Tanzania suala la uhuru...
  10. Panctuality

    JamiiForums Tanzania Akili za kuambiwa changanya na zako

    Katika Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2025, vyama vya siasa 18 vimehusika katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi ya Rais na Makamu wa Rais. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuwa vyama hivi vimewasilisha majina ya wanachama 36 kugombea nafasi hizo . Vyama vya Siasa...
  11. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ya WESTERN SAHARA imeanza lini mbona sijaisoma shuleni

    Wakuu hii nchi mbona nimeanza kuiskia hivi karibuni na Katika kumbukumbu zangu sikumbuki kama shule ya msingi nilisoma.
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Hii nchi tulipofikia:Mahakama ya wilaya watumishi wote wamekwenda ngorongoro kutembea mahakama imefungwa

    Sijui tunakwenda wapi hipo siku utasikia Hospitali imefungwa watumishi wote mpaka muhudumu wa mwochari naye kaenda beach. Kama mahakama zishafikia huku tumekwisha. Kuna mkoa wa X sitaki kutaja unapopatikana madini ya dhahabu ukisifika wilaya yake. Kwa hiyo wenye kesi au tunataka kesi tusubiri...
  13. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Watanzania wanyonge wanajuta kuzaliwa hii nchi

    Tanzania, kanchi kazuri kenyewe ila sasahivi kuna kikundi cha watu wameanza kukaharibu. Hii nchi ina amani sana kwa maana ya kwamba hakuna vita, na ni nchi kubwa nzuri, ina miji mizuri, vijiji vizuri, watu wake ni wazuri pia. Ni nchi ya neema ambayo hata masikini hakosi chakula. Lakini miaka ya...
  14. technically

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  15. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hii nchi Idadi kubwa ya watu Wana IQ ndogo mno japo watu hawapendi kusikia hili

    Tusiongee mengi sana lakini picha inajeleza.
Back
Top Bottom