Ulikuwa na ndoto ya kuwa na mwenza wa namna gani?

To yeye

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
28,212
65,818
Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?

Nashauri hivi, tembelea ndoto yako, usiforce mambo kwa sababu fulani.

Maisha ni wewe, ukiumia ni wewe, ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu, siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.

Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa, umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz? Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.

NB: Kumbuka mchozi ni dawa pia, lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.

NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS!😍😘
 
Kwani ndoto yako ulitaka uwe na mke au mume wa aina gani?

Nashauri hivi,tembelea ndoto yako,usiforce mambo kwa sababu fulani.
Maisha ni wewe,ukiumia ni wewe,ukifurahi ni wewe! Usijali maneno yetu wanaadamu,siye hatuachi kuongea liwe Zuri au baya......Siye tutaongea tu haikwepeki.

Je,hapo ulipo unaamani? Au uliingia tu uonekane umeolewa,umeoa? Ulifuata pesa? Ulifuata kazi yake ili Msaidiane kiuchumi? Pesa zipo ila huna furaha ya mapenz?.......Fanya maamuzi sasa au subiri kifo furaha ukapatie mbinguni.
Mwenyezi Mungu akaponye kila roho siku ya Leo.

NB:Kumbuka mchozi ni dawa pia,lia pale inapobidi kupunguza mzigo wa maumivu moyoni.
NAWAPENDA SANA NDUGU MEMBERS!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IMG-20240201-WA0005.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom