hello

  1. Fantastic boy

    JamiiForums Tanzania Kwanini mtu akiwa hana hela anakuwa na mipango mingi mikubwa lakini akipata hela mipango huyeyuka ghafla?

    Hivi ni kwanini binadamu wengi wao, wakiwa hawana pesa huwa na ndoto za kila aina na zenye kuonyesha mtu huyu future yake ni sahihi na kubwa zaidi...!! Lakini 'mfano' baada ya kuipata pesa ndoto zile hutoweka kwa kasi sana bila ya kutimizwa kama ilivyokuwa awali akifikiria? Naombeni mnisaidie...
  2. Mr Pangai

    JamiiForums Tanzania Hello everyone from JF

    I'm glad to be here, I'm a new member. Very young but I will be useful in here. I'm still a student in Arusha. I'm doing forex trading, programming (making phone and computer applications), I'm a blogger, a photographer and a graphics designer. I hope to get good friends from here. Thanks
  3. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Hodi wana JF

    Ni kijana wenu mpya katika forum naomba mnipokee ntawapa ushirikiano pale panapo hitajika na me pia naomba mnipe ushirikiano tuweze kufikia lengo na kwa kumalizia ntafata sheria na miongozo iliyowekwa na kuiongoza hii forum Thanks🙏🙏
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mgeni

    Hello here! Hodi hapa JF!
  5. J

    JamiiForums Tanzania Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku. Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku. Naomba Ushauri wenu tafadhali.
  6. Mkorinto10

    JamiiForums Tanzania Hello JF

    Naitwa Ben member mpya hapa JF, naamini tutakuwa pamoja kwenye mijadala mbalimbali Ahsanteni.
  7. Imalamawazo

    JamiiForums Tanzania Hello JF

    Cha mgeni huliwa na mwenyeji.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Hi JF!

    Habari watumiaji wote wa Jamii Forums Mimi ni mgeni yaani kwa muda nilikuwa natumia jamiiforums kuperuzi tu ika kuna muda nikaona kuna mada kadha wa kadha nakuwa na ile hali ya kutaka kuchangia kwa maana ya kukoment jambo ambalo nisingeweza pasipo kuwa na akaunti ndio maana nimeamua sasa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hello ndugu zangu am new

  10. Ashraph Mushi

    JamiiForums Tanzania Hello Wana JF

    Mimi ni mgeni naomben kampan yenu ❤❤
  11. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Hello JamiiForums

    Napenda kuwasalimia wana JamiiForums wote kama member mpya.
  12. Budeg e

    JamiiForums Tanzania HELLO wana JF

    Bila kuchelewa. Hodi humu ndani wakulu naomba ushilikiano wenu kunipokea,naomba kuwasilisha
  13. wilsonemmanueln

    JamiiForums Tanzania Hello JF

    Hodi humu ndani
  14. Rackan Morio

    JamiiForums Tanzania Hello members

    Hello members! I'm a new here.
  15. L

    JamiiForums Tanzania hello

    hello
  16. Ditrickruge

    JamiiForums Tanzania New member

    Hello I am he new member
  17. Semboy

    JamiiForums Tanzania HELLO JF

    Mimi ni Mwanachama mpya JF natanguliza shukurani zangu kwa nyote mtakao shirikiana na Mimi mahali hapa.
  18. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Hello, Ninatafuta Ajira
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
  20. Neonece

    JamiiForums Tanzania Hello, naomba mnipokee

    Mie ni mwanachama mpya,naomba ukaribisho tafadhali...
Back
Top Bottom