Wakuu habarini za wakati huu.
Mnamo tarehe moja mwezi huu wa nane, kuna jamaa mmoja hivi, ni Agent wa kusafirisha mizigo. Ana kampuni (Clearing and forwarding agency) pale posta, TWIGA HOUSE, FLOOR YA 5, ROOM NAMBA(imehifadhiwa).
Katika harakati za hapa na pale ndani ya mji, tulikutana...