Naheshimu sana huu msemo"Kuna hela naisikilizia".Nashangaa watu wanaubeza na wanadharau pale wanapoambiwa.
Mtu anayesema hivi ina maana moyo unataka lakini pesa haipo kwa wakati huo kukamilisha utatuzi wa hiyo shida.Kuna vingi vinachangia.
Kila mtu akitimiza wajibu wake kwa wakati hili neno...