hela

  1. JamiiForums Tanzania TANZIA ERICK ADAMU (Nezo B-Msanii wa Bongo Fleva) Auawa kisa kudaiwa pesa ya umeme (LUKU)

    Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme). Mashuhuda wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ukitoa hela kwenye ATM halafu ukaiacha pale kwenye kibox chake inaweza kurudi ndani kama card?!

    Salam.. Sijawahi kujaribu au kama kuna mtu imewahi kumtokea akachelewa kuitoa hela baada ya kutoka, je itadumbukia tena ndani au itakaa hapo hapo itaganda tu inasubiria. Na kama ikirudi mahesabu yatakuwaje kwenye account yatajirudi tena kama awali au balance itapungua. Changamsheni kichwa kidogo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Musukuma afunguka Mazito Mkataba wa Bandari/Sijajongwa Gari, Nina Hela

    Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
  4. JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda walipe walimu hela zao

    Wizara ya elimu chini ya Profesa Mkenda hii aibu mnaitaka bila sababu. Kama mlijua fedha hakuna kulikuwa na haja gani ya kuita waalimu toka mikoani kuja Arusha kwenye semina na wamekaa wiki mbili mpaka wanamaliza tarehe 2 Mei,2023 hamjawalipa fedha zao. Huu mradi wa SEQUIP imefadhiliwa na benki...
  5. JamiiForums Tanzania Bia bila kelele ni juisi, kipara bila hela ni kovu na kitambi bila hela ni uvimbe!

    Si maneno yangu, ni Mkuu wenu mpya Mkoa wa Dar es Salaam. Ukiwa kama kiongozi chunga sana maneno yako. Tunajua kitambi ni kiribatumbo, ni ugonjwa, kipara sijui ila kiongizi lazima uwe na staha.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ameniomba hela ya chai; nimemrushia buku na 200 ya kutolea amekasirika!

    Salaam! Katika kusaka faraja murua, juzi kati nilikutana na mdada mmoja hivi murua kabisa. Zoezi la kubadilishana namba likaenda vizuri. Leo asubuhi na mapema kaniomba hela ya chai; nami, kwa kuzingatia bei halisi ya maandazi huku kijijini ambayo ni tshs 100, nikamrushia buku na mia mbili ya...
  7. JamiiForums Tanzania Issa Haji Gavi: Kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa hela benki

    Wakuu nimekutana na hii clip, Issa Haji Gavi Katibu wa Oganaizesheni wa CCM Iringa anaonekana akieleza kuwa kadi ya CCM ina uwezo wa kutoa pesa Benki. Sikiliza mwenyewe kisha uweke maoni yako. --- Kadi za kielekroniki za CCM kutumika kama ATM Iringa. Katibu wa Oganaizesheni wa CCM, Issa...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  9. JamiiForums Tanzania Nikisema mastaa wenu hawana hela hasa bongo sasa Zari wakwenda kuspend element kwa jina alilonalo?

    Hellow africa Sikutegemea Zari kwenda element kuspend sio hazi yake yeye alitakiwa kwenda maeneo kama wavuvi kempu, karambezi, sea crif, cape town huko ndiko anaweza tumia pesa pale anagawa tu
  10. JamiiForums Tanzania Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake siku hizi wanapenda hela kuliko kuridhishwa

    Katika harakati zangu za moja na mbili na utafiti mchwara niliofanya bila kufata vigezo vya kisayansi na kiutaratibu wa utafiti wowote ule nimeweza kugundua yafuatayo; ~ Wanawake wengi hawana mapenzi ya kweli kabsa. ~ Wanawake wengi wanaingia kwenye mapenzi na mwanaume au wanaume ili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tanga: Wazee wanufaika wa TASAF wanafanyishwa kazi ndio wanapewa hela. Hivi ndivyo Serikali ilivyoelekeza?

    Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Tanga, Wilaya Kilindi, Kijiji cha Kikunde naona huku wazee wanapata shida sana. Wale wazee ambao hawajiwezi wanaopokea pesa za TASAF wamegeuzwa makatapila huku wanatengeneza barabara za mitaa sio mchezo. Najiuliza kama Serikali inataka kutuulia wazee wetu waseme au ni...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Hela za tozo zinafanya kazi gani?

    Habari wanaJF Naomba kuuliza, hizi fedha za tozo wanazokata serikali kwenye miamala yetu ya simu huwa zinafanya kazi gani? Ni kwa ajili ya miradi ya maendeleo au matumizi ya kawaida, naomba kujua maana naona kimya tu?
  14. JamiiForums Tanzania Nilichogundua kuhusu maisha ya utafutaji usiombe mtu hela muombe connection

    Nilichogundua Kama upo na circle ya watu waliofanikiwa Kama ukiwa mtu wa kuwaomba hela Basi Fahamu watakupa bloko au watakuchukulia Kama msumbufu tu. Yaani haijalishi mtu analipwa sh ngapi au anaingiza sh ngapi usithuhubutu kumjengea mazoea ya kumuomba hela ni hatari Sana. Labda uwe unafanya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: jinsi ya kupokea hela kutoka nepal kuja bongo

    Nina ndugu yangu yuko nepal, sasa western Union ya nepal hairushi hela toka huko kuja Tanzania, je bank to bank itafaa, au kuna international agency ingine ipo..wenye uzoefu wanisaidie
  16. JamiiForums Tanzania Kama unataka unataka hela ndefu weka mzigo kwenye hisa za Tanga cement PLC

    Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa njema zaidi. Kama una mpunga tupia Tanga cement PLC hutojuta. Asante
  17. S

    JamiiForums Tanzania SIACHI HELA NAE KAFUNGA

  18. JamiiForums Tanzania Kuna ile furaha unaipata unapomsaidia mzazi/mlezi, ndugu au jamaa hela au chochote, ni special sana

    Sijawahi jihusisha na ulevi wa aina yoyote hivyo siwezi linganisha ila kuna raha unakua unaipata ni kali sana pale unapomsaidia mtu, akatatua tatizo pake, Hua najiuliza wale wabahili wa pesa hua hawajui hilo jambo? Nadhani ni zaidi ya pombe au uraibu mwingine
  19. JamiiForums Tanzania Na wewe njoo Dar ili tuone kama utakuwa unatuma hela nyumbani!

    Kwakuwa mnalalamika sana, Basi na nyie njooni Dar es Salaam ili tuone Kama mtakuwa mnatuma hela Nyumbani.
  20. JamiiForums Tanzania Musiba amemponyoka Membe lakini Shangazi na mama wa hela ya mboga wamemng’ang’ania; hana pa kuchomokea, anadaiwa jumla ya Tsh bilioni 15.58!

    Subiri kwanza, bado mapema. Cyprian Musiba Majura Muingereza popote alipo anaweza akawa anachekelea kuwa Membe kafariki, hivyo amenusurika kulipa mabilioni aliyokuwa anadaiwa. Anajidanganya sana. Hii ni sawa na kuchekelea kuruka majivu halafu ukatua motoni. Hii ngoma bado mbichi sana! Hukumu ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…