hela

  1. JamiiForums Tanzania Kukagua vyanzo za utajiri kutawawezesha maafisa wa usalama kupata hela za kutumia christmas

    Serikali ilijenga nyumba Chanika halafu zikawa hazinunuliwi. Magufuli akaenda Chanika,akasema tutapunguza bei ya hizi nyumba ili watu wamudu kuzinunua. Jennister Mhagama ndiye alikuwa waziri mhusika wakati ule. Tatizo ,wanasema,kwa nini nyumba zile zilikuwa hazinunuliwi ni kwamba watu walipokuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Wakati unatafuta hela kwa udi na uvumba kuna mwenzako amezitupa hela huko kama takataka vile

    Inasemekana alionekana mtu akikuchunuku tu anakuita anakupa "mihela" basi watu wakafaidi hela waliofaidi. Wakatikea waja wema wakamsihi aachane na zoezi hilo maana huenda ingekuwa ni hatari kwa usalama wa maisha yake kwani watu walishaanza kusambaziana taarifa kuwa "kuna mtu anagawa mapesa hovyo...
  3. JamiiForums Tanzania Hela ndogo ndogo unazozidharau ndo chanzo cha kufeli kwenye maisha yako

    Wasalam, Watanzania wengi tumekuwa na tabia ya kudharau pesa ndogo ndogo tuzipatazo. Chukulia mtu anaingiza ujira wa 10,000 kwa siku anakula na kutumia yote bila kusave chochote. Just imagine kama angesevu hata 3,000 kila siku kwa mwezi angeweza hata nunua mfuko wa mbolea kutosha kuanzia kulima...
  4. JamiiForums Tanzania Hela zangu hazitaki kutoka kwenye Tigo lipa

    Habari za jioni, Aisee tangu jana laini yangu ya tigo lipa haikubali kuhamisha pesa zilizopo kwenye laini ya tigo ya wakala sasa kuna laki saba na ushee na pesa haitaki kuhama mara naambiwa network error, inajicancel tu au inasema huduma hii haipatikani kwa sasa Dah mtaji wenyewe wa kuunga...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wafanyakazi wengi wa Serikali wanapenda kutengeneza mazingira ya kupewa hela katika huduma wanazotoa?

    Mzuka, Hivi ni Serikali haiwalipi watumishi wake au shida ni nini? Yaani unaenda kufata huduma ofisi za Serikali lakini mtoa huduma muda wote anatengeneza mazingira ya kupewa hela (rushwa). Ofisi imeandikwa kabisa huduma hiyo ni bure lakini yeye anataka umpe hela akusaidie wakati hilo ndo...
  6. JamiiForums Tanzania Wapi soko la hela za Kijerumani (Rupee) - ninazo

    Wakuu! Nina sarafu za kizamani za watawala mbali mbali...., kabla sijawa nazo niliambiwa ni dili sana. Leo nimezipata (angalia baadhi ya picha), hivi soko lipo wapi? Mwenye idea aje DM tuongee Ujuaji sitaki Karibu Njaa
  7. JamiiForums Tanzania Kazi ya kusaka mke / mume ni ngumu sana ukiwa above 30 na umejipata kimaisha. ila mwanamke / mume unamuona anafata hela zako. Ushauri kijana oa mapema

    Habari wadau. Kwa research yangu isiyo rasmi. Kazi ya kusaka mwenza wa maisha ni ngumu sana ukianza kuifanya ukiwa na age above 30s.. Imani yako kwa watu inakuwa ndogo sana kutokana na uhalisia wa ubongo wako ulivyopevuka. Hii inawatokea vijana wengi wa kiume na wa kike waliojipata. Yaani...
  8. JamiiForums Tanzania Hela si ya kwako! Lakini inavyokuuma kuitoa sijui kwanini? Omba Mungu akusaidie!

    Kwamfano! Hupo hapo hohehahe! Umepigika unahustle utoboe kwambinde lakini unaangukia pua! Mara gafla Mungu anaingilia kati kulipwa mojawapo ya haki yako iliyokuwa imezuiliwa kwa miaka mingi! Mungu anakusemesha kuhusu baadhi ya sadaka kama sadaka ya limbuko, zaka, zabiu, mbegu, n.k! Kuanzia...
  9. JamiiForums Tanzania Nashuhudia mbele yenu, hii ndio hela yangu ya mwisho kuhonga

    Tangu mwezi wa nne hadi sasa nimetumia laki nane (800,000+). Wastani wa laki moja kila mwezi. Kwa anasa inayohusu wanawake, kuanzia sasa naachana na haya mambo kabisa. N.B kama unaona hela hii ni ndogo kwako kwangu ni kubwa sana.
  10. F

    JamiiForums Tanzania Mtu kauza kiwanja. baada ya kupokea hela kagoma kutransfer umiliki wa kiwanja chake kwenda kwa mnunuzi

    habari wadau. wataalamu wa sheria naomba majibu yenu. JUMA anamiliki kiwanja chenye sqm 1200. amepatwa na shida ameamua kumuuzia AMINA sehemu ya kiwanja chake. kamuuzia sqm 400 na yeye JUMA amebaki na Sqm 800. wameandikishana kwenye mkataba wao wa makubaliano. kuwa baada ya kupokea hela...
  11. JamiiForums Tanzania Tigo Tanzania mna shida gani simu zinasoma "emergence call"?

    Ndani ya dkk 10 zilizopita mawasiliano yangu na mteja yamekatika nilijua ni tatizo la simu. cha ajabu nikitafuta watu watsap nao wananiambia line yao ya tigo ipo emergence call. Hii ndo line ya huduma ofisini kwangu ntakufaa njaa. Wahusika fanyieni kazi.
  12. JamiiForums Tanzania Kuweni makini na vibanda vya huduma ya pesa kwa njia ya simu, wengi hutoa hela mbovu

    Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina. Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
  13. JamiiForums Tanzania VIDEO: Usimuamini sana mwanamke na wala usimpime kwa upuuzi huu aliofanya huyu jamaa. Utajinyonga bure

    Salamu kwenu, hili liwe fundisho kwa wote wanaume na wanawake kuwa Mwanamke hajaribiwi kwa hela 🤣🤣
  14. JamiiForums Tanzania Hela za kubeti zina nini? Kwanini ukizipata haufanyi kitu cha maana?

    Nimeanza kubeti muda mrefu bila mafanikio, mara chache sana nimewahi kula elfu 10 mpaka elfu 50. Siku chache zilizopita kwa mara yakwanza nikala m 7 kasoro, sasa picha linaanza leo nina kama laki 4 tu. Nyingine yote sijui nimeitumia vipi. Cha maana nilichofanya ni kununua kiwanja cha 1.2 M...
  15. JamiiForums Tanzania Nani mwenye jukumu la kulipa hela ya kunyonya maji ya choo endapo kitajaa kati ya mwenye nyumba na mpangaji

    Kwema wakuu nataka nilianzishe hapa maana mtu unalipa kodi kila baada ya miezi 6 halafu choo kimejaa, mwenye nyumba hakai hapa lakini je ni nani mwenye jukumu la kulipa wakati sio mwenye nyumba ndo anaestahili kulipa hyo pesa kama shilingi 80,000. Inakuaje wapangaji tupigishwe mchango wa elfu...
  16. JamiiForums Tanzania Ni halali kutoa sadaka kwa hela za kubet?

    Habari wakuu, katika harakati za kubet miaka kadhaa hatimaye leo nimevuna kiasi kikubwa, kwa mujibu wa imani yetu kubet ni haramu, je hii pesa naweza kutumia kutoa sadaka au nayo ni haramu niitafune yote?
  17. JamiiForums Tanzania Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

    Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa. Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution. Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli hii pisi iko bize na kazi haina muda kuwa nami au ndo nikatafute hela kwanza?

    Wakuu Umuofia, Kuna pisi nimeielewa kiaina nimejaribu kuiimbisha walau tuonane uso kwa macho. Lakini mara zote napata kizuizi kutoka kwa hii pisi. Mara zote pisi inadai iko bize sana kiasi hana muda kabisa wa kuonana namimi. Sasa nimerudi humu Jf kuwalilia wakuu wangu. Najua humu kuna...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Simba: Hata Mo hatumtaki. Alimpa nani hela (bil. 3) ya usajili?

    Mashabiki wa Simba wanalalamika kuwa hata tajiri wa Simba Mo anaishi kiujanja ujanja. Inaonekana hata fedha ya usajili wa wachezaji hatoi kwa kiasi kinachotajwa. Mo aliwahi kusema kuwa alitoa bilioni 3 za usajili wa wachezaji. Ni muda muafaka sasa atoke hadharani amtaje liyemkabidhi hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Msitake tuseme anakula nao hizo hela za wizi!!

    Mbona hawachukuliwi hatua? Mbona wanaishia kuhamishwa tu ? Mbona wanatukana na kukashfu uwamu ya sita? Mbona wanateuliwa watu walioshindakana na sugu? Mbona hawachunguzwi licha ya tuhuma za kumilika mali kubwa kuliko vipato? Hivi anavyozunguka nao huko kwenye ziara kuna usalama kweli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…