hekima

Hekima College is a Jesuit school of theology in Nairobi, Kenya, affiliated with the Catholic University of Eastern Africa. It opened in 1984 as a seminary for Jesuits studying to be priests. Since its opening, Hekima has diversified its student base. In 2004 it opened the Institute of Peace Studies and International Relations (HIPSIR).

View More On Wikipedia.org
  1. D

    JamiiForums Tanzania Viongozi jifunzeni kutendea kazi hekima za wazee wakiwa bado hai, Ni aibu na unafiki kusubiri kumpongeza Mzee Warioba msibani

    Wakati huu wapo hai, wanaongea hamuwasikilizi, wanashauri mmeziba masikio, wanapendekeza lakini mmeshupaza shingo! Mtapata faida gani kutokusikiliza hitaji LA watu! Viongozi wakuu mnachokifanya ni kama dereva na tairi! Sisi wananchi ni matairi hivyo tunapitia msoto mkali sana kuwabeba nyinyi...
  2. Farolito

    JamiiForums Tanzania "Usiwe na Haki kupita kiasi" Ina maana gani?

    Wakuu, Hayo maneno niliyoweka hapo juu yanapatika kwenye Bibilia takatifu kitabu cha Mhubiri. Mhu 7:16 SUV Usiwe na haki kupita kiasi; Wala usijiongezee hekima mno; Kwani kujiangamiza mwenyewe? Nini hasa maana yake?Je usipende kudai haki zako kupita kiasi ama usipende kutoa haki kupita kiasi...
  3. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali kuongeza kodi kwa vikundi vya scheme za umwagiliaji ni kukosa Hekima kwa Wanasiasa wetu

    Waziri wa fedha amesoma bajeti na tunaendelea kuichambua kipengele kimoja baada ya kingine. kwa ufupi ni kwamba wanasiasa wameshindwa kutatua changamoto zetu. Wakati taifa likiwa katika mtanzuko mkubwa wa ajira na kuhimiza vijana wetu waegemee zaidi kilimo hasa cha umwagiliaji, Serikali...
  4. God'sBeliever

    JamiiForums Tanzania Malkia wa Sheba (Queen of Sheba) ni nani?

    Naskia wakimtaja sana huyu malkia wa sheba kama mwanamke flani amaizingi sana na mtaalamu sana wa mapenzi. Pia aliwahi kumtembelea mfalme Solomoni baada ya malkia kusikia habari za hekima za mfalme Solomoni. Inafahamika malkia alizaa mtoto wa kiume aliemuita Menelik na huyu alikuja kuwa mfalme...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wazee wenye hekima ndani ya CC ya CCM. Msirudie kupitisha Mgombea Mwenye kaliba ya Magufuli

    Najua ni namna gani Rais na mwenyekiti wa CCM alivyo na nguvu kwa hapa nchini katika kipindi cha kupitisha jina la mgombea wa chama chake. Kwa mazingira hayo, wenye nguvu na maamuzi makubwa ndani ya chama cha mapinduzi ni Mwenyekiti na Rais wa Tanzania mama Samia, Lakini pia huwezi kumkosa...
  6. Infantry Soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto/watoto? Hii inahitaji hekima na busara nyingi sana

    Habari za muda huu waungwana wa jamiiforums Kupatanisha changamoto ya ziada katika ndoa ambayo haina mtoto hata mmoja, kunahitaji hekima na busara nyingi sana. Hakuna ndoa yoyote hapa duniani ambayo ni rahisi kuipatanisha kwa maana kila ndoa ina changamoto zake, lakini ukweli wa mambo ni...
  7. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Nukuu 10 fikirishi na za hekima

    NUKUU 10 FIKIRISHI NA HEKIMA 1. Ni heri kumheshimu mtu kwa juhudi zake kuliko kusibiri uje ujipendekeze kwake akiwa anakula mavuno ya juhudi hizo kwani huo Ni usakatonge hatari 2. Ni vema kumkosoa mtu usiyekubaliana na Mambo yake na kumpa mawazo mbadala angali hai kuliko kumngoja afe ama afeli...
  8. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu pamoja na kutokujibu adhima ya watumishi, lakini hotuba yake ilijaa hekima

    PAMOJA NA KUTOKUTIMIZA ADHIMA YA WAFANYAKAZI, HOTUBA YA MHE RAIS IMEJAA HEKIMA KUBWA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo kilikuwa kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani. Nchini Tanzania sherehe hiyo imefanyika Mkoani Mwanza na Rais wa JMT kuwa Mgeni Rasimi. Mhe Samia ametumia muda huo...
  9. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwe na hekima katika haya

    *Mtoto wako anakosea halafu mzazi unapanick unaanza kumkumbushia gharama zote ulizotumia kumsomesha.Umesahau kwamba kusomesha mtoto ni sharti kisheria.Mtoto hakulazimishi,bali sheria ndo inakufunga usomeshe hata kama Ni kwa gharama yoyote ile, kikubwa mtoto apate elimu bora.Wewe heshimu tu...
  10. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Mzee Warioba, Mzee Kikwete na wazee wenye hekima na Busara itisheni kikao maalumu Cha Wazee wenye busara wa CCM pamoja na Samia

    Mzee Warioba wewe ndio ulikua kiongozi wa kuandika Katiba mpya, Mzee Kikwete wewe ndio uliguswa na kilio cha katiba mpya ndio ukaunda kamati. Wazee wenye busara Ni pamoja na Mzee Butiku,Mangula na wengine. Mama Samia wewe ndio Rais kwa Sasa. Nawaomba wazee nyinyi,mkutane pamoja na Rais Samia...
  11. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  12. Cotton pamba

    JamiiForums Tanzania Ombi langu juu ya siku ya wafanyakazi (Mei mosi )

    Wakuu poleni na matanga ikiwa bado tunaendelea kuomboleza msiba mzito wa taifa, kwa kuondokewa na Rais wetu mpendwa Mh. John Pombe Magufuli ambaye Mungu kamwita. Naomba sasa nigusie jambo kuhusiana na Mei Mosi ijayo. Ama hakika watumishi wa umma tumekuwa wavumilivu kwa kipindi kirefu bila ya...
Back
Top Bottom