hekima

Hekima College is a Jesuit school of theology in Nairobi, Kenya, affiliated with the Catholic University of Eastern Africa. It opened in 1984 as a seminary for Jesuits studying to be priests. Since its opening, Hekima has diversified its student base. In 2004 it opened the Institute of Peace Studies and International Relations (HIPSIR).

View More On Wikipedia.org
  1. haszu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natarajia kufunga ndoa, nipe maneno ya hekima yatakayonisaidia

    Habari wakuu, Mimi ni ME, wiki chache zijazo natarajia kuingia katika ndoa, naomba wenye uzoefu na wanaofahamu mambo wanipe maneno ya hekima yatakayonisaidia kwenye maisha ya ndoa. Usiniambie kataa ndoa kwakua nimeshafanya maamuzi ya kuingia kwenye ndoa. Natanguliza shukran zangu za dhati.
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watu wenye hekima Tanzania: Hekima ya siasa zidi ya Hekima ya uongozi na jinsi ya kupata Hekima ya uongozi na siasa

    1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Hekima ya siasa zidi ya Hekima ya uongozi na jinsi ya kupata Hekima ya uongozi na siasa

    1. Hekima ya siasa ni muhimu sana katika uongozi wa taifa au jamii yoyote ile. Hekima hii inahusisha uwezo wa kufikiri kwa makini na kutumia busara katika kutatua matatizo yanayohusiana na utawala wa nchi. Hekima ya siasa inahusisha pia uwezo wa kuwa na maono na mikakati madhubuti ya kukuza...
  4. marehem x

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa 10 wenye hekima zaidi Tanzania hadi kufikia 2023

    Mwanancha namba moja. 1. Rais Samia Suluhu Hassan 2. J.M Kikwete. 3. Edward N. Lowasa 4. Simbachawene. 5. Mizengo Kayanza Pinda. 6. Benard Membe. 7. Hussein Mwinyi. 8. Jokate Mwegero. 9. Masauni. 10. Dkt. Philip Mpango. Kuna wakati mwananch mwingine alitoa hii Orodha ya wanasiasa bora wa muda...
  5. Mzalendo Uchwara

    JamiiForums Tanzania Je, hii kauli ya Lissu ni kukosa hekima, kutokujali au ndio changa la macho kwa wananchi baada ya tuhuma za kulamba asali?

    Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni. Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini? Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chemsha Bongo

    Nishawahi kusikia au kasoma kuwa; Ujaama ni imani, CHADEMA ni imani, dini ni imani, taifa halina dini bali lina imani, 1. Nini tofauti kati ya KUAMINI na KUJUA 2. Kujua na kuamini je ni kitu kimoja au tofauti. 2. Je, Ujamaa, chadema, dini tunapaswa kujua au kuamini 3. Je, mama yako...
  7. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake mwenyewe, bali mwenye hekima huijenga nyumba

    MWANAMKE MWENYE MAKELELE Tarehe 9/10/2021 nipo stendi ya mabasi Iringa, nimekaa karibu na wakatisha tiketi za mabasi waliokuwa wakifanya mazungumzo yao, na katika mazungumzo yale ninawasikia wakijibiza. "USIRINGE WEWE SI USHUKURU NDOA YAKO HAINA MAKELELE, MI MWENYEWE HAPA NI MNENE, BASI TUU KWA...
  8. Rakims

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mali ya hekima: Majina ya Barahatiyah na faida zake

    Ikiwa utajifunza hiki ninachoandika hapa basi dunia hii na wewe utakuwa mtu mbele za watu na majanga yatakuondoka na hautokuwa tena wa kutegemea watu wala kutaka msaada wa yoyote zaidi utakuwa ni baina ya wewe na Mwenyezi Mungu tu, Photo by Rakims on Rakimspiritual.com na Mwenyezi Mungu utabaki...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
  10. Reality of heaven

    JamiiForums Tanzania Nimeanza kumuelewa Rais Samia. Kweli uongozi ni hekima na sio mihemuko

    Mwanzo nilikuwa simuelewi elewi huyu mama, lakini mpaka sasa nimemkubali ni zaidi ya kiongozi! Haya ni mambo ambayo yanathibitisha kuwa uongozi ni hekima Wala sio mihemuko 1: Ni mpenda haki/ anapenda haki 2: Ni msema kweli na muwazi 3: Sio mtu wa kuchukulia Jambo kwa haraka (sio mtu wa...
  11. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Hekima Tatu Bora!

    Kuna mwanafunzi mmoja alienda Kwa watu WA elimu na kujifunza mambo matatu makubwa. 1) Usimfanyie Ubaya mtu aliyekufanyia wema 2) Ukipita sehemu ukaiona kheri usiiache 3) Usihukumu kitu ambacho hauna uhakika nacho Alipewa Ngamia watatu na wazazi wake kama gharama ya kusomea hayo mambo matatu...
  12. Juandeglo

    JamiiForums Tanzania Hii siyo hekima

    Salamu wakuu, Imekuwa kawaida watu kufanya sherehe baada ya ndoa kufungwa makanisani. Wengi wetu tumekuwa tukilazimika kuharibu bajeti na akiba zetu ili sherehe iwe kubwa ama kufurahisha wazazi, wakwe, mke, washkaji. Kuna bwana harusi mmoja baada ya harusi akatuambia kwenye shughuli yake...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

    Ndugu zangu Ni viongozi wachache Sana wenye moyo Kama alionao Rais mama Samia, Wenye uwezo wa kuvumilia kukosolewa na kila mtu na yeyote, mwenye uwezo wa kumsikiliza kila mtu bila kujari itikadi za kisiasa,mwenye uwezo wa kukaa mezani na yeyote kujadili masuala ya kitaifa,mwenye uwezo wa kusoma...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Vijana wa CHADEMA Wanatumia kitu gani kinachoharibu uwezo wao wa kufikiri na kujenga hoja? Mbona hawana adabu wala hekima?

    Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa maisha ya chama chochote Basi huna budi kuangalia uwezo wa kiuongozi wa vijana waliopoo katika...
  15. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, Raisi Mstaafu aliyejaaliwa hekima nyingi

    Wasalamu wana JF, Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi. Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
  16. Rupia Marko D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hekima ya mchungaji

    Palitokea mtu mmoja afahamikaye kwa jina la Marco Marcusio, kijana huyu mwenye asili ya kinyamwezi akiwa ni chotara wa kimakabila Babaye mnyamwezi mama yake mnyakyusa, kijana huyu alizaliwa Tabora liliko chimbuko la kabila la Baba yake. Na kwa kuwa Baba yake alipata kisomo cha...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kauli mbalimbali za hekima ya mapenzi

  18. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakuu, ushauri wa mzee una hekima?

    Kuna mzee mmoja alinishauri. na kuniambia; kijana, sikiliza ushuri wangu, kwa sababu nimekula chuvi nyingi; katika maisha yako ya mapenzi:- Hakikisha unakuwa na mahusiano na mama ntilie;- ili siku utakapokuwa na njaa, na huna sehemu ya kupata chakula, atakuhudumia. Hakikisha unakuwa na...
  19. Razmax

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kuishi kwa Hekima

    KUISHI NA HEKIMA Hekima inaweza kuja kwa namna nyingi. Inaweza kuwa kipande cha ushauri, somo la kujifunza, au hata tukio la maisha. Hekima ni kilele cha uzoefu na maarifa, ni matokeo ya kuishi kwa sasa. Hekima ni uwezo wa kujua jinsi ya kutenda katika hali yoyote. Hekima ni uwezo wa kuona...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee Jakaya Kikwete

    Hizi ni baadhi tu za maneno ya hekima ya mzee wa msoga. 1. Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako 2. Kelele za chura hazimzuii mtu kuteka maji Karibuni tuongezee zingine ikiwezekana tuweke na mazingira/context ambapo jkauli hizo zilitoka. kwa mfano kauli ya "akili ya kuambiwa changanya ya...
Back
Top Bottom