hekima

Hekima College is a Jesuit school of theology in Nairobi, Kenya, affiliated with the Catholic University of Eastern Africa. It opened in 1984 as a seminary for Jesuits studying to be priests. Since its opening, Hekima has diversified its student base. In 2004 it opened the Institute of Peace Studies and International Relations (HIPSIR).

View More On Wikipedia.org
  1. Marmeid

    Je kuna tukio lilishawahi kukupa depression

    Habar wana JF natumaini wote wazima poleni pia na majukumu yanayo wakeep busy . Nilisha wahi kupewa nisimamie mradi wa misitu ya serikali mwaka fulani, lakin kwa bahati mbaya zilidaka moto kwenye heka 150, zilipona heka 40 ambazo ndo zilikua kwenye matazamio ya uzalishaji , na ndo ilikua kama...
  2. Dr Luu

    Hekima ni kula kabla ya jua kuzama kwa afya njema

    Hii ni kweli kwa kiwango kikubwa, na siyo tu “hekima ya kale.” Kuna sababu za kibiolojia na kiafya zinazoiunga mkono. Ifuatayo ni misingi ya kisaikolojia na kiafya inayoeleza hilo: 1. Umeng’enyo wa chakula (Digestion) Mwili wa binadamu unaendeshwa na mfumo wa saa za kibaolojia (mzunguko wa...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Mwanaume kama una mtoto wa kiume Hekima na busara ukasoma hii

    Wakuu kwa heshima ya dhati kabisa poleni na majukumu na mahangaiko ya leo. Kuhusu msiba huo sio wa Watanganyika bali ni msiba wa wanaccm na Police wao sisi hautuhusu na haujatusitua kwa lolote. Mwanaume katika kipindi hiki ni vyema na haki ukamlea mtoto wako kiume japo nusu au hata robo ya...
  4. H

    Nchi Imeharibika, Laana Ipo juu ya Nchi, Busara Ikiendelea Kukosekana, Ndiyo Mwisho wa Tanzania ya Kale

    Yaliyotokea hii miaka ya karibuni, na hitimisho la October 29, ni uharibifu mkubwa wa Taifa, na uharibifu huu mkubwa umefanywa na watawala kwa kushirikisha vyombo vya ulinzi na usalama. Miaka ya karibuni, mpaka hitimisho la October 29, vyombo vinavyoitwa vya ulinzi na usalama vimegeuzwa kuwa...
  5. CHAGOSI GERALD

    Kwanini Kujitolea JKT Siku Hizi Ni Hekima ya Mpumbafu

    (Gafla Mwendawazimu akanyang'anya mic) MWENDAWAZIMU: Hebu njoo hapa kijana… njoo karibu, usiogope, mimi siwezi kukugusa - tayari nimegusa ukweli, na huo ndio ugonjwa pekee unaoambukiza nilio nao. Uliniuliza “Kwa nini siku hizi kujitolea JKT ni hekima ya mpumbafu?” Sikiliza basi. Sijasema...
  6. ngara23

    Raia namba 1 haikuwa hekima kuwaita maaskofu catholic 'wavaa majoho'

    Lugha za mipasho zilitamalaki Hili limetuvunja moyo na kutuudhi wakatoliki Siamini kuwa raia namba 1 alishindwa jinsi ya kuwataja Kwa heshima maaskofu catholic na kuwajibu hoja zao kuliko kuwaita wavaa majoho Yaani maaskofu wanaoongoza zaidi ya robo tatu ya wananchi wote kiroho unawabagaza na...
  7. The Palm Beach

    Ansbert Ngurumo (Video): Mlipata wapi kura 32,000,000 za Samia?

    https://youtu.be/a3x3e1QFasQ?si=WxGatqMY68D7RZ8v Hili ni swali la Ansbert Gurumo kupitia Youtube Channel yake (SK Media Online TV) Na huyu hapa 👇🏻👇🏻ni mmoja wa watazamaji wake waliotoa maoni yake akijitambulusha kuwa yeye alikuwa msimamizi wa kituo cha kupigia kura huko Shintanga, Manispaa ya...
  8. ngara23

    Magori ni kiongozi asiye na hekima, Mo Dewji umetuletea bomu wanasimba

    Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka 1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper Camara ati ameuza mechi ya Yanga. Hii ilinishangaza mno kiongozi kutokuwa mwanamichezo na kutambua kuwa...
  9. Gospel KTV

    Tofauti kati ya Hekima, ufahamu na maarifa, ni ipi?

    Tofauti kati ya Hekima, ufahamu na maarifa, ni ipi? 1. Naomba kujua tofauti Kati ya Hekima , Ufahamu na Maarifa. 2. Jinsi gani vitu hivyo vinavyohusiana? Katika kitabu cha Mithali 2:6 “Kwa kuwa BWANA huwapa watu hekima; Kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu”; Lakini pia Mambo ya Nyakati...
  10. Lord Denning

    Wakati Dunia inamuomboleza Jaji Frank Caprio kutokana na hekima na busara zake za kipekee, Tanzania tunaomboleza kifo cha Mahakama

    Siku ya leo, Dunia imeshtushwa na taarifa ya kifo cha Jaji Frank Caprio aliyejizolea umaarufu mkubwa duniani kutokana na kusikiliza mashauri kwa Hekima na busara za hali ya juu kabisa kuwahi kutokea. Jaji huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa akiwa anahudumu kama Jaji kiongozi wa Mahakama ya...
  11. chamilo nicolous

    Hekima ni mtazamo

    HEKIMA, AKILI na Ujanja/Hila. Leo 17/8/2025, KKKT imetafakari juu ya kuongozwa na HEKIMA ya Mungu. Mtume Paulo anasema, “Hata hivyo, sisi tunatumia lugha ya hekima kwa wale waliokomaa kiroho; lakini hekima hiyo si ya hapa duniani, wala si ya watawala wa dunia hii ambao wako katika mkumbo wa...
  12. Now and then

    Naomba Serikali itumie hekima kumsaidia Mke Mkubwa wa hayati Job Ndugai

    Kwa kumuangalia tu Mke Mkubwa wa Job Ndugai , unaona kuwa alikuwa akimtegemea mume wake ili kuishi. Ila bahati mbaya Mke mkubwa hatambuliki serikalini. Hivyo kwa umri wake anahitaji kutunzwa, kwa ukaribu kiafaya , kimwili, kiakili na kiroho. Hivyo nawaomba viongozi wa Serikali kuhakikisha...
  13. H

    GE2025 Rais Samia itafute hekima, ukiwasikiliza waovu, utajutia ukiwa peke yako

    Kwa hapa tulipo, Rais Samia unahitaji sana hekima yako binafsi kuliko ushauri wa uovu kutoka kwa waovu waliokuzunguka. Ufahamu kuwa kila uovu unaoendelea nchi hii, yakiwemo matukio ya ushetani mkubwa kama vile kuteka na kuwaua wanaokukosoa, kumbambikia kesi Lisu, watu wanaoenda kisikiliza kesi...
  14. Pdidy

    PAST TONY HATA SHETANI HAKUPENDA VYA BURE USIPENDE GESI ZA BURE DHAMBI...ACHA KUPANIC OMBA HEKIMA NA TOBA MUNGU AKUSAMEHEE

    NILIONA YANAYOENDELEA MTANDAON MPAKA LEO HII KUHUSU KAKAYANGU TONY KAKA YANGU BAIBO INASEMA DONT TOUCH MAI ANNOINTING SITAKULAUMU UKIYOONGEA KAMA N KWELI UWONGO TUMEAMBIWA TUKUMUACHIE MUNGU NDUGU YANGU KAKA PT BAADA YA YALE MANENO YA GESI GAFLA YAKAJA YA SHEMEJI ANA MAGARI MENGI NK NDIO MAANA...
  15. Ibun Sirin

    Baadhi ya wachawi wanaaminika kuwa na uwezo wa kuzungumza na wafu ili kupata maarifa ambayo wao huita hekima

    'Shujaa haitaji kusema zaidi'' huo ni msemo maarufu kwenye vilinge vya uchawi wenye nguvu. Mada hizi sio ngeni katika kurasa hii bali ni muendelezo wa yale niliyo yaanzisha kupitia utafiti wangu katika maswala ya nguvu za giza. Lengo kuu ni kuwapa watu maarifa walau ABC yanayo jiri katika...
  16. Dogoli kinyamkela

    Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa

    Njoo mjini ujionee mwenyewe. Mjini ni bahari ambayo usipoiingia kwa hekima lazima ikuzamishe, maana katika bahari hii wapo Nyangumi, Papa na vipapa vyote vinameza. Mjini kuna kodi ya nyumba, kodi ya meza, kodi ya vikoba, kodi ya michezo, kodi ya pango la biashara, kodi ya takataka, kodi ya...
  17. K

    Faida za kukulia Vijijini na kuja mjini kwa Hekima!

    Kukulia Vijijini kuna Faida zake Nyingi sana. Nilianza shule mjini Arusha Kaloleni shule ya msingi kwa Sasa hivi nasikia ni shule ya sekondari.Nilisoma pale hadi Darasa la Tatu(3),Nikiwa na Wazazi wangu,. Mwezi wa Sita tulienda likizo Mbeya kwa Babu na Bibi, tukiwa huko Babu yangu alinitaka...
  18. ngara23

    Sio hekima Kwa mzazi kupiga simu mara Kwa mara Kwa mwanae aliyeoa au kuolewa

    Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
  19. GoldDhahabu

    Hekima za Biblia katika Uongozi

    "A ruler with no understanding will oppress his people, but one who hates corruption will have a long life" (Proverbs 28:16) Kwa Kiswahili: MTAWALA ASIYE NA AKILI HUTESA WATU WAKE, LAKINI ACHUKIAYE RUSHWA HUONGEZA SIKU ZAKE ZA KUISHI "A just King gives stability to his nation, but one who...
  20. K

    Rais nakuomba utumie busara na hekima Yako

    Mhe Rais wewe ni mtanzania hauna Taifa kingine pia wewe ni mwanadamu jaribu kufikiria Magumu wanayopitia Chadema. Alafu fikiria ingekuwa ni wewe maana kuwa mpinzani siyo ( sin). Let Chadema be free to work, let Tundu lisu be realised...ulifanya hayo Tuzo ya Nobel inakuhusu, pia Tuzo za Mo...
Back
Top Bottom