heka

Heka (; Ancient Egyptian: wikt:ḥkꜣ(w); Coptic: ϩⲓⲕ hik; also transliterated Hekau) was the deification of magic and medicine in ancient Egypt. The name is the Egyptian word for "magic". According to Egyptian literature (Coffin text, spell 261), Heka existed "before duality had yet come into being." The term ḥk3 was also used to refer to the practice of magical rituals.

View More On Wikipedia.org
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Heka kumi za bangi zateketezwa Arusha

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema kuwa limefanikiwa kuteketeza dawa za kulevya aina ya bhang hekari kumi Pamoja na kukamata maguni themanini ya dawa hizo huku Jeshi hilo likibainisha kuwa litaendelea na operesheni kali ya kuwasaka wale wote walio kimbia na wanaojihusisha na biashara hiyo...
  2. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

    Habari wapendwa nahitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3. Location: njia ya bagamoyo mkenge Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo. WhatsApp 0715160365 Call 0747464694
  3. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Nauza heka 3 zipo Bagamoyo Mkenge

    Habari za muda huu, Nauza shamba heka 3 tu zipo Bagamoyo Mkenge. Ni kama 10km kutoka Bagamoyo road. Zote kwa pamoja ni 3.7m ni mali yangu haina dalali pia linatambulika na Serikali za kijiji. WhatsApp: 0715160365 Unaweza nipigia: 0698170582
  4. Waibi fredy

    JamiiForums Tanzania Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

    Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo Bagamoyo karibu na plot ya Bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali. Piga kwa maelezo zaidi 0715160365. Ni mali yangu hakuna dalali.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Couple ya Vijana wa Tanzania inayotrend inatufanya tulio single tuteseke

    habari wadau. hii couple maarufu inayotrend sana tik tok na instagram ya vijana wanaojiita Meet Us. inafanya ma single tujione mayatima wa mapenzi. mahusiano mazuri matamu sana na muhimu hela iwepo ya ku afford standard basic needs. mwanaume ukimaliza chuo ukajipata fasta, yaani ukapata kazi...
  6. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya heka 6 za Mahindi zimefyekwa Mjini Mpanda

    Wakati Serikali inahamasisha Wananchi kujishughulisha na shughuli za Kilimo ili kujikwamia kimaisha, baadhi ya Wakulima katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamefyekewa Mahindi ikidaiwa ni kosa kupanda mazao marefu mjini. Lucia Balizio ambaye ni mkazi wa Mtaa wa Msasani na Nestori Kameme...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba la heka 100 linauzwa Kibaha

    Shamba la heka 100 linauzwa lipo Kibaha: 1. Lipo umbali wa km5.4 kutoka morogoro road 2. Lipo barabarani 3. Limepimwa na lipo kwenye ramani ya mipango miji 4. Huduma za kijamii zipo kwa mawasiliano zaid +255674213079
  8. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza heka 3, zipo Kibaha

    Nauza Heka 3 zipo Kibaha Zina hati zimepakana na barabara ya kwenda Morogoro. Heka moja nauza mil 300 eneo ni zuri sana kama unahitaji piga sim no 0659161693. Karibuni sana
  9. Blaszczykowski

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba langu heka 3

    Habari wapendwa nauza shamba langu Lina heka 3 tu lipo kati kati ya Fukayosi na Kiwangwa karibu na Bakhresa, ni Mali halali lenye hati na linatambulika Serikali za mtaa kutoka barabaran kuu mpaka shamba lipo Ni dakika 25 Heka 1 - 1m WhatsApp 0715160365 Mimi ndio mmiliki
  10. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Tunauza heka Arusha

    Heka zipo Arusha maeneo Kingori, Kikatiti, Maji ya chai na sehemu zingine. Heka zilizopo km 4 ni kuanzia ml 11 unaweza kulipia cash au kidogo kidogo. Heka zilizopo km 5,6,7, na kuendelea unaweza pata kwa ml 8, 7, 6, na ni nzuri kwa kilimo, makazi, na biashara. Nipigie simu uje ofisini twende...
  11. Webbyllon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji wavuna mikaa na kuni tuongee biashara juu ya eneo langu

    Nina ShambaPori lenye ukubwa wa heka 100 lipo Gwata mkoa wa Pwani ambalo limejaa miti mikubwa sana hivyo natafuta maboss ambao watahitaji kuvuna mikaa na kuni tuongee biashara napatikana kwa namba 0743699500 for call/whatsapp.
  12. Zeemadeit

    JamiiForums Tanzania Nauza mashamba yangu Kisarawe (MASAKI) milioni 2 hadi 3 kwa heka

    Karibuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo. Namba 0627757086
  13. CK Allan

    JamiiForums Tanzania Kiwanja robo Heka kinauzwa korogwe mjini

    Ni hatua chache kutoka magunga hospitali Kuna umeme na maji, kipo flat Bei Haipungui Tsh 2,500,000 tu Nipigie 0746 266 267
  14. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 20 linauzwa Mlandizi, Dar es Salaam

    Shamba heka 20 linauzwa Kikongo Mlandizi, ni sehemu nzuri sana kwa biashara na kilimo, eneo lina rotuba ya kutosha. Unaweza kulima mazao yote ya ukanda wa joto. Pia unaweza kuwekeza katika miradi ya ufugaji, makazi nakadhalika. Fursa ni nyingi sana kuna miradi mikubwa inaendelea ikiwemo viwanda...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba heka 18 zilizopimwa kando kando ya ziwa viktoria kuelekea Nyanguge km 8 kutoka barabarani linauzwa

    Eneo kubwa heka 18 za ardhi kandokando ya ziwa viktoria lenye mifugo, vizimbwi vya samaki,malambo linauzwa kwa usd 300000 piga simu 0739290084 au 0622290084. Bei inaweza kupungua. Ni zuri kwa hotel,apartment,mifugo,kilimo nk.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Heka 1 inauzwa Kibaha kongowe

    Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road. WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
  17. K

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Viwanja DSM na Pwani

    VIWANJA VINAUZWA KWA OFA YA SABASABA VIWANJA vinapatikana Vigwaza ni km 8 kutoka barabara ya Morogoro na km 1 kwenda bandari ya nchi kavu. Kwa msimu huu wa sikukuu utapata kiwanja kwa gharama ya Tsh 1050 kwa sqm 1 Kama utalipa Cash na Tsh 1,250 kwa sqm 1 kwa mkopo ambapo utalipia 40% na...
  18. Sumasuma

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo Heka mbili - linauzwa Bagamoyo

    Eneo linauzwa Heka mbili zote kwa Tzs. 16,000 ,000 Mahali: Eneo lipo km 4 kutoka Barabara kuu ya Bagamoyo, ukitokea bunju Ni upande wa kushoto kabla hujafika Bagamoyo mjini . Lipo karibu na shule ya msingi MATAYA . Eneo Lina Michungwa na minazi Unaweza Shuka Kitopeni au Kibaoni kabla ya...
  19. STREET SMART

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja/ Shamba linauzwa Heka Moja Chanika Mwanzo Mgumu

    Habari za asubuhi wadau, nimeshikwa na shida nauza kiwanja changu kilichopo Mwanzo mgumu chanika. Ukubwa hekari moja Bei 2.5m maongezi yapo Mawasiliano piga simu 0718658747
  20. TechTino

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Shamba linauzwa hekari 5 lipo Kerege Bagamoyo 5km kutoka barabara Dar – Bagamoyo lina miti ya mitiki

    LINA MITI YA MITIKI
Back
Top Bottom