Nauza heka zangu 3 mili 3 na nusu

Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo bagamoyo karibu na plot ya bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali .
Piga kwa maelezo zaidi 0715160365 . Ni mali yangu hakuna dalali
Vipi unazo nyaraka zote muhimu?
 
Hilo eneo ni Mali y SmZ na tayri watu wametolewa nduki sio POA. Je uko na hati y wizarani?
Asante
 
Hilo eneo ni Mali y SmZ na tayri watu wametolewa nduki sio POA. Je uko na hati y wizarani?
Asante
Hata kama anayo... Kama eneo lina umiliki wa Wizara kabla ya umiliki wake ...umiliki wake ni batili.

Ardhi ya RAZABA au ukisikia harufu tuu ni ya kukaa nayo mbali sana.

Na Kuna Shamba liko Visiga Viwandani watu wanapigwa mpaka Leo. Kwa kifupi Ardhi ya Bagamoyo/Kibaha/Mkuranga iliyo karibu na mjini DSM ni ya kwenda kwa umakini sana. Tunauziwa Migogoro mikubwa
 
Msiogope kununua ardhi kisa kuna migogoro.

Kibaha kuna mgogoro na bado watu wanamiliki ardhi huko.

Bagamoyo ipo migogoro na hata Mkuranga na bado watu wanamiliki kihalali.

Uoga wako umasikini wako!
 
Wapendwa kimfaa mtu chake nauza heka zangu zote 3 zipo bagamoyo karibu na plot ya bakhresa. Ni mali yangu halali nauza kwa sababu nipo mbali .
Piga kwa maelezo zaidi 0715160365 . Ni mali yangu hakuna dalali
Maeneo yoote yake yamerudishwa serikalini ni msli ya SMZ shamva lako liko upande upi hapo ?
 
Unamiliki ardhi kiasi gani?
Ninabet kivipi!
Nishapigiwa mahali Kibaha tuu hapa, halafu ikaja ishu ya wanasheria (bush lawyers wakatula nyingi kuliko hata ya mnunuzi ya Ardhi) na mwisho miaka 10 baadae jamaa kaka kabomoa kwa Amri ya Mahakama... Ninajua first hand ninachokisema. Matapeli wa Ardhi ni syndicate..nashangaa kwann usalama wa Taifa na polisi wamelala watu wanachoma life servings
 
Pole. Ardi yangu nimenunua kutoka kwenye kampuani.
Hakuna utapeli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom