hayati

Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي‎, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  2. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono. Pia soma Hakuna Rais aliyekuwa...
  3. Yehoyada Yedidia

    JamiiForums Tanzania Furaha Dominic akamatwa akisambaza picha za Utupu

    Furaha Dominic anashitakiwa kwa kosa la kurekodi video zisizo na maadili za viongozi mbalimbali kisha kuzitumia kujipatia pesa kwa kuwatisha (blackmailing). Furaha Dominic ni yule kijana ambaye Magufuli alimkata jina na kusisitiza kuwa hafai kuwa mbunge wa Kawe. Magufuli huenda alikuwa anajua...
  4. Influenza

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema “Baada ya kusikiliza kwa kina maelezo ya Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenari Venance Mabeyo aliyoyatoa Machi 16, 2024, nimeshawishika na ninawashawishi Wabunge wenzangu kuruhusu kuunda Tume huru ya kuchunguza utata wa kifo cha Rais wa awamu ya Tano, Dkt. John...
  5. Mtu Kwao

    JamiiForums Tanzania Mbona hayati mzee Kawawa na Dkt Omari wamesahaulika kabisa

    Salaam Kumekuwa na kumbukizi za viongozi wakuu wengi waliokwisha kutangulia mbele za haki kama vile Mwl. Nyerere, sokoine, mkapa na magufuli. Lakini sijawahi ona kumbukizi za hayati mzee Kawawa na Dkt Omari zikipewa kipaumbele na serikali sikumbuki kama ata tarehe za zinakumbukwa.. Dkt Omari...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Nani kuivunja rekodi ya kiuchumi ya Hayati Rais John Pombe Magufuli?

    Kikao cha 75 cha mkutano wa 59 wa Umoja wa Mataifa kilichofanyika Aprili 16,2021 kilitambua mchango wa kiuchumi kwa taifa la Tanzania na alama za uongozi za aliyekuwa rais wa Tanzania, Hayati Daktari John Pombe Magufuli.Kikao hicho kiliongozwa na Volkan Bozkir Rais wa baraza kuu la UN kikiwa na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Leo nimepekuapekua Video Clips za Hayati Magufuli nikakutana na ile ya Yule Mkaguzi wa Gereza la Butimba aliyechafua Hali ya Hewa

    Alimwambia Hayati Magufuli kuwa anamshukuru yule Mfungwa Albino Kumsemea/ Kumchongea kwake ( akiwa Rais wa JMT) kwani KUMEMUINUA MNO Kiumaarufu na Kiutendaji. Yaani nimejikuta NACHEKA sana hasa Uso wake ulivyokuwa Mkavu, Sura Ngumu huku akiomba Msamaha kama Mtoto Mdogo zilizokuwa zikisindikizwa...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Makonda katika sherehe za kuipokea ndege mpya ya ATCL (BOEING 737-9 MAX) jijini Dar; amekemea tabia inayoonekana kuanza kukua na kukomaa kwa baadhi ya viongozi wa Serikali kwa ngazi mbalimbali ya kujaribu kutenganisha mafanikio yanayoendelea kutokea chini ya Rais Samia na kipindi cha awamu ya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, Hayati Mkapa hakuwa na Chawa? Sioni wanaomkumbuka

    Ndio maana tunawashauri viongozi wa Nchi yetu wajikite kutimiza malengo na uzalendo kwa Taifa lao waachane na vipaumbele vya vyama vyao. Chawa huwa wanakuzunguka na kukupigia makofi pale tu unapokuwa Madarakani. Ukiondoka wanakutupa wanahamia kwa mwingine mwenye uwezo wa kuwapa vyeo, fursa na...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Yaani Balile wa TEF ni wa kumnanga hivi Hayati Magufuli aliyekusaidia mengi kwa kuendekeza njaa zako?

    "Kwa miaka hii Mitatu Rais Samia ameweza Kukusanya Shilingi Trilioni Mbili tena bila ya Kuzikwapua kwa Watu katika Akaunti zao na kutumia Udikteta kuzipata," amesema Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri (TEF) Deodatus Balile alipozungumza na Amka na BBC leo Asubuhi. Balile wewe leo ni wa Kumfumbia...
  11. Mwanadiplomasia Mahiri

    JamiiForums Tanzania Hawa ndio wamebakia watiifu wakweli wa hayati JPM wako pamoja nae hata baada ya kifo

    Doto James, Ngusa Samike, Medard Kalemani wamebakia watiifu kwa hayati JPM hata baada ya kifo chake. Wengineo ni mamluki tu, hata yule wa Dodoma mzee wa “atake asitake tutamuongezea” sijamuona kwenye ibada ya swahiba wake!
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wilaya ya Chato watakiwa kumuenzi Hayati Magufuli kwa kuchapa kazi

    CDE. REUBEN SAGAYIKA AWATAKA UVCCM CHATO KUMUENZI MAGUFULI KWA KUCHAPA KAZI Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Chato wametakiwa kumuenzi Rais wa awamu ya tano, Hayati Dkt. John Magufuli kwa kuchapa kazi na kuiishi slogan yake ya Hapa Kazi Tu. Wito huo umetolewa na Mjumbe wa...
  13. Melvine

    JamiiForums Tanzania Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

    Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa? CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
  14. Barca

    JamiiForums Tanzania Miaka mitatu ya Hayati Magufuli, anaishi kwenye mawazo na fikra za watanzania

    MIAKA MITATU YA JPM;HAYATI RAIS JOHN MAGUFULI ANAISHI KWENYE MAWAZO NA FIKRA ZA WATANZANIA. Leo 17:30hrs 15/03/2024 Miaka mitatu sasa tangu Hayati Rais John Pombe Magufuli afariki akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,tuliosoma falsafa na historia tumekutana na hoja kwamba mtu hafariki...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Geti la Airport lliivunjwa wakati wananchi wakitaka kumuaga Hayati Magufuli

    Salaam, Shalom, Baada ya tarehe 17 march 2021, Mh Samia Suluhu Hassan kutangaza kifo Cha HAYATI Magufuli, Nchi ilizizima. Binafsi, nilikuwa naendelea kufuatilia tetesi za kifo hicho baada ya taarifa nyingi kusambaa kutokana na ufinyu wa taarifa sahihi. Ilipothibitishwa taarifa hiyo, simanzi...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Rais Samia anaenzi maono ya Hayati Magufuli kwa vitendo ikiwemo kutekeleza Miradi mikubwa

    Maono ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati Dkt. John P. Magufuli katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya Kitaifa kama Ujenzi wa Bwawa la Nyerere, Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Ujenzi wa barabara na madaraja makubwa kama vile Daraja la Kigongo - Busisi yametekelezwa na yanaendelea...
  17. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jesca Magufuli achangia Ujenzi Nyumba ya Katibu UVCCM Wilaya ya Chato. Asisitiza Kumuenzi Hayati Magufuli

    "Mimi nikasema si vibaya nikajumuika na vijana wenzangu (UVCCM) Wilaya ya Chato katika ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UVCCM Wilaya ya Chato na kuhakikisha inakamilika, nikasema nichangie kidogo nilichobarikiwa kuhakikisha kazi za Chama na pia siyo mwisho, nitaendelea kuchangia zaidi na zaidi...
  18. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Wenye akili na wazalendo walishajua kuwa Tunahitaji sana kupata Rais Mwingine kama Hayati Magufuli

    Leo tarehe 17/03 ni siku ambayo hayati JPM alitutoka 2021. Katika pitapita leo nimekutana na kijana mmoja kuniambia sisi ambao hatuna akili na sio wazalendo ambao wengi wetu tulikosa virutubisho utotoni na kupata udumavu hatuoni mchango wa hayati Magufuli. Hiyo inapelekea kumsema vibaya na...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliweza kuwatisha waovu, mifumo iliamka kufanya kazi

    Salaam, Shalom. Ili pawe na Amani, huna budi kuwatisha waovu, KAZI hii ya kuhakikisha waovu hawachezei Sharubu za Serikali, Mungu alimsaidia Hayati Magufuli kuifanya kazi hiyo kwa ufasaha. Maeneo yafuatayo, alidhibiti kwelikweli; 1. MTANDAO WA WIZI WA PESA ZA UMMA Tumesikia Rais Samia...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini yaenzi mchango wa Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere

    Serikali ya Afrika Kusini imeendelea kutambua na kuuenzi mchango wa Baba wa Taifa la Tanzania, Hayati Mwl. Julius Kambarage Nyerere katika harakati za kupigania uhuru wa nchi hiyo na bara la Afrika kwa jumla. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Candith...
Back
Top Bottom