Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.
Jana, Mbowe kwenye hotuba yake, alitumia muda mwingi kuzungumzia maridhiano. Na yeye mwenyewe alisema kuwa angetumia muda mrefu kuongelea maridhiano.
Kwa hotuba ile ya Mbowe, ni dhahiri chini ya uongozi wake, CHADEMA itakuwa chama rafiki wa CCM ya Samia, na mwanachama yeyote atakayekuwa...
Sikumuogopa Rais John Magufuli aliyekuwa na majeshi leo hii nimuogope Tundu Lissu,ambaye ni kiongozi mwenzangu tulikuwa nae kwenye chama! kauli tata sana hii,kumekucha!!,Chadema kazi imeanza,Lissu anasema ataendelea kupigania anachokiamini,ataendelea kupiga kelele kama zile kelele za vishindo...
Ndugu zangu Watanzania,
CHADEMA wanaendelea kuvujisha siri za ndani kabisa. Bila shaka mpaka uchaguzi uishe kila kitu cha ndani na cha siri kitakuwa peupe kabisa .
Sasa katika muendelezo wa kutoa siri za ndani juu ya uwezo mdogo wa kiuongozi alionao Lissu Mwenyekiti Wa CHADEMA ngazi ya Mkoa...
Hayati Magufuli alipokuwa Rais wa awamu ya tano alikuwa ni mtu asiyetabirika.
Mwaka fulani katika utawala wake, alilipa mshahara tarehe kama ya leo. Imagine upo zako lindo unapokea sms ya salary pasipo matarajio
Maandalizi ya krisimasi yakawa mazuri.
Niwatakie Sikukuu njema ya Krismas na...
1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu.
2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi ya Kiswahili, Rais Samia anaipeleka lugha hii kimataifa, "Tunamwita Mama Global"
3. Mafundi wa...
Kadri muda unavyokwenda TL anapunguza ukali wa kauli zake juu ya JPM .Kuna uwezekano kuna Mambo anaendelea yaliyokuwa yamejificha .
Kuhusu mikataba mibovu alishakiri kwamba kwenye Mali za Nchi JPM hakupenda zichezewa akimaanisha JPM alikuwa mzalendo.
Baada ya vifo uchaguzi Serikali za mitaa...
Wafadhili wa nini wakati tuna kila kitu Almasi,Dhahabu,ardhi yenye rutuba,sisi ndio wafadhili,naomba niwaambie ukweli,tulikuwa na shida kwa viongozi wetu.
Leo nimekumbuka mkasa mmoja uliotokea enzi ya awamu ya tano!
Ilikuwa ni Julai 16 ya mwaka 2019 Jumanne tulivu tu ndani ya jiji la Mwanza, ghafla Gereza Kuu la Butimba likapata ugeni wa Amiri Jeshi Mkuu, Rais Magufuli.
Basi baada ya maofisa wa juu kutonywa kuwa Rais angeweza kufika pale...
Kuna hii propaganda ya kijinga sana imekuwa ikirudiwa rudiwa mara kwa mara na viongozi wa Chadema akina Mbowe, Lisu na Godbless kuwa rais wa 5 wa nchi yetu hayati Magufuli eti alikuwa anajiandaa na kuweka mazingira sawa ili aweze kung'ang'ania madaraka na kuwa rais wa milele!.
Uzuri wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mtoto Wa Hayati Mwalimu Daktari John Pombe Joseph Magufuli Rais Wa awamu ya Tano Ndugu Jesca John Magufuli Amemwaga Pikipiki kwa makatibu wote wa UVCCM Mkoa wa Geita.
Binti huyu mdogo ametoa msaada huo wa pikipiki kwa makatibu hao wa UVCCM ili ziweze kuwasaidia...
Hivi angejikita kupambania nchi yake kwa muda wa miaka 24 aliyotawala tungekuwa wap?
Lakini watu wanabaki kusifia upande mmoja wa shilingi. Huku wakisahau upande mwingine.
Kwa ujumla aliacha nchi ikiwa masikini na hata tuliowasaidia kupata uhuru wanatucheka.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt Stergomena Lawrence Tax (Mb) tarehe 09 Oktoba 2024 amefanya ziara na kutoa heshima zake katika Kaburi la aliyekuwa Rais wa Awamu ya 3 wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Benjamin Wiliam Mkapa, na kuwasamilia baadhi ya...
Katika zama ambazo Ukoloni mamboleo umeshamiri ni bora tushauriane katika kujikita katika kufanya kazi ili kujitafutia maendeleo binafsi .
Nafahamu kwamba Siasa ndio kila kitu lakini kulaumu na kuumiza vichwa kuhusu wanasiasa haisaidii kubadili maisha magumu tuliyonayo .
Kama kuna watu...
“DEMOKRASIA SIO CHUPA YA Coca-Cola ambayo unaweza kuiagiza kutoka nje ya nchi. Demokrasia inapaswa kujengwa na kuendelezwa kulingana na utamaduni na mahitaji ya nchi husika”.
Hayati Baba Taifa
Mwalimu Julius K Nyerere
(1922 - 1999)
Kumekuwa na post ya Jenerali Ulimwengu aliyoichapisha kwenye mtandao wa X kwamba Mwalimu Julius Nyerere alikuwa Mwenyekiti wa chama chake kuanzia mwaka 1954 mpaka 1977, ukweli wa kauli hii upoje?
Katibu Mkuu wa CCM Taifa Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi akiongozana na Wajumbe wa Sekretarieti amezuru katika kaburi la hayati Benjamin Mkapa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu .
"Naomba nikiri kuwa Mimi ni mwanafunzi wa hayati na nimekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa katika kipindi Chake...
Hapo jana akiwa amewasili kutoka Ughaibuni alikokuwa kwenye Mapumziko ya takribani Mwezi Mmoja ameyasema hayo.
Mh Tundu Lissu Ambaye ni Makamu mwenyekiti wa Chama cha Denlmokrasia na Maendeleo Chadema amebainisha kuwa hawataacha kumkabili mpinzani wao wa chama cha mapinduzi.
Tundu Lissu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.