Nape Nnauye hustahili kumpiga mkwara Lissu wewe ndiye kinara wa kutukana viongozi tena ndani ya Chama chako umemtukana sana Hayati Magufuli

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,401
3,938
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.

Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.

Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.

Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.

Pia soma Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani
 
Sioni jambo lolote lenye akili kubwa likizungumzwa na upinzani,zaidi ya akili mbovu za kujaribu kuukamata umma kwa zero, na nonsense strategies, hasa to rise chokochoko za kipumbavu na hovyo kabisa mara zanzibar, mara wizi, sera za Chadema ni zipi?, katika kuondoa hizo weakness!, watakwambia katiba iruhusu rais ashtakiwe,sasa hilo ndilo jawabu la wizi serekali kote,! Hapana.
 
Mtu yeyote Mwenye mindset ya kushambulia asili au kabila la viongozi hafai kuungwa mkono na wapenda amani. Rwanda walianza hivi hivi wakaishia pabaya.
Kipindi cha Jakaya CDM ilishambulia Sana Islam na neno Msoga likawa midomoni mwao.

Kipindi cha Magufuli lilishambuliwa sana kabila la Wasukuma na Chato ikatajwa Sana na Wana CDM.

Sasa hivi wanashambulia Sana Zanzibar Kwa kilo linalofanywa.

Haya mambo hayakuwepo kabla ya Chadema kupata umaarufu. Watanzania hawakujishughulisha na Kabila la Mwinyi au alipotoka hawakufahamu. Vivyo hivyo Mkapa wachache walijua ni Kabila gani. Lupaso alipotoka ilikuja kujulikana wakati wa mazishi yake.

Tukemee
 
Nape amesahau kwambaalimtukana Sana Lowasa pale Iringa lakini alikwenda msibani Lowasa alipofariki. Huu Ni unafiki na uhuni wa Hali ya juu.
Akaja akamsema vibaya mwendazake. Tuna uhakika gani Kama hatamtukana Samia siku zijazo?
 
Naomba mwenye kumbukumbu yoyote humu Jf inayo elekeza shutuma chafu za Mange dhidi ya ccm au viongozi wa kuu wa Nchi Nape Moses Nauye aliwahi kuishambulia au kumshambulia Mange!!?

Huyu Nape Moja kwa Moja ni Mshirika wa Kigogo asilimia mia kwa mia

Huyu Nape pia Moja kwa Moja ni mshirika wa Mange!!!

Lini na wapi amesha wakosowa watu hao nilizo wataja hapo kuu

Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Mama Raisi wa Tz

Nchi ya kinafiki sana tunasafari ndefu ya kufika Kanani
 
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.

Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.

Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.

Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Jamaa asidhani watanzania Wajinga
Watanzania tunamjua yeye ni sehemu ya yule KIGOGO 2014
Amemtukana sana Magufuli amemtukana sana Lowassa
 
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.

Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.

Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.

Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Mungu anamuona Nape
 
Sioni jambo lolote lenye akili kubwa likizungumzwa na upinzani,zaidi ya akili mbovu za kujaribu kuukamata umma kwa zero, na nonsense strategies, hasa to rise chokochoko za kipumbavu na hovyo kabisa mara zanzibar, mara wizi, sera za Chadema ni zipi?, katika kuondoa hizo weakness!, watakwambia katiba iruhusu rais ashtakiwe,sasa hilo ndilo jawabu la wizi serekali kote,! Hapana.
Unahamisha magoli.
 
Nape amesahau kwambaalimtukana Sana Lowasa pale Iringa lakini alikwenda msibani Lowasa alipofariki. Huu Ni unafiki na uhuni wa Hali ya juu.
Akaja akamsema vibaya mwendazake. Tuna uhakika gani Kama hatamtukana Samia siku zijazo?
Na alikula ng'ombe wa lowassa msibami
 
Sioni jambo lolote lenye akili kubwa likizungumzwa na upinzani,zaidi ya akili mbovu za kujaribu kuukamata umma kwa zero, na nonsense strategies, hasa to rise chokochoko za kipumbavu na hovyo kabisa mara zanzibar, mara wizi, sera za Chadema ni zipi?, katika kuondoa hizo weakness!, watakwambia katiba iruhusu rais ashtakiwe,sasa hilo ndilo jawabu la wizi serekali kote,! Hapana.
Pamoja na kuwa Mimi ni CCM lakini kwenye Katiba nipo pamoja nao. Bila Katiba imara hatuwezi kudhibitiana. Hii Katiba inampa impunity Rais kwahiyo tunashindwa ku create check and balances...Inafaa Kwa Ufalme siyo democratic country...Wafalme Wana makatazo Yao, sisi hii ya kwetu ni ufalme usi na misingi yake
 
Nape ni mmoja wa wafadhili wa Mange leo unataka amkemee?

Asisahau alivyokoswakoswa bastola na 'muuza madafu', na ile kutembezwa kwa magoti kwenda kulamba miguu ya Jiwe.
 
Sioni jambo lolote lenye akili kubwa likizungumzwa na upinzani,zaidi ya akili mbovu za kujaribu kuukamata umma kwa zero, na nonsense strategies, hasa to rise chokochoko za kipumbavu na hovyo kabisa mara zanzibar, mara wizi, sera za Chadema ni zipi?, katika kuondoa hizo weakness!, watakwambia katiba iruhusu rais ashtakiwe,sasa hilo ndilo jawabu la wizi serekali kote,! Hapana.
Kifupi tu ni kuwa wewe hamnazo
 
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.

Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.

Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.

Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Hivi unapoteza muda wako kabisa kujibizana na huyo mtu? Seriously?
 
Nape Nnauye ni mfano mbaya wa Viongozi wa Tanzania napata Mashaka hata namna alivyopata nafasi kubwa serikalini hii inamaanisha kuwa Kuna Nepotism kubwa sana serikalini kimsingi Nape Moses Nnauye hakutakiwa kuwa hata balozi kwa sababu ni kiongozi mwenye mdomo mchafu uliojaa matusi.

Mara kadhaaa tumeshuhudia Nape Nnauye akimtukana Magufuli tena kwa kumdhalilisha anapata wapi credibility ya kumdhalilisha Mheshimiwa Antipas Tundu Lissu.

Nape amenukuliwa Mara Kazaa akimtukana Lowasaa lakini hakuona aibu.

Nape kwa nini hajamtukana na kumpinga Mange kimambi ambaye kutwa kila kukicha anamdhalilisha Mheshimiwa Rais na tunasema ajitafakari sana huyu.
Huyu Nape , ni mnafiki na anawakilisha viongoz wanafiki. Kwanza ni wazir wa habari, si kwamba ana sifa za kuwa wazir wa habari, la hasha, ni wazir wa, habari kwa kuwa tu baba yake alikuwa chawa na Mumbaji mtumbuizaji wa Nyerere na wenzake. Yaan huyu jamaa ni bumunda haswa.
 
Back
Top Bottom