Pir Hayati-ye Sofla (Persian: پيرحياتي سفلي, also Romanized as Pīr Ḩayātī-ye Soflá; also known as Pīr Ḩayātī, Pīr Ḩayātī-ye Pā’īn, Pīriāī, and Pīryal) is a village in Mahidasht Rural District, Mahidasht District, Kermanshah County, Kermanshah Province, Iran. At the 2006 census, its population was 210, in 47 families.
Kama kuna Maamuzi ambayo Generalist Mimi nitayafurahia na nitazidi Kumpenda (Kumkubali) Rais wangu Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, Serikali yake na Chama chake (changu) cha CCM ni kama akiliamua hili lifuatalo.
Kwamba tarehe ya Kumbukumbu (Kumbukizi) ya Kifo cha Rais Hayati Dkt. Magufuli...
KOSEA SIYO DHAMBI, NI KUUFANYA USHAURI KAMA KUTAKA KUMFUTA MTU.
Na Elius Ndabila
0768239284
Kumekuwa na kundi la watu wakiwepo hata baadhi ya viongozi ambao wanataka kuficha madhaifu aliyoyabaini CAG kwa kigezo kuwa ni kutaka kumchafua hayati Magufuli. Upotoshwaji huu wa wazi wazi unaofanywa...
Je, unaweza kumwelezea Hayati kama alikuwa ni mtu wa namna gani?
Wakati wa uhai wake kwenye vyombo vyote vya habari ukiacha mitandao ya kijamii, magazeti na television, na hata vijiweni ilizoeleka kusikia sifa nyingi positive kumhusu yeye.
Kwenye mitandao ya kijamii kidogo kulikuwa na watu...
Wakati wa uhai wake Hayati Magufuli aliupinga mradi wa ujenzi wa bandari ya Bagamoyo na alisema nii kichaa pekee ndiye anaweza kukubali masharti ya mradi. Pia wakati wa uhai wake viongozi takribani wote wa CCM walijipambanua kama wafuasi wake kindakindaki na baadhi yao wakiwemo wabunge...
Mbunge wa Mtera, Livingstone Lusinde amesema Hayati Dkt. Magufuli amefanya mambo mengi na kuna Watu walikuwa hawachaguliki kwenye Uongozi lakini kipindi cha Magufuli walipata nafasi
Amesema wanaotaka Mradi wa Mwl. Nyerere usitishwe hawaelewi faida za mradi huo na tayari Serikali imeshatumia...
Kwanz kbs napenda kumshukur mw/Mungu kwa kunijaalia uzima, akili, maarifa na afya, lkn pia napenda kutumia nafasi hii kuwasalimu member wote wa jamii forum mliopo humu.
Ndugu zangu watanzania kuna tabia imezuka kutoka katika makundi mbali mbali ya wachumia matumbo ambao wameamua kutengeneza...
Kwa jinsi hii shughuli ya msiba inavyoendeshwa inaonyesha wazi kuna mabilioni ya fedha yanapotea kwa kutumia mgongo wa kumzika kiheshima Rais Magufuli.
Kuna wengine bila shaka wanatumia fursa hii kupiga pesa, pesa ambazo kwa namna moja au nyingine zingesaidia mambo mengi mno MF madawa...
Hayati Magufuli ndiye aliyesababisha wabunge wengi kurudi bungeni kwa ubabe wake alioufanya.
Madiwani nao wamebebwa kushika hizo nyadhifa kwa hisani ya ubabe wa hayati Magufuli.
Wenyeviti wa vitongoji ndiyo kabisaa hata uchaguzi hatukufanya walipitishwa bila kupingwa, yote hiyo ni hisani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.