hayati dkt. magufuli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Hayati Magufuli alimpa shamba Bhakresa sasa hivi anazalisha sukari na kaajiri vijana elfu moja

    HilI shamba tungegawia vijana elfu moja wasingezalisha hata sukari guru, tungewakuta mlandizi wakiuza Juice ya miwa
  2. Nebuchadinezzer

    Hayati Magufuli alipo-deal na Kenya alionekana anaharibu mahusiano, mmeona sasa?

    Mzaha mzaha, mbuzi Kampanda mamaye. Ile kauli "mtanikumbuka ilikuwa ni kauli ya kinabii na sio ya kisiasa. Nathaniel sasa kila mtanzania ameanza kuelewa kwanini JPM Ali deal na wakenya effectively. Hawa Wakenya sio majirani, ni maadui zetu, hawafai kuchukuliwa kama majirani. Suala la...
  3. Martin Maranja Masese

    Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu

    "JPM ALICHELEWA KUWA RAIS WETU" Tulitakiwa kuwa na JPM kabla ya miaka 20 iliyopita. Magufuli alichelewa kuwa Rais wetu kwa katiba ya kifalme/kisultan tuliyonayo. Miaka 5 na miezi 5 ilituonyesha rangi za udikteta. Ingawa rangi hiyo haikufika kwa mtu mmoja mmoja, wapo walioguswa Bado tulihitaji...
  4. Kiturilo

    Video ya Hayati Magufuli akimnadi Dkt. Mwinyi imenitoa machozi

    Hii video ni baada ya Dk Mwinyi kushinda mchakato ndani ya CCM na kuteuliwa kuwa mgomea urais wa Zanzibar kupitia chama chake. Hayati Magufuli alisema mengi kuhusu Mwinyi lakini mwishoni akatoa onyo kwa wazanzibar ikiwa watamchagua Dk Mwinyi kuwa Rais wao hiii wataiona Zanzibar itakavyopaa kwa...
  5. kavulata

    Wabunge tuache kufananisha awamu ya Tano na ya Sita, tunakosea sana

    Awamu ya Tano haikuwa awamu ya Sayansi, Sheria na Demokrasia. Ilikuwa ni awamu ya mambo yaende yatake yasitake, utake usitake. Awamu ya Tano iliamini kuwa sayansi, sheria na demokrasia ni nyenzo za kuchelewesha mambo kwa kuongeza ukiritimba. Awamu ya Tano iliendesha nchi kama vile dereva...
  6. J

    Kumbe Kamati za Bunge zina nguvu sana. Hayati Magufuli alikuwa anasema kila anachofanya kimepitishwa na Bunge watu wakabisha. Ahsante Nape Nnauye!

    Jana baada ya kumsikiliza kwa makini Waziri Nape pale Clouds TV ndio nikaelewa kwanini hayati Magufuli alikuwa anasema mambo yote anayofanya bunge linayajua na limeyabariki. Nape alisema kamati za bunge ndio hufanya kazi zote za msingi na mwisho hukubaliana na kutoa maoni ya pamoja. Kwa mfano...
  7. Zanzibar-ASP

    Magufuli alipofariki dunia tu, Samia akachukua Urais. Ndugai alipoanguka tu, Tulia akawa Spika. Wanawake wa CCM wamejipanga!

    Linapokuja suala la mali au madaraka huenda kundi la wanawake ndio kinara wa kuvuna kirahisi sana, iwe kwa haki au kwa hila, wanawake ni wavunaji tu. Wakati watawala wa CCM walipokuwa wanawapanga wanawake kwenye safu mbalimbali za uongozi kama alama ya ujanja ujanja ya kuwatumia ili kuimarisha...
  8. J

    Furaha Dominic: Rais Samia awe mwangalifu na hao waliomzunguka, wengi wao ni Wafitinishi (KUPE) walimdanganya Magufuli!

    Furaha Dominic ambaye ni mpwa wa hayati Magufuli aliyegombea ubunge jimbo la Kawe na kushika nafasi ya kwanza huku Pascal Mayalla akiwa wa 162 amesema siku atakayokutana na Rais Samia atampa orodha ya Wafitini wote waliomzunguka. Furaha anadai CCM kumejaa siasa chafu za kupakana matope...
  9. Fundi Madirisha

    Dkt. Tulia Ackson alikuwa chaguo la Magufuli, hafai kuwa Spika wa Bunge litakalosimamia Serikali ya awamu ya 6

    Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi. Tulishauri kwamba Mama...
  10. masara

    Napendekeza siku ya Kumbukizi ya Hayati Magufuli tuandamane na mabango hadi kaburini ili kuhiji na kuonesha hisia zetu

    Bado ni mwaka mpya maana hata watoto hawajaenda shule bado. Pamoja na yote natambua juhudi na kazi kubwa inayofanywa na rais wetu mpedwa mama Samia kwa kuhakikisha usalama wa nchi na kuifikisha Tanzania sehemu fulani. Kwa sehemu yangu nakupongeza sana mama na hiyo inathibithisha kuwa kweli...
  11. S

    Chini ya Hayati Magufuli, wengi waliufyata. Tusiwalaumu

    Hata wa upinzani nao walikuwa hali moja sawa na waliokuwa Serikalini, wengine walikimbia nchi. Ni lini CCM watakiri kuwa Marehemu Magufuli aligeuka na kuwa Dicteta kiasi ya wengine wakiwa nje ya nchi kumwita ni Dikteta uchwara? Kwa upande wangu nyakati za kabla yake wengi tuliomba tupate...
  12. N

    CCM ni mnara wa Babeli kutaka kutawala milele. Rais Samia tulishauri ulifute kundi la Hayati Magufuli hukutaka kusikia, sasa umeona?

    Utangulizi wangu una mada moja kwa mbili ili kuvileta vitu viwili Wakati Mama Samia anatawazwa kuwa mkuu wa nchi, watu wengi kwenye mitandao tofauti, JF ikiwa kinara walimshauri sana kwa nguvu kubwa kuwa avunje Baraza la Mawaziri na kuliunda upya. Kwa kufanya ivo angekuwa amejiwekea heshima na...
  13. Dive

    Kifo cha Magufuli kilidhihirisha mifumo ya nchi ilivyovuja 2021

    APRILI 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu. Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwamba kila nafsi itaonja mauti...
  14. Elitwege

    Ndani ya jiji la Dodoma baada ya miaka 26, asante Hayati Dkt. Magufuli

    Hii mada inaonesha kumbe watu wengi bado wana mtazamo hasi dhidi ya mji wa Dodoma. Binafsi mara ya kwanza nimefika Dodoma miaka 26 iliyopita. Kweli wakati huo maisha yalikuwa magumu sana kuishi Dodoma kwa sababu zifuatazo; Mosi, mji ulikuwa ni mfinyu mno, ulikuwa unaweza kutumia dk zisizozidi...
  15. Superbug

    Uongozi wa Magufuli umeacha madoa mabaya kwa CCM Taifa

    Uongozi wa magufuli wa awamu ya tano umeacha madoa na makovu mabaya sana katika historian ya taifa letu. Ni kweli alijenga miundo mbinu lakin mabaya aliyoyafanya yanafunika hayo mazuri. Imagine mpaka viongozi wa dini waliwekwa kwenye tagert ya hit list. Mwingira anaweza akawa asiwe wa mwisho...
  16. U

    Leteni ushahidi wa namna Serikali ya Hayati Dkt. Magufuli ilivyoharibu mahusiano ya kimataifa

    Enyi walimwengu Naomba msaada kujulishwa hayati JPM akiwa raisi alivunja mahusiano gani na nchi mbali mbali Na jumuia za kimataifa ambazo leo nasikia wengi wakitamka kuwa sasa mahusiano hayo yaliyovunjwa awali yanatejeshwa kwa kasi sana. Angalizo kwa waleta majibu ya maswali hapa chini ndo...
  17. W

    Nyerere, Magufuli na Polepole: Mashujaa pekee wa CCM katika enzi za siasa za vyama vingi

    Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!! Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM! Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani Watakushughulikia kungali kweupe! Hii...
  18. kipara kipya

    Hayati Magufuli aliwezaje kuwadhibiti wahujumu wa maji na umeme?

    Aliposema biashara ya majenereta iwe mwisho na akata kuona mabwawa yote yawe yamejaa maji iwe kiangazi au mvua iwe kipindi cha ukame , yote yalitekelezeka ndani ya wiki mpaka siku anafariki mabwawa yote yalikuwa full na ziada ilikuwa inasubiri na wenye mifugo waliendelea kunywesha na bwawa la...
  19. Imalamawazo

    Mwanasiasa sharti uwe na wafuasi siyo wapambe. Somo kutoka kwa Hayati Maalim Seif na Hayati Dkt. Magufuli

    Hawa miamba wawili waliotikisa siasa za Tanzania na Zanzibar kwa miaka ya hivi karibuni. Ulinganisho wao unatokana na ukweli kuwa wote walikuwa viongozi wa juu wa kisiasa na pia muda wao wa kiaga dunia ulikaribiana sana. Kila mmoja kati ya viongozi hawa walikuwa na misimamo, falsafa na mitazamo...
  20. Extrovert

    Akili inayotumika kumponda Hayati Dkt. Magufuli ndio ile ile iliyowagharimu wana Libya

    Salama humu, Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5! Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social services ziwe available and accessible kwa umma ndio kitu ambacho wengi wenye akili tutamkumbuka nacho...
Back
Top Bottom