Siku ambayo Hayati Magufuli alimshangaa Mufti Aboubakar Zuberi

je parle

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,874
3,611
Leo katika historia.

Moja katika masiku katika historia ya rais aliefanya makubwa sana hapa nchini Tanzania.

Rais aliekuwa wa wanyonge haswa japo Kuna watu bado wanaandama kivuli chake kwa kuwa hayupo nasi

Wakati akiwa hai waliufyata mkia kama sungura. Tukubali katika hii Dunia huwezi kukubalika na wote hata uwe nani. Kwahiyo sishangai wanaobeza alichokifanya bwana mkubwa yule kwakuwa ni katika maumbile kubeza vitu usivyotambua thamani yake mana hata mama na yeye Kuna kundi la Wala ugoro na mirungi wanambeza. Hao ni watu wasio jua wanataka nini.

Haya mada ipo hivi. Katika ule ufadhili wa msikiti wa Bakwata pale Kinondoni, wale wafadhili walitaka kutoa Hela cash au cheque ya thamani ya huo msikiti ujengwe. Kama sikosei zilikuwa dolar Milion 12 wapewe Bakwata wajenge wenyewe.

Mufti mkuu akasema hapana Hela ni fitna sana kwahiyo sisi msitupe Hela hata cent Tano. Nyie jengeni wenyewe halafu mtukabidhi funguo tu msikiti kwa maana hizo hela zisije kufanyiwa ubadhirifu halafu tukaanza kutupiana lawama kuonekana uongozi wa Bakwata umefanya ufujaji wa pesa za Waislamu. Kwahiyo mufti kazikataa hizi pesa kwa style hiyo.

Bwana mkubwa akasikia hiki kisa kuna mtu huko kakataa hela cash. Eti anasema anaogopa fitna ya pesa. Bwana mkubwa akasema muiteni huyo mtu, inawezekana akawa muadilifu sana, hii kitu sio ya kawaida unakataaje dolar milion 12?

Basi kuanzia hapo ikawa ndio mwanzo wa kuiva sana baina ya bwana JPM ba mufti Aboubakar Zuberi.

Ramadhani makbul ndugu zangu.
 
Leo katika historia.

Moja katika masiku katika historia ya rais aliefanya makubwa sana hapa nchini Tanzania.

Rais aliekuwa WA wanyonge haswa japo Kuna watu bado wanaandama kivuli chake kwa kuwa hayupo nasi..
Hata miye ningefanya hivyo hivyo
 
Leo katika historia.

Moja katika masiku katika historia ya rais aliefanya makubwa sana hapa nchini Tanzania.

Rais aliekuwa WA wanyonge haswa japo Kuna watu bado wanaandama kivuli chake kwa kuwa hayupo nasi

Wakati akiwa hai waliufyata mkia kama sungura. Tukubali katika hii Dunia huwezi kukubalika na wote hata uwe nani. Kwahiyo sishangai wanaobeza alichokifanya bwana mkubwa yule kwakuwa ni katika maumbile kubeza vitu usivyotambua thamani yake mana hata mama na yeye Kuna kundi la Wala ugoro na mirungi wanambeza. Hao ni watu wasio jua wanataka nini.

Haya mada ipo hivi. Katika ule ufadhili wa msikiti wa Bakwata pale Kinondoni, wale wafadhili walitaka kutoa Hela cash au cheque ya thamani ya huo msikiti ujengwe. Kama sikosei zilikuwa dolar Milion 12 wapewe Bakwata wajenge wenyewe.

Mufti mkuu akasema hapana Hela ni fitna sana kwahiyo sisi msitupe Hela hata cent Tano. Nyie jengeni wenyewe alafu mtukabidhi funguo tu msikiti kwa maana hizo hela zisije kufanyiwa ubadhirifu alafu tukaanza kutupiana lawama kuonekana uongozi wa Bakwata umefanya ufujaji wa pesa za Waislamu. Kwahiyo mufti kazikataa hizi pesa kwa style hiyo.

Bwana mkubwa akasikia hiki kisa kuna mtu huko kakataa hela cash. Eti anasema anaogopa fitna ya pesa. Bwana mkubwa akasema muiteni huyo mtu, inawezekana akawa muadilifu sana, hii kitu sio ya kawaida unakataaje dolar milion 12?

Basi kuanzia hapo ikawa ndio mwanzo wa kuiva sana baina ya bwana jpm ba mufti Aboubakar Zuberi.

Ramadhani makbul ndugu zangu.
Sheikh Zubeir anheomba ushauri kwa Heikh Alhad aliyekua sheikh wa Dar uone mambo ambavyo yangebadilika kuhusu kupokea pesa
 
inaniuma nini mkuu, kama ni hizo hela roho inaniuma kweli kama ilivyomuuuma jiwe kukosa USD 12,OOO . Hiyo nni 28B Brother

mkuu magu kaongoza nchi ujue kabla ya hapo amekaa waziri wa miundombinu muda sana 28b unahisi kwake ni hela ya kumuumiza roho
 
Leo katika historia.

Moja katika masiku katika historia ya rais aliefanya makubwa sana hapa nchini Tanzania.

Rais aliekuwa WA wanyonge haswa japo Kuna watu bado wanaandama kivuli chake kwa kuwa hayupo nasi

Wakati akiwa hai waliufyata mkia kama sungura. Tukubali katika hii Dunia huwezi kukubalika na wote hata uwe nani. Kwahiyo sishangai wanaobeza alichokifanya bwana mkubwa yule kwakuwa ni katika maumbile kubeza vitu usivyotambua thamani yake mana hata mama na yeye Kuna kundi la Wala ugoro na mirungi wanambeza. Hao ni watu wasio jua wanataka nini.

Haya mada ipo hivi. Katika ule ufadhili wa msikiti wa Bakwata pale Kinondoni, wale wafadhili walitaka kutoa Hela cash au cheque ya thamani ya huo msikiti ujengwe. Kama sikosei zilikuwa dolar Milion 12 wapewe Bakwata wajenge wenyewe.

Mufti mkuu akasema hapana Hela ni fitna sana kwahiyo sisi msitupe Hela hata cent Tano. Nyie jengeni wenyewe alafu mtukabidhi funguo tu msikiti kwa maana hizo hela zisije kufanyiwa ubadhirifu alafu tukaanza kutupiana lawama kuonekana uongozi wa Bakwata umefanya ufujaji wa pesa za Waislamu. Kwahiyo mufti kazikataa hizi pesa kwa style hiyo.

Bwana mkubwa akasikia hiki kisa kuna mtu huko kakataa hela cash. Eti anasema anaogopa fitna ya pesa. Bwana mkubwa akasema muiteni huyo mtu, inawezekana akawa muadilifu sana, hii kitu sio ya kawaida unakataaje dolar milion 12?

Basi kuanzia hapo ikawa ndio mwanzo wa kuiva sana baina ya bwana jpm ba mufti Aboubakar Zuberi.

Ramadhani makbul ndugu zangu.
Alijijua yeye mpigaji akadhani kila mtu mpigaji,waadilifu wapo
Ingekuwa yeye hapo bilioni kadhaa zingeyeyuka
 
Back
Top Bottom