haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, hata haya hamyaoni?

    Hivi serikali kwa kimya chetu mnadhani mmetushawishi? Hivi hata haya siyo ujanja ujanja wenu usio kubalika? 1. Malipo ya shule vyuo vikuu tunakolipa kupitia loan board 100% + interest. Kwa maana vyuo vya umma havina tofauti na vyuo binafsi. 2. Malipo ya hospitali ambapo dawa, kumwona daktari...
  2. JamiiForums Tanzania Je, kwa haya maamuzi tukisema kuwa huenda GSM alikuwa anatafuta vita ya kibiashara na Azam siku nyingi tutakuwa tunakosea?

    GENTAMYCINE sitaki kabisa kuamini kuwa haya maamuzi ninayoyaita ya kipumbavu na kishamba yaliyofanywa na Kiongozi wa Matawi wa Yanga SC Mkoa wa Dar es Salaam ya kuwataka wana Yanga SC wote kususia kununua bidhaa zozote zile za Azam yamefanywa kwa ama bahati mbaya au kwa kukurupuka tu. Ukituliza...
  3. JamiiForums Tanzania Haya Hapa Majumba ya Putin!!

    Huyu jamaa hana tofauti na viongozi walafi wa Kiafrika ambao hujilimbikizia Mali huku wananchi wao wakitaabika. 1. Makazi rasmi ya Putin,Barvikha Moscow 2. Makazi rasmi ya Putin,Novo-Ogoriovo Moscow 3. Makazi rasmi ya Putin,Barvikha Moscow 4. Makazi rasmi ya Putin,Saint Petersburg 5...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa haya ninayoyasikia na kuyaona! Tusahau CCM kutoka madarakani kwa namna yoyote ile

    Ndiyo ukweli halisi huo kuitoa ccm kwenye Uongozi wa nchi msifikirie na wala msiwaze hata kidogo kama nyie wenyewe hata kujiongoza hamuwezi na tunajikuta wanaharakati wa mitandao kwahiyo ndugu zenu au bibi zenu wa bara wanaifahamu Twitter au jamiiforum? Nyie kutwa kazi ya kupiga kelele humu...
  5. JamiiForums Tanzania Moses Phiri asingemuweka Fiston Mayele Kichwani mwake haya Majeraha asingeyapata

    Kinachomgharimu Moses Phiri ni kutokubali kwanba Mshindani wake Fiston Mayele yuko kwenye Njia ( Relini ) Kiufungaji kutokana na Kuizoea Ligi Kuu ya Tanzania kulko Yeye Mgeni. Matokeo yake sasa Moses Phiri analazimika kutumia Nguvu Kubwa Kushindwana Kiufungaji n Fiston Mayele matokeo yake...
  6. JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  7. JamiiForums Tanzania Kwa Mazingira haya Tata na ninavyoujua Mpira wa Bongo ulivyo Azam FC ameshafungwa mapema tu na Yanga SC Krismasi

    1. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi..... Siku ya Mechi yetu na Yanga SC Jumapili tarehe 25 Disemba Tutavaa Jezi Nyeusi. 2. Msemaji wa Azam FC aliye Kifungoni Zaka za Kazi...... Kuhusu Sisi Azam FC kuvaa Jezi zetu Nyeusi nilisema tu Kiutani ila Tutavaa Jezi tutakazotakiwa Kuvaa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mitumba inapatikana wapi hapa Kahama?

    Habari za mchana wadau wa jukwaa hili. Nimeingia kahama kwa lengo la kuishi hapa baada ya kutoka Arusha. Nataka kufanya kazi ya mitumba (pointa). Natamani sana sana kujua soko kuu la mitumba lipo wapi hapa Kahama ? Asanteni!
  9. JamiiForums Tanzania Kati ya haya Mawili kipi ni Bora zaidi?

    Nina Sebule kubwa nmemaliza Ujenzi nataka week hii nifunge AC. Nlikuwa naomba ushauri kwenu. Kipi Bora. 1. Kuweka ACs mbili ambazo kila moja ni BTU 12 au 2. Kuweka moja tu yenye BTU 22? Sebule ni kubwa na nataka yote igeuke kuwa Mbeya au Iringa. Yaani ipigwe baridi hasa ikiwezekana hata mtu...
  10. JamiiForums Tanzania Nadhani sasa naelekea kushindwa haya mapenzi. Sijui shida nini maana mi nimechoka

    Nimeona nami nichepuke kidogo ( nisamehe mpenzi wangu huko uliko nlipitiwa tu na lishetani mbwa hili) Huyu demu nimemnunulia nyama choma ya kuku na ndizi 2. Kisha kanywa na Konyagi nusu Mzinga. Ameenjoy ndo tukaenda kulala lodge. Mi nikaomba angalau nami ninanii...yaani nifanye naye matusi...
  11. JamiiForums Tanzania Majina waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza 2023 haya hapa

    Wanafunzi 1, 073, 941 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka 2022 wakiwemo wavulana 514, 846 na wasichana 559, 095 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka 2023. Taarifa iliyotolewa leo Jumatano Desemba 14, 2022 na Waziri wa Tamisemi, Angellah Kairuki imesema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Mapenzi haya wakati mwingine ni kujitesa tu

    Unakuta msichana mdogo tu kavaa kitenge, kanga, gauni bwanga kama anazuia mimba isionekane, yaan hivyo vyote kavaa kwa pamoja na remba kichwani na yeboyebo au skuna. Ukiuliza unaambiwa ndo vaa yake tangu aolewe na yule mbaba. Yaani kujivika kote huko manguo ili aonekane MTU mzima na kupunguza...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Uteketezaji huu wa vifaranga ni unyama uliopitiliza

    Kupitia taarifa ya habari jana Jumatatu saa mbili usiku Azam TV imeripoti habari ya kiwanda kimoja cha kuzalisha vifaranga cha mjini Moshi kuteketeza mamia ya vifaranga kwa kuwatosa kwenye moto mkaili eti kisa tu vifaranga hao wamekosa soko! Kweli japo kuku wanaliwa kila siku lakini kitendo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
  15. JamiiForums Tanzania Majenereta ya umeme ni ya nani haya jamani?

    Kumbe hawa Viongozi wetu wanazima umeme kwa makusudi ili wapate kufanya biashara zao za kuuza Majenereta? Ama kweli Tutamkumbuka Sana RIP Doctor Magufuli, aliwahi kusema akiondoka kila kitu kitarudi kama zamani na kweli tunaona sasa.
  16. JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya wajumbe wa NEC, kipo kitu nyuma ya Pazia, Mwenyekiti shtuka

    Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa. Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote. Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara 👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼 Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nawamiss Watanzania. Nikirudi huko kwenu naomba Mnitembeze haya maeneo nimeyasikia wenzenu wakiyataja Huku niliko

    Unajua sisi wengine hatuna maringo au kujitenga na watu wenye njaa au shida. Wale jamaa nliwapa pesa wakae Hotel nzuri jana siku nzima walikuwa wananitafuta. Si hakukuwa na match. So wakaona wapate muda wa kuona Jiji na mimi. Wamekuja na mademu wao na mimi wameniletea wawili. Wasichana wenyewe...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara

    Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa kuwa wajumbe wa NEC-CCM kwa Tanzania bara. Wanawake 1. Dkt Angelina S Mabula Kura 770 2. Dkt Ashatu Kijaji Kura 764 3. Christina Solomon Mndeme Kura...
  19. JamiiForums Tanzania Haya mambo ya kupata mke mtandaoni yana ukweli?

    Tunaweza tukawa tupo kwenye mahusiano na wapenzi wetu tunaotarajia kuwaoa ila tunazinguana/kugombana kila siku, wakati kuna mitandao ambayo ipo kiganjani kwetu inaweza kututimizia haja ya mioyo yetu. Kiufupi, watu wengi hatuna muda wa kutongoza, hatuna muda wa kupita mitaani na kuangalia...
  20. JamiiForums Tanzania Utakatatifu ndiyo dini yenyewe, haya mambo mengine mnalisha upepo tu

    If you want God to change your destiny make sure you live with God, saidia Masikini wenye uhitaji wa kweli ukifanya hivi hautokuwa miongoni mwa masikini Maisha yako yote. Saidia wazazi wako wakiwa bado hai . Hakikisha unaitunza Familiya yako vizuri . Walipe wafanyakazi wako ujira mzuri...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…