haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimesanuka, Bila kutumia akili kwenye haya maisha...

    Maskani na Chocho zote kila ukiongelea situations zako kuzitafutia tatuzi jibu la mwisho utasikia tu kasauti kanachomekea "Tafta hela" Kiufupi hizi Karatasi zenye harufu ni kama zinataka kututoa roho kabisa kama sio kutufanya walemavu, Ukipita maeneo ya masoko na sehemu zilizochanganya kila...
  2. JamiiForums Tanzania Yanga mtauthibitishia umma haya?

    Ni muda mrefu kiasi umepita toka nilipoa andika uzi kuhusiana na club ya yanga. https://www.jamiiforums.com/threads/msimu-bora-kwa-kikosi-kilicho-bora-tanzania.2068095/ Yanga wanazidi kuonesha makubwa ambayo niliyaandika katika uzi ulopita. Leo kabla ya mechi ya leo dhidi ya wapinzani wao...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Basi mkikutana na vijana wa aina hii muwakumbushe mambo haya Matatu

    Haya mambo matatu ni ya muhimu sana kwa vijana waliopo kwenye siasa 1. Kuna maisha baada ya Cheo /siasa. 2. Siasa haina rafiki au adui wa kudumu bali kinachoangaliwa ni maslahi . 3. Siasa ni mchezo mchafu waachwe wanao uweza waucheze. Mwisho huyu mwanaharakati akumbushwe ni bora ajifunze kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Tanroad Iringa, haya ni matumizi mabaya ya fedha za walipa kodi

    Wakuu! Habari za muda huu, sijui ni nani anayewashauri hawa TANROAD wa Iringa, mwezi wa pili mwanzoni waliipa tenda ya kuziba viraka kwenye Barabara ya Iringa to Dodoma Kampuni iitwayo TS Solutions (T) Limited ya Kipunguni, Kizinga area Dar es salaam. Kampuni hii imefanya kazi hiyo katika...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ally Kamwe msemaji wa Yanga afungwe break, Haya sasa Mzee wa watu kakujibu kiutu uzima

    BAADA YA KUDHIHAKIWA NA ALIKAMWE, JUMA MGUNDA AMPA JIBU 🗣️"Yanga ni Club yetu pekee Tanzania inayotuwakilisha kwenye fainaly hii ya CAF na kwa bahati iliyonjema inacheza na Club Inayotoka nje ya nchi yetu. 🗣️Sijui kinachopelekea mimi kuwa miongoni mwa kampeni hii ya matusi na kunidhalilisha...
  6. JamiiForums Tanzania Moyo wangu umeumia sana nilipopewa taarifa hii. Ni ipi hatima wa haya mambo?

    Nimepata taarifa kuwa kuna kijana wa kipale 36 years alikuwa anafanya kazi TRA hapa Jijini Dar es Salaam, kuwa ameuawa kwa kuchomwa kisu kifuani na tumboni na Mke wake . Maelezo zaidi ni kuwa Mke wake alikamatwa na kupelekwa Polisi,kisha akasindikizwa na Polisi kuja kumzika Mumewe. Ndugu, jamaa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msipoyakabili/kuyakemea haya magazeti yatawayumbisha wafuasi wenu na kuleta mgawanyiko, yakemeeni

    Yakemeeni magazeti haya uchwara msiyape nafasi bila kukanusha upuuzi kama huu. Content za mikutano yenu yote, Sauti mnazopiza kuhusu Katiba Mpya, wameona hili ndilo la kuwataarifu wananchi? Wakemeeni Erythrocyte
  8. JamiiForums Tanzania Video: Haya mambo ya siri kwa wataalam kwanini yanasambazwa kiholela hivi, vya huko huwaga ni siri inayobaki huko huko, si mambo ya kutangaza

    Nimeona kuna video inarekodi kijana amechanjiwa kinga huku mtaalam akiijaribu, ni aina ya kinga kwa huko Kongo lakini hata Kwa mikoa jirani hasa Kigoma wapo wataalam. kuna huyu mpuuzi yupo na simu anarekodi sasa video imevuja mitandaoni, alichofanya ni ujinga uliopitiliza, hata wazungu...
  9. JamiiForums Tanzania Tetesi: Njombe: Jiwe la Msingi lililowekwa na Chadema kwenye Uzinduzi wa Mradi wa Maji lavunjwa

    Taarifa kutoka Mjini Njombe zinaelezwa kwamba Jiwe la Msingi lililokuwa na maandishi ya Uzinduzi wa mradi wa Maji Uliosimamiwa na Chadema limevunjwa na Maofisa wa Idara ya Maji Njombe. Haijafahamika hasa sababu za kufanyika kwa jambo hilo la Kishamba , bali kuna muonekano wa jambo hilo kuwa na...
  10. JamiiForums Tanzania Haya sio malezi kwa mtoto

    Hellow african Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza...
  11. JamiiForums Tanzania Masalia ya vita kuu ya dunia ni haya ya Urusi na Ukraine

    Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo. Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna viongozi wenye watoto wanaosoma kwenye shule yenye madarasa kama haya?

  13. JamiiForums Tanzania Sitoi sadaka katika mazingira haya

    Hello! Mimi ni wa Kristo yaani ni mkristo au kwa jina jingine ni muumini wa Yesu. Sitoi na sitatoa sadaka ●Kwa namba ya simu iliyosajiliwa kwa jina la mtu binafsi hata kama huyo mtu ni mchungaji, nabii, mtume, mwalimu au Mwinjilisti. ●Sitoi sadaka kwa kutuma kwenye acount ya bank yenye jina...
  14. JamiiForums Tanzania Ukituliza Akili Utagundua Kuna Makosa Tulikuwa Na Nafasi Ya Kuyaepuka Ikiwemo Haya Makosa Matatu

    Niko Kilomita zaidi ya elf nane (8, 000 km) kutoka jiji langu la Dar lenye pilika nyingi zinazoninyima nafasi ya kuandika mawazo yangu yawe mchango kwa wengine wanaopambana kama mimi kuwa bora kiuchumi, kiafya, kiimani na kifamilia au kijamii kwa ujumla. Nikiwa hapa Guangzhou (China) kusaka...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo haya yakifanyiwa kazi na wadau (TRA, wananchi wafanyabiashara, wizara husika) itaongeza uwajibikaji wa kila mdau kwenye makusanyo ya kodi

    NATAMANI KIKOSI KAZI KILICHOUNDWA NA WAZIRI MKUU,TRA na SERIKALI WANGEWEZA KUTATUA TATIZO LA PENATI KWA KUTO KUFANYA FILING ZA P.A.YE,SDL,VAT, MAKADIRIO, NA RITANI ZA MWAKA KWA KAMPUNI/BIASHARA ZENYE MTAJI CHINI YA BILIONI MOJA Awali ya yote, mimi ni mdau na mfanyabiashara ndogondogo wa sector...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa mafanikio haya ya Yanga SC ni mwana Simba SC Mwendawazimu tu ndiyo atayabeza na kuyachukia

    Tena nadhani kwa mwana Simba SC kuliko kuwa na Usununu ( Chuki ) dhidi ya Yanga SC kufika Fainali ya CAFCC ni Bora tukazihamishia kwa Mwekezaji Wetu, Mwenyekiti wa Bodi, Mwenyekiti wa Wanachama, CEO Wetu, Benchi la Ufundi na Wachezaji wa Simba SC kwani Wao ndiyo Chanzo Kikuu cha Sisi leo...
  17. JamiiForums Tanzania Urusi ni super power ya mdomoni, jana nilitaka kusafiri nikakumbana na haya ndani ya ndege za Urusi

    Naongea nachokiishi siyo nachosimuliwa, kabla mrusi wa buza hujaanza kunibishia shiba sana kwanza vitumbua kwa mama willy hapo Tandale, nakusisitiza kabisa ichaji techno ya shangazi yako unayotumia kwa kujiiba ku comment JF, nasisitiza hakikisha una pitia notice ulizokalili kuhusu uchumi kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tambua haya wakati unaachana na Umasikini

    Badilisha tabia ya umasikini Tabia iliyokusaidia kuishi wakati wa umasikini ndo inayoendelea kukufanya maskini. Maisha yakibadilika ni muhimu na tabia yako ibadilike. Hauwezi kuua umasikini Unachoweza wewe ni kujitoa kwenye umasikini. Hata kama ukitaka kumsaidia mtu. Utambue kwamba huyo mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Ifike hatua haya Mabango ya Rais Samia yaondolewe

    Ukweli usemwe na Rais kama anapitia hapa ashaurike pia. Haya Mabango ni pesa ndefu sana; ukienda hospital ukakuta huduma sio nzuri, mara dawa hakuna ghafla unatoka nje unakutana na bango la Rais Samia la pesa ndefu lazima uvurugwe. Maisha yanapanda kila siku na Bei zinapaaa na Tozo...
  20. JamiiForums Tanzania Tuliwahi kusema kuwa Kuna uhaba wa kondom, haya sasa maambukizi yameongezeka!

    Niliwahi kuandika hapa jamvini kuwa kulikua na uhaba wa kondomu nchini, na kwamba Hali Ile isingedhibitiwa athari zake zingekuja kuonekana baadae. Juzi Ummy ametoa taarifa kuwa Kuna ongezeko la Maambukizi ya UKIMWI nchini, Yale tuliyoyaongea tukasimangwa ndio Leo hii yanajitokeza. Awamu ile...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…