haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Maendeleo haya wakiyaona Wakenya wanaumia sana wanataka tufanane nao - Na maadui wengine wanataka wafanye wao Tanzania oyee

    VIta vya kiuchumi ni halisi wengine wanadhani kwamba ni matani matani ya kwenye mitandao ya kijamii. Adui atatumia mbinu zote kuhakikisha kwamba tunakwama na yeye aendelee kuwa juu. Haya maendeleo yanamfanya adui wetu azidi kuumia. Anajiuliza why them not us? atika Afrika Mashariki, kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Haya mambo yalitokea kabla tu ya maandamano ya kihistoria Tanzania ya MO29

    Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi. Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya...
  3. JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matumizi ya Tsh 600B za uchaguzi!!! Tusishangae vijana kuchoma nchi

    Wakati vijana wanamaliza vyuo na mikopo, nchi nayo inakopa sio kwa kuwasaidia vijana wetu bali inakopo na kutumia pesa kununua ma range rover , VX na chaguzi kama hizi. Serikali imetumia Tsh Billion 600 kwenye huu uchaguzi ambao tumeona waziwazi kura zinaibiwa, kura hata hazijahesabiwa, vurugu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Samia isn’t helping herself: Haya ma-Lamborghini na ma-Limousine ya kazi gani?

    Nimeona gari mpya za Samia; ni kama amekuja kutokomesha kwamba tulishoboka na zile Rolls Royce za mwanae? Yeye kaja sasa kutuonesha kwamba hatukuwa tumeona kitu bado. Na bado duru zinasema tayari imenunuliwa ndege ya Rais ambayo hatujapata kuona Afrika, na mnunuzi ni yule yule tena mwanae...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Nilijiona mbabe wa kuangalia Horror movies, ila haya yamenishinda

    Mtoto anakimbia na mama yake anapigwa shaba anakufa taratibu huku anaona analia mama amka..? Kijana anakufa taratibu wakati utumbo wote umemwagika nnje?? Watoto wanalia mamayao kafuatwa hadi ndani kapigwa shaba wanalia juu ya damu iliomwagika??? KWASASA SITOANGALIA VIDEO NYINGINE KWA...
  7. JamiiForums Tanzania Dini zinazosemekana ni za mungu zinabariki yote haya

    Kwamba unaweza kufanya lolote baya na ukashika kitabu cha Mungu ukaapa na chochote kisikupate. Au na wao wanajua hakuna Mungu ndio maana wanajiamini kufanya lolote.
  8. JamiiForums Tanzania Epuka haya kipindi hiki

    Poleni kwa misiba, Hopefully mko njema kabisa nilipost humu uzi siku kabla ya maandamano uzi ulikuw wazi sana kuhusu mbinu za maandamano nikasema watatumia human shield kama mbinu yao ya kuzibiti maandamano uzi ukafutwa ila mambo niliyozungumza yote yalifanyika. Enewi twende na muda...
  9. JamiiForums Tanzania Ni mamlaka ya Katiba ndio msingi wa haya yote

    Tuna huyu mama ambae clearly hana uwezo wa kuongoza nchi na upuuzi wa succession planning ya CCM iliyompa chance ya kufika alipo. Like seriously nchi zima aina mbinu ya kumtoa huyu na mtoto wake kisa madaraka yake ya katiba tu. Kwa Samia uhalisia ni kwamba; washauri wake, walinzi wake...
  10. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ukiwa Mtanganyika, haijalishi uko ndani au nje ya nchi, unayachukuliaje haya mauaji ya ndugu zetu?

    Nazani kama kichwa cha habari kinavyoonyesha inasikitisha sana kwa yanayoendelea Tanzania,sikuwa kuamini kama Viongozi wa inchi pamoja na jeshi la polisi wanaweza kusimamia mauaji dhidi ya raia zao hata kama wananufaika na rushwa ndani ya hiyo serikali,hata Magufuri alikuwa dikteta lakini...
  11. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 WanaCCM wengi tumefurahishwa na haya maandamano

    Tanzania mpya imezaliwa tarehe 29/10/2025. Kila mpenda haki amefurahi bila kujali yupo chama gani. Kwa CCM tumefurahi zaidi ila wengi hawataweza kuweka furaha zao wazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo unafiki. Mungu awabariki wote waliofanikisha maandamano. Ninawaombea kwa Mungu wote waliopoteza...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Hivi haya yanayotokea, CCM hawakujua kabisa?

    Hili swali hata mtoto mdogo angelijibu kwamba inchi ilikuwa imebakiwa na masaa tu ya kulipuka,kiburi utekaji,dharau mahakamani hasa kesi ya Tundu Lissu na ufisadi ulishawachosha wanainchi lakini watawala walizidisha kiburi Kinachofwata sasa yatakuwa mauaji kwa famiria zao eiza iwe wao au huko...
  13. JamiiForums Tanzania GE2025 Usiku wa terehe 29/10/25 ni usiku mzito (Dark Night) kuwahi kutokea hata kama Samia Suluhu Hassan atatangazwa mshindi na kuapishwa rasmi

    Maandamano yemeendelea kusambaa katika baadhi ya miji mbalimbali ya Tanzania Da-es-Salaam ukiwa ni mji wa kwanza kushuhudia maandamano ambayo yamejumuisha uharibufu mkubwa wa mali na majengo. Miji mingine kama Arusha, Mwanza, Morogoro na Mbeya nako kumetokea matukio mbalimbali ya uvunjaji wa...
  14. JamiiForums Tanzania Je ni kweli haya maneno yalitoka kinywani mwa sheikh yahaya au ni stori tu?

  15. JamiiForums Tanzania Naahidi haya ikiwa malengo ya maandamano yatafanikiwa au Keyboard warriors wakikinukisha Oktoba 29

    Mzuka wana Jamvi . Kama tunavyojua kawaida wabongo ni wazuri wakishambulia kutokea mitandaoni na katika real life ikiwa kwa njia ya usengenayji kwa ufupi wabongo ni 'Ignorant Cowards ' Kujikuta Fidel Castro kutaka kukomboa kwa njia ya fujo na kukurupuka k ilhali kumejaa wapuuzi na upuuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Haya ndio makundi yanayoogopwa na serikali

    Makundi matatu yanayoogopwa na serikali ni 1. Askari Hawa wanasikilizwa haraka sanaaa kwan wakikasirika hawatak siasa mpaka jambo lao litimie wanaongozwa na itikad moja juu ya hitaj lao kifo sio hofu kwao wanataman kifo kama mlokole anavyotaman kuket kuume kwa yesu kristu serikali inawaogopa...
  17. JamiiForums Tanzania Ikitokea umeibiwa simu, zingatia hatua hizi

    Watu wengi wanaoibiwa simu hujikuta katika hali ya matumaini ya kukuipata simu haraka iwekenavyo huku wakisahau kuwa wezi wa simu nao huwa na mbinu mbalimbali ambazo huzitumia ili simu waliyoiba isipatikane kirahisi. Sasa ikitokea umeibiwa simu, fuata hatua hizi Hatua za Haraka Tulia na...
  18. JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Haya makato NMB mbona sijayaelewa

    Guys, last week niliuza vipande UTT kiasi cha 300k taslimu, sasa hadi kufika kwenye akaunti yako ya benki inachukua siku 3 za kazi. So, ikawa imefika leo chakushangaza hela imeingia leo hii, mida ya jioni nimeangalia kwenye akaunti yangu ya NMB nakuta ipo 289, 571 nimeshangaa hiyo elfu 10 na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Windows 10, The end is 14 October 2025, haya ndio mambo muhimu unayopaswa kuyajua na hatua za kuchukua

    A. Hakutakuwa na updates za Usalama (Security updates) – Virusi vipya na mbinu mpya za mashambulizi zitaweza kupenya kwenye mfumo wa Windows 10, ingawa antivirus kama windows defender itaendelea kupokea updates, Windows 10 kama mfumo endeshi haitaendelea kupokea updates rasmi zinazoweka viraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…