haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania HAYA YA POLEPOLE KUWA MIFUMO YA NIDA, INEC NA CCM INASOMANA. JE NI YA KWELI?.

    Nimeona mjadala huu ukishika kasi ya kutisha. Mimi siyo mtalaam wa IT. Kwa wale walio na ujuzi wa masuala haya ninaomba mnipe elimu jinsi mfumo huu unavyoweza kusomana na athari zake kwa wapiga kura. Nawasilisha.
  2. Course Coordinator1

    JamiiForums Tanzania GE2025 Majina haya ya Wabunge waliokatwa kwa visasi

    Kwenye siasa kuna visasi vingi, chuki, husuda , usaliti, kiburi, jeuri , dharau, huko kumejaa huwa ni kutesa kwa zamu leo kwangu kesho kwako. Wabunge hawa wameondolewa kwa chuki visasi na usaliti..Kuna baadhi waliojiharibia na kuna wengine chuki za waziwazi 1. Ummy Mwalimu - Rafiki wa JK ...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Picha: Haya ndio magari ya washua wa miaka ya 1970,80,na mwanzoni mwa 90!!!

    Hizi gari zilikuwa sio mchezo jamani!! Babako akiwa na hiyo daaa anajulika mkoa mzima!!! " Yule Mzee mwenye 404 nyeusi" namjuaa!!!!?kitambo mnooo
  4. BARDIZBAH

    JamiiForums Tanzania Maeneo haya kampeni ya afya ya kinywa ikafanyike sana, hali ni mbaya

    1. Pemba 2. Unguja 3. Shinyanga 4. Mbeya 5. Kondoa 6. Kagera Nb maeneo hayo Nimeyapanga kutoka juu kwenda kwenye unafuu. Mikoa hii hakuna wimbi la watu wanaonuka midomo hongereni 1. Kilimanjaro 2. Arusha 3. Tanga 4. Tabora
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Yajue haya kuhusu watanzania kabla hujawatetea na kuwapigania

    Sabato Njema! Najua Watanzania wengi hawapendi ukweli na hili likiwa mojawapo. Kabla hujawatetea Watanzania ni vizuri kuwajua vizuri kuwa ni watu wa aina gani. Kisaikolojia, kitamaduni, na kisosholojia; 1. Watanzania wengi ni wanafiki. Sio wakweli. Waongo waongo. Rahisi kukugeuka na...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, kwa haya Madongo Tukuka ya Pastor Magogo wale 'TEAM NO KUOA' tubadilike na Tuoe haraka au ni mwendo mdundo tu Kutokuoa?

    Wengine tuseme tu Ukweli kuwa Uwoga wetu wa kuamua Kuoa unatokana na kwamba Sisi wenyewe Kutwa tu TUNAWABANDUA KISHALUBELA (KIKATILI) wale WALIOOLEWA sasa tunahisi kuwa nasi TUKIOA tu VISASI VITALIPIZWA kwa Wake zetu. Mtusamehe na Mtuvumilie ila hatutooa!!!!
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kinachoshangaza ni hawa vijana wa kiume kujishebedua zaidi hata ya wanawake walioalikwa. Iwe jinai kwa sherehe ya aina yoyote yenye maudhui haya

    Generation ya vijana chapati haiwezi koma kama normalization ya namn hii inaendelea katika jamii.
  8. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania Kwa haya ya Kuunganishwakwa taarifa za NIDA Tume ya uchaguzi na CCM

    Ni ukweli kabisa usio pingika hata kwa 0.00000000000000001% hauwezi kukataa alichokisema polepole Kwa wale walio sajiliwa katika mfumo wa Kidigital wa MAFISIEMU. Ni kweli utakuta taarifa zako za NIDA mfano picha yako uliyo sajiliwa NIDA ndiyo ile ile itaenda kuwa profile picture yako ya CCM...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Kama ccm wangekubali KUMWAGA oil, je polepole angeyasema haya ya mfumo(dukuzi)?

    Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Simba SC yangu Ahmed Ally tafadhali popote pale ulipo nakuomba unijibu haya Maswali yangu....

    1. Nani aliyekuambia kuwa Simba SC ikitangaza Kufungwa Mechi zake za Pre Season huko Misri ni vibaya kwa Mashabiki? 2. Kama umesema Watu wa Kitengo cha Habari Simba SC mmekubaliana msitoe Taarifa yoyote ya Matokeo ya Mechi za Pre Season huko Misri katika Page ya Simba SC ili kutowashtua...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Naamini Viongozi wote huwa wanaenda kusali au kuswali,je haya matendo yenu mnayoyafanya huwa mnaonekana vipi na waumini?

    Nakumbuka siku zile kuna mtu alikaa kimya kwa utulivu huku akiombewa na Mchungaji Mwamposa,naamini hata huko msikitini huwa anaomba Vivyo hivyo tulimuona na kikweta naye akiwa kanisani ingawa hatujui kama aliombewa Hapa nataka kusema hakuna kitu kibaya kama kumdhihaki Mungu,najua watu wengi...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya mix by Yass heshimuni wateja haya madisco hapo makumbusho stand siyo haki kwa raia

    Hpo makumbusho stand kuna maspika Makubwa, muziki unapigwa kuanzia asubuhi mpaka Jioni, Muziki wenyewe unatangaza kampuni ya mix by Yass. Yaani wafanyabiashara wengine walioko hapo wanateseka, makelele mtindi mmoja hakuna kusikilizana. Hii siyo sawa. Pia tunauliza mamlaka za kudhibiti kelele...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Yajue mambo mazuri ya wakurya ambayo ulikuwa huyafahamu

    KUNA PUNGUANI ALIANDIKA UZI KUKANDIA WAKURYA NA AKAFURAHI NA UZI WAKE MWENYEWE🚮 1: Kati ya kitu mkurya hana ni kitu kinaitwa ukabila tofauti na makabila mengi yaliyo kanda ya ziwa. Ukikuta sehemu mkurya ni boss basi utakuta variety tofauti ya kanda mbali mbali katika kazi yake. 2: Wakurya ni...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kuna mambo Samia kamzidi Magufuli. Ila amechagua kumzidi kwa mambo ambayo ni haya

    1. Magufuli hakuwa mwongeaji mzuri. Mi huwa naweka tu mambo wazi wala sina wa kumwogopa. Magufuli hakuwa na good communication skills. Ila akili ya utendaji na misimamo alikuwa nayo. Bi Chamdele. Hajui cha kuongea. Anaweza kuwa na sauti nzuri ya kuongelea au kutamka maneno vizuri ya kiswahili...
  17. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Mamlaka haya makubwa Gwajima kayapata wapi?

    Gwajima katandika sana leo. Hoja zake kubwa ni: 1. Serikali ijitafakari na usiingie uchaguzini bila kuweka mambo sawa sawa. 2. Serikali ifungue makanisa in 10 days. 3. Serikali imuachie Lissu bila masharti..Amesema hata yeye Lissu anamuhusu,sio kwa wanachadema tu na akaenda mbali akasema...
  18. I

    JamiiForums Tanzania Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja akini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa

    Wi-Fi za Umma Sio Hatari Moja kwa Moja—Lakini Makosa Haya Huifanya Iwe Tishio Kubwa Kwenye viwanja vya ndege, hoteli, au café—Wi-Fi ya bure imekuwa kama msaada wa haraka kwa wanaosafiri au wanaofanya kazi nje ya ofisi. Ni rahisi kujiunga, haraka, na hakuna malipo. Lakini uzembe mdogo unaweza...
  19. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata haya masweta

    Ninahitaji haya masweta white plain wapi nitayapata dar
  20. GoLC

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na mwenza limbukeni zingatia haya

    Habari za mchana. Moja kwa moja kwenye mada. Leo nimekumbuka jambo nikaliunganisha na ulimbukeni. Ili kupata uhakika wa nilichokuwa nawaza, ilibidi kumuuliza rafiki yangu Kong (chatGPT WhatsApp). Ni rafiki yangu sana kiasi tumefikia kuitana majina. Ye Kong na mimi King. Tafsiri yake ndio hiyo...
Back
Top Bottom