hawawezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    kwani TCRA hawawezi kuangalia namna ya kuzuia namba mpya kutuma ujumbe kwenye namba ambayo haijawahi kuwasiliana nayo??

    Kumekuwa na hili swala la kupokea sms mfululizo kutoka kwa namba zisizojulikana, yaani ukikaa kidogo utaona mara "iyo hela tuma kwa namba hii" mara "mzee nani nani anatibu mvuto, pete ya nini sijui" hujakaa sawa mara "jiunge na chama chetu" mara " mimi mwenye nyumba wako" na nyingine nyingi...
  2. G

    Huu umati anao ukusanya mwamposa ata wakiungana wasanii wa TZ nzima hawawezi, Unabii unalipa !!

  3. G

    Watanzania wenye depression hawawezi kushirikisha watu wengine kwa sababu matatizo yao hufika mpaka vijiweni, hakuna usiri !!

    Baada ya mlolongo wa vifo vya Depression ikiwemo cha jana usiku mwanafunzi kujirusha ghorofani niseme tu kwamba watu wanapitia mengi sana, huwa inashauriwa kufunguka matatizo yako kwa watu wa karibu kundoa machungu lakini kwa hapa bongo hali watu wengi huyatunza rohoni. Shida ni kwamba watu...
  4. Magical power

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke"

    Hivi wale WANAWAKE wanaosema hawawezi kumpikia mwanaume hivi wanajua ule msemo "jiko ni mwanamke" hulka za kike ni pamoja na kulipenda jiko tena jiko likugope kihuheshimu Unajisikiaje mbaba anakuja hapo jikoni anaku... halafu anakula na badaye anakula tena na tena Mnajazana UGALATIA sana...
  5. Ritz

    Urusi na Iran hawawezi kukubali serikali ya Syria itoke madarakani

    Wanaukumbi. Waasi wanaoungwa mkono na Uturuki, Israel, Ulaya na Marekani wanatumiwa kuungusha utawala wa Rais Bashar al-Assad. Ulaya na Marekani hapa wapambana na Urusi baada kushindwa kupambana naye Ukraine wamerudi tena Syria. UP DATE=============== 🇸🇾 Kwa nini Urusi au Iran haikumsaidia...
  6. Mhaya

    Wasanii wetu hawawezi kushinda Grammy labda wafanye sampling ya Mziki wa Kihaya

    Ukisikiliza nyimbo za kihaya na Design yake ya uchezaji, vikitumika vizuri tunapeleka Bongofleva kwenye Grammy. Grammy wanapenda vitu asilia, na sio vya ku-copy. Ukisikiliza hii nyimbo ya Mwanamama "Sauda Haulat - Dereva Babili" ni nyimbo iliyotoka miaka ya 2000 mwanzoni lakini ingefanyiwa...
  7. Mayala B

    Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  8. Samia atosha tukutane2030

    Tanzania na Zanzibar ni vitu wivili tofauti kabisa, yawezekana hata viongozi wetu hawawezi kutofautisha kati ya Tanzania na Zanzibar

    Kuna neno Tanzania na Kuna neno Zanzibar, haya maneno mawili hayana shida, yako vizuri tu na yanaeleweka ila unapojaribu kuyaweka kwenye sahani moja ndipo utaona utata wake. Utata usiomithirika. •Ukifika wakati wa uchaguzi mkuu ndipo utagundua kuwa haya maneno yana utata sana. Kuna watu...
  9. ngara23

    CAF hawawezi kukubali Taifa stars kufuzu Afcon

    Mpira ni biashara Timu letu Bado ni bovu Stars umeenda Afcon mara mbili mfululizo ila haijawahi kushinda wala kutoa sare Timu letu kila likienda linapigwa na kututia aibu. Me Mtanganyika ila sitaki timu letu lifuzu Yaani tumeikosa Ghana, tena tuikose Guinea, iyo Afcon itakuwa kama ndondo cup...
  10. Superbug

    Viongozi wa kisiasa hawawezi kwenda mbinguni

    Wanabariki utekaji. Wanabariki uuwaji. Wanabariki wizi wa kura. Wanabariki majina feki. Wanaiba hela za umma. Wanafitinisha jamii. Wanadhulumu maskini. Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
  11. JET SALLI

    Kama viongozi wa CCM na Mwenyekiti wao hawawezi kuisikiliza sauti ya Demokrasia ya WanaCCM wenzao unadhani watamsikiliza nani?

    Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM. Leo hii, Mr. Nchimbi...
  12. L

    LGE2024 Wagombea wengi wanaowekwa na upinzani ni makanjanja watupu, hawawezi kusaidia kuleta maendeleo ya nchi hii

    Zoezi la uchaguzi wa Serikali za Mitaa linaendelea na sasa hivi liko hatua ya uwasilishaji wa pingamizi, nimeona malalamiko mengi sana kutoka kwa vyama vyote vya siasa nchini ikiwemo Chama cha Mapinduzi.CCM imelalamika kule Arusha kuwa majina ya wagombea wao 9 yamekatwa, Chadema wamelalamika...
  13. Man Middo tz

    Kuna watu hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face

    Katika Mahusiano kuna wale ambao hawawezi kugombana na wapenzi wao face to face, Lakini linapokuja suala la sms, wanaweza kuandika kitabu.
  14. matunduizi

    KERO Kwanini DAWASA hawawezi kutupa maji 24hrs kama Mwanza?

    Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM. Kwa sababu mabomba yamefikia wachache tu kwa maji hayo mengi nilitarajia yawe yanatoka kila siku saa 24 huku ambapo pameunganishwa. Wakati...
  15. Morning_star

    Kuna watu umasikini hauwezi kuwaisha hapa duniani

    Unakuta mdada kakutana na jamaa kamuajiri kwa kumfanyia kazi zake za nyumbani, kala! kaoga! kapendeza! Bosi wake kamruhusu akamfuate mtoto wake aliyemuacha kijijini amlete akakae naye kwa bosi wake! Sasa kuna mzee mmoja yuko vizuri sijajua background yake ikoje! Sasa leo niko pale nikasikia...
  16. Nyankurungu2020

    Swali: Kama askari wa Tanzania hawawezi kupiga risasi 32 na kukosa shabaha. Kwa nini Tigo walitoa taarifa za Lissu kwa maafisa wa serikali?

    Simple mathematics
  17. A

    Tuliwambia Yemen ni moto Israel hawawezi hao

    Hayo mliosema Yemen hata jibu mko wapi, huko Israel kunawaka moto. Missiles za Al Houth zimeisha fika Central Israel na bado watajuta, wanafatwa kwa miguu safari hii. https://youtu.be/dIWXyXTnj3k?si=YrLy3AD2WsCCrH67 Tela Aviv watasema zime land kwenye empty spaces kama kawaida yao 😄 Imefika...
  18. RedPill Prophet

    Wanaume wa shoka hawawezi kufanya jambo hili.

    Na Fred Putin. Jambo moja ambalo mwanamume anayejiamini hawezi kamwe kufanya hadi kifo kitakapomchukua : "KUFANYA PUSSY KUWA BWANA NA MWOKOZI WAKE BINAFSI. " Wanaume wanaojiamini hawaabudu nyash, hawaabudu matiti. Wanachoabudu ni kusudi, malengo, furaha, amani, mafanikio na Mungu wao...
  19. Webabu

    Walioingia Kursk hawawezi kutoka hata mmoja.Ukraine iwache kutuzuga.

    Hii si mara ya mwanzo kwa Ukraine kujifafagua katika vita utadhani ndio wameshinda.Walitaja mengi kule Kherson na kwamba walikuwa wako karibu kukata njia inayoelekea Crimea kwa kuuganisha bara la bahari nyeusi.Hatimae imekuwa kimya kabisa.Na mengi mengineyo. Kuhusu Kursk inawezekana kweli kuna...
Back
Top Bottom