Yajna (Sanskrit: यज्ञ, romanized: yajñá, lit. 'sacrifice, devotion, worship, offering') refers in Hinduism to any ritual done in front of a sacred fire, often with mantras. Yajna has been a Vedic tradition, described in a layer of Vedic literature called Brahmanas, as well as Yajurveda. The tradition has evolved from offering oblations and libations into sacred fire to symbolic offerings in the presence of sacred fire (Agni).Yajna rituals-related texts have been called the Karma-kanda (ritual works) portion of the Vedic literature, in contrast to Jnana-kanda (knowledge) portion contained in the Vedic Upanishads. The proper completion of Yajna-like rituals was the focus of Mimansa school of Hindu philosophy. Yajna have continued to play a central role in a Hindu's rites of passage, such as weddings. Modern major Hindu temple ceremonies, Hindu community celebrations, or monastic initiations may also include Vedic Yajna rites, or alternatively be based on Agamic rituals.
Taarifa ninazozitoa hapa zote ni takwimu rasmi za Serikali. Kwa nini Polisi hawana uwezo wa Kuzuia Maandamano na Kulinda/Kusimania Uchaguzi na kulinda Usalama wa Raia kwa wakati mmoja.
Vituo vya Kupigia kura nchi nzima vipo 99,895 ambapo Tanzania bara kuna vituo 97,348, Tanznaia nzima ina...
Mwaka 2025, bado wanawauzia wananchi hofu, eti "tunu hii ya amani tuilinde" Amani gani ?
Na wanaposema amani wanamaanisha "uninga wa wananchi", so wananchi waendelee kuwa wajinga ili wao wazidi kuneemeka na watoto wao, wakitumiana miamala ya ma bilioni.
But this is the end.
Hamjambo!
1. Nilikuwa nimetoka leo kwenda mjini.
Njiani ya gari ikatokea mjadala kuhusu maandamano.
2. Wengi walionyesha kuyaunga mkono lakini walikiri wanawoga hivyo hawatashiriki.
3. Mama mmoja jirani yangu akasema, aache kufanya mambo yake aandamane. Akaongeza wanaoandamana hawana kazi za...
Ni kwamba serikali na viongozi mlitegemea nini mnapomfunga mtanzania kutoa malalamiko yake?!
Mwanzo watanzania tulizoea wapinzani watusemee na kutuwakilisha kwa kile kinachotuumiza mioyo yetu. Mkaona sio sawa mkaamua kumchukua na kumuweka kizuizini mwenyekiti wa upinzani, haitoshi mkafungia...
Kesho ni tarehe 1 Oktoba 2025 siku ya kwanza ya mwezi wa uchaguzi, mwezi muhimu na wenye kubeba mstakabali wa siasa za Tanzania.
Mie nina suali kwa watanzania ambao wamekuwa wakijitokeza kudandia magari ya kukodi na kwenda kushabikia mikutano ya kampeni ya CCM na baada ya hapo kurudi majumbani...
Hello Jf members👋
Leo bhana wakati nakagua kagua simu hapa nikaona convo ambayo sikua naielewa maana hata namba haijasaviwa,. Nikashangaa how imekuwaje simu ni yangu na sijui kama mazungumzo ya namna hii..... Ooh ndio nikakumbuka Kuna binti Jana aliniomba kama simu yangu inadakika ampigie dada...
Nasema hivi CCM isipomsikiliza Polepole basi viongozi wengi wa sasa wa CCM watashuhudia chama chao kinafutwa na wataishia magerezani.
Hii video nimeikuta mitandaoni, huyu ni mmoja aliyeamua kujirekodi na kufanya hivi ambaye sikutarajia kama kuna askari watakuja mbele kabla ya muda...
Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui
Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja askari alafu kavamiwe na kundi kubwa la Maaskari walio shikilia malungu seriously ?
Yaani Askari...
Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa...
Ikiwa ni takribani siku nane tangu Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ifungue rasmi dirisha la kampeni za Udiwani, Ubunge na Urais, Chama cha ADA TADEA mkoani Ruvuma bado hakijaanza rasmi kampeni zake kutokana na hali ngumu ya ukata wa fedha.
Akizungumza na TVE Habari, Katibu wa ADA TADEA...
Wapalestina kadhaa waliohojiwa na gazeti la Jerusalem post,wamesema wamechoka na mateso na wamekata tamaa na hawana imani na yeyote.
Baadhi yao walipohojiwa wamesema wameshahama mara nyingi kote Gaza kufuata maeneo waliyoambiwa ni salama lakini kila wanapofika maafa ni yale yale.
Mmoja wao...
Najaribu kutafuta mtu wa kugombana naye sipati. Nimezoea humu JF atajitokeza mtu tutatukanana siku au weeks hapo najisikia saaaaafi kabisa.
Hawa jamaa kwenye forums zao na maofisini wapo busy. Tunakosa muda wa kujamiiana na kusababishiana matatizo. Mi napend sana ku socialize(kujamiiana) ila...
Mughonile!
kanisani leo tumesoma Yohana 17:22-23, ambapo Yesu anaomba kwa Baba:
"Nimewapa utukufu ambao Umewapa mimi, ili wawe wamoja kama sisi tulivyokuwa wamoja mimi na Wewe, Mimi ndani yao na Wewe ndani yangu, ili wawe wamoja kabisa, na dunia ije kuamini kwamba Umewatuma."
Nauliza, je...
Sasa hivi kinacho tofautisha mamlaka ya police na vijana wa kenya ni miguu ya kuku tu, maana hawa vijana mahala popote wanafika huku wakiwa tayari kiwatokee chochote.
Spirit ya mau mau ipo ndani yao, historia ya machafuko hata baada ya uhuru imetengeneza jadi ndani yao, thus kenya haitakaa...
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.
Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.
Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
Hapa ñaona kama anadhalilishwa tuu, halafu wanawake wengi wazuri ndio wanakua hawana akili sijui shida nini.
Na hii tabia yenu ya kupenda kutoa jicho sijui mmeipata wapi aise
Inasikitisha Sana Mitandao inapeleka Maisha Kasi Sana, Bikra za K zilishatoweka tunapoelekea hata za mlango wa uwani...