Kumbe Watanzania tuna woga na siyo amani, hoja ndogo tu tena ya nia njema ya kutukwamua mahali tulipo DP world tunatukanana mpaka mapovu yanatutoka.
Hivi katika Dunia hii walioweza kufanikiwa bila kusubutu ni Taifa lipi kwa mfano. kelele ngapi zilizopigwa Chuma aliposema tunahamia Dodoma...