George Job aliwahi kusema hatuna timu ya kufika Fainali ya Michuano ya CAF

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,923
6,050
Njooni mumpike kama sio kumkaanga
204A2F03-0B4E-484D-9432-3DCCE457A7D9.jpeg
 
Yalikuwa ni mawazo yake , yaheshimiwe.
Na mwisho wa siku maamuzi huwa ni ndani ya dakika tisini
 
Waandishi VILAZA.

Ni miongoni mwa wand8shi wamechangia Utopolo kufika fainali kutokana na kuwakejeli Utopolo.

Wangekaa kimya ama wangekuwa wanaisifu Utopolo hata robo fainali wasingefika.
 
Tatizo tunaishi kwa mazoea

Miaka 5 simba kakusanya point 35

Mwaka mmoja yanga kakusanya point 20

Hii nchi watu mkiacha kuishi kwa mazoea ndio mtafanikiwa hata kwenye maisha ya kawaida jiamini kwanza halafu weka mpango then ufanyie kazi mpango!!

Yanga inachukua Ili kombe weka hii comment kwa sababu kuu moja yanga ndio timu yenye wachezaji wenye njaa ya mafanikio kuliko timu zote kwa Sasa kwenye Ili kombe

Tusiishi kwa mazoea narudia tena tusiishi kwa mazoea
 
Wacha🐐 🐐 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐


Ongezea na JEF LEA alisema sauzi hatutoboi na huyu amejitambulisha ni Kolo ila msameheni anakula sana kijiti
 
Back
Top Bottom