hatuna

The Håtuna games (Swedish: Håtunaleken) were a 1306 conflict between Birger, King of Sweden (1280–1321) and his two brothers, the dukes Eric Magnusson (ca. 1281-1318) and Valdemar Magnusson (c. 1282–1318).

View More On Wikipedia.org
  1. KENZY

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mungu na chanzo cha Ulimwengu, kuna mahali hatuna taarifa kamili/sahihi?

    Mungu wa Israel, Mungu Allah, Mungu wa wabudha, Miungu ya kale pale misri, Na Mungu au Miungu yote ambayo inaabudiwa ikiwemo mizimu na isiyo mizimu, ikiwemo hai na isiyo hai. Ukweli mchungu ni huu,pamoja na ufahamu wetu wote tulionao lakini bado hatufahamu kuhusu Mungu ama chanzo cha ulimwengu...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba hatuna mashabiki wa kulialia, hao wapo huko..

    “Simba sasa hivi hatuna mashabiki lialia Kwa sababu simba hatuliilii lakini tuna mashabiki wa kufurahia, Lialia timu nyingine hizo zenye maisha magumu,” kauli ya Ahmed Ally, Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba.
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sisi ambao hatutekwi na Wahubiri Waongo wa Miujiza ndiyo hatuna Akili au waliotekwa nao ndiyo hawana kabisa Akili?

    Rejea zako tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza Kutiririka na Kuserereka zako. Otherwise Asante Padre ( Kasisi ) wangu wa Misa ( Ibada ) ya Kikatoliki ya leo Saa 12 na Nusu Asubuhi hadi Saa 2 Kamili tu katika Kanisa la Mtakatifu Mikaela ( Michael ) Kawe ambapo hata CDF Mabeyo na Mkewe...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za chuki: Tanzania tunakwama wapi?

    Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui, kipa hayupo: "Kwa ego tu hatutaki kuisukumia wavuni tuondoke na point 3 muhimu kwa sababu tu adui...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
  7. moyo wenye aman i

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna waamzi wa mchezo wa mpira?

    Wakati nasoma orodha kamili ya marefa watakaochezesha AFCON kuna marefa kutoka uganda kenya rwanda na burundi ila cha ajabu hakuna refa aliechaguliwa kutoka tanzania hii ni aibu aisee
  8. Deja vu27

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiingia peponi, wanaume wote hatuna dhambi

    Nimejaribu kuwaza sana mpaka nimefikia kusema hivyo bhasi nina uthibitisho kuhusiana nahili Mwanamke vs mwaume Tuanze na MAUMBILE Mwanamke Kaumbwa na viungo vyote lakini hajaridhika, kapewa kope anaona hazitoshi kaamua kuongeza za kwake za bandia aonekane mzuri, kapewa nywele asilia na za...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hatuna Ukimwi

    Ni jambo la kumshukuru Mungu kutuumba tulivyo maumbile yetu yanafanya tusipate maambukizi ya Ukimwi kirahisi. Tofauti na mwanamke ukimkojolea tu shahawa anao.
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Kwa hakika siwezi kupoteza muda wangu au data kumtazama mchekeshaji wa Kibongo. Hawa wachekeshaji wetu mimi ninawaita waropokaji. Comedy ya wenzetu wengi utacheka na kufurahi hata usipoielewa lugha wanayoitumia jukwaani. 1. Comedy ya Kibongo imekosa ubunifu. 2. Wanadhani mpaka leo mavazi...
  11. J

    JamiiForums Tanzania China: Hatuna nia ya kukamata mradi wowote Afrika kwa sababu ya mkopo

    No project in Africa has been ‘seized’ by China due to inability to repay loans: Chinese Embassy in Uganda By Global TimesPublished: Nov 29, 2021 01:08 PM Updated: Nov 29, 2021 01:39 PM Aerial photo taken on July 11, 2020 shows the Karuma hydropower project under construction along the River...
  12. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatuna shukrani Mungu atusamehe kwa huu ujinga tunaofanya

    Baada ya Hayati Rais JPM (R.I.P) watanzania waliopoteza mkate kipndi chake wameanza kutema nyongo, wengine wamefikia mahali na kusema kilichofanyika likuwa ni wizi. hivi kweli ndugu zangu watanzania kuna wakati nchi ilipigwa mchana km kipindi cha awamu ya 4? kuna kashfa ngapi ziliingiza nchi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kuwa leo ni Public Holiday, mbona ni kama siku ya kawaida tu hatuna hamasa ya sikukuu?

    Hivi hii sikukuu ya Maulid sio muhimu kama ile ya Idd? Mbona naona huku mtaani kumtoa utadhani hakuna sikukuu? Shamrasha za hii sikukuu mbona siziona japo leo ni Public Holiday? Halafu kuna Waislamu hii sikukuu hawaitambui? Kwenye kalenda leo ilikuwa inaonekana ni sikukuu ya Maulid, ila kuna...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Wakati Rais Samia akimsifia Waziri wa Maji, huku mtaani hatuna maji siku ya 3 leo

    Raia Samia huenda ni kweli Waziri wa Maji anafanya kazi vizuri, na ninaungana na Watanzania wengine kumpongeza. Lakini bado wananchi tunapata kero za maji za mara kwa mara. Kwa wiki mbili zilizopita huku mtaani ninapoishi maji yalikuwa yanatoka kwa presha kama ya mkojo, huwezi hata kupandisha...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Bi Mongella: Kama taifa hatuna falsafa inayotuongoza

    Akizungumza katika kongamano huko Chato kada huyo wa siku nyingi wa CCM, amewauliza wanawake vijana waliokusanyika hapo na kuwauliza "hivi ninyi mnajua falsafa yetu ni ipi!?" Ukweli hakuna aliyeweza kujibu hilo swali, ndipo akasisitiza kwamba kwa sasa nchi yetu inaongozwa bila falsafa yoyote.
  16. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazungu wana historia na sisi Waafrika hatuna?

    Wakorea wana historia yao toka mwanzo wataifa lao kuwepo kipindi cha devine Jumong, wazungu hivyo hivyo wana story zao, mbona sisi Waafrika hatuna hadithi zetu za mwanzo, au baada wa wazungu kututawala walichukua hadithi zetu? au wazee wetu hawakuwa na sehemu ya kuweka kumbukumbu? Sisi hadithi...
  17. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Hivi sisi ndiyo hatuna kabisa mafuta

    Eti wandugu, nchi yetu ndiyo haina kabisa mafuta au hatujatafuta kwa bidii. Tz ni kubwa kuliko Uganda, Kenya, Rwanda na Burundi ukiziunganisha. Kenya na Uganda wamepata mafuta. Sasa maana yake Tz iliyokubwa si kunakuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kupata mafuta. Maana tuko eneo moja, na mafuta...
  18. Genius Mzee

    JamiiForums Tanzania Makamba toka achaguliwe Wizara ya Nishati, Rukwa hatuna umeme

    Jamaa kaja na gundu ile mbaya Toka nianze kuishi Rukwa mwaka 2019 umeme haujawahi kukatika kwa siku mara kumi au kupotea kabisa kwa masaa zaidi ya 24. Ila Toka Makamba awe Waziri wa nishati umeme mkoa wa Rukwa hakuna kabisa na maeneo mengine unakatika mpaka mara 10 kwa siku. Inawezekana...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Mama samia Rais wetu mpendwa jaribu kuangali bei za vitu Arusha

    Kwa sasa anaye jua hizi bei na uhaba wa baadhi ya bidhaa atuambie tunaelekea wapi gesi Arusha ni pasua kichwa mtungi mdogo 25000, cement haipo na ukipata ni 18000, chumvi imepanda, mafuta ya kula lita 5 ni 30k, petrol na dieasel uko hatusemi, nondo nazo zimepanda bati ndio kasheshe kabisa...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
Back
Top Bottom