hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

    Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile. Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni...
  3. JamiiForums Tanzania JamiiForums: Unaweza kuwa VERIFIED, fuata hatua hizi

    Wakuu, Kumekuwa na maombi kadha wa kadha ya watu kutaka kuwa verified. Tumeona vema tuweke urahisi wa mtu kuomba kuwa verified badala ya utaratibu wa awali. Kuwa verified kwako ni kwa hiari yako. Unaweza kusoma Sera yetu ya Faragha kama una concerns zozote > Privacy policy ambayo ina ufafanuzi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Msaada, awamu za ujenzi

    Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu. Naomba kufahamishwa kama kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Wasiowapeleka watoto shule wachukuliwe hatua

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Mwanaidi Ali Khamis ameagiza kuchukuliwa hatua kwa wazazi wanaowakosesha watoto haki ya msingi ya kuendelezwa kwa kupata elimu. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Wilayani Mbinga mkoani Ruvuma wakati akishiriki zoezi la ujenzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na rafiki mwiz/mdokozi na ulichukua hatua gani ulivyomgundua?

    Nyumba tunayoishi tupo wawili ,mimi na mshikaj wangu wote mabachelor...ni nyumba ya vyumba vitatu ,sebule, jiko na choo...chumba kimoja tunakitumia kama stoo ... Sasa yy ni mpenz wa PlayStation ila mimi hapana sanasana ni movies na mpira ..kutokana na kuwa ni mtu wa hayo magemu kuna washikaj...
  7. JamiiForums Tanzania Mapendekezo: Serikali irekebishe au itunge sheria mpya kabisa ya ugaidi au Terrorism Act na itoe miongozo kwa raia kuchukua tahadhari

    Kesi za ugaidi au kumtuhumu mtu kwa kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi ikiwemo kuua viongozi ni jambo kubwa sana. Hata ile kuwatuhumu watu fulani katika jamii kuwa wanapanga kutekeleza vitendo vya kigaidi na pia kuua raia wengine pia ni jambo kubwa. Katika matukio makubwa ya kuleta...
  8. JamiiForums Tanzania Arusha: Watumishi waliofanya igizo kwenye chanjo ya Corona wasimamishwa kazi

    Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua za kuchukua kumsaidia mtu aliyeanza kupoteza uwezo wa kusikia na kupata ukiziwi:

    Mtu anapogundua kuwa amepata tatizo la kusikia anashauriwa mara moja kwenda kituo cha afya kilichoko karibu na kuomba kuonana na mtaalam wa masikio Ili ampime uwezo wake wa kusikia. Matumizi ya Mashine ya masikio: Mtu anapogundulika ameanza kupata ukiziwi, atapewa msaada wa kitaalam kuendana...
  10. L

    JamiiForums Tanzania China yachukua hatua mpya kuchochea uwekezaji wa kigeni

    Na Ronald Mutie Wawekezaji wa kigeni wanaweza kunufaika na fursa mpya za kuingia kwenye soko la China, baada ya serikali kuchukua hatua maalum za kupunguza masharti hasi-maarufu kama orodha hasi. Hatua hizo mpya zinalenga kuimarisha biashara kati ya China na nchi mbalimbali na zilianzishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ushauri: CHADEMA watoe tamko na kuchukua hatua hii

    Habari zenu ndugu zangu. Mara baada ya kusikia tangazo la kuhamasisha maandamano kutoka kwa katibu mkuu wa Chadema, nilikuwa nashauri viongozi wa CHADEMA wafanye mambo haya hapo chini ili kuonesha umma wa watanzania na dunia kwa ujumla kwa wapo serious na kile wanachokisema. Lakini pia hii...
  12. JamiiForums Tanzania Kamati Kuu CCM: Hatua zichukuliwe kwa wale wote wanaokiuka mienendo, taratibu na kanuni za maadili na uongozi kwa mujibu wa katiba ya Chama

    Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imekutana katika kikao maalumu Alhamisi 29 Julai, 2021 Ikulu Jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine Kamati Kuu imempongeza Rais...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  14. JamiiForums Tanzania BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Hatua za msingi na wajibu katika jamii na Serikali yake ili kujenga taifa endelevu

    Sadoth H. Balilonda ( Mjasiliamali ) sadothhenry250@gmail.com +255756536474/+255676436474 Makala hii inatoa muamko ambao unalenga kuchochea mabadiliko katika nyanja mbalimbali za uchumi kupitia biashara, kilimo, sayansi na teknolojia, afya, maendeleo ya jamii na uajibikaji kwa ujumla. Lengo...
  16. JamiiForums Tanzania ZINDUKA: Hatua za kuchukua Wakala na mteja ili kukabiliana na Utapeli mpya

    Ni siku nyingine tena nakuja kivingine, Natumai mko powa wasomaji. Leo nataka kuwapa mbinu za kukabiliana na matapeli sababu hawaishi na kila siku wana mbinu mpya. Kwa sasa mawakala ndio wanaongoza kwa kutapeliwa kupitia wateja wao kivipi? Twende pamoja kwenye makala hii. Kwanza kabisa kuna...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ikiendelea kutegemea wafadhili hatutapiga hatua

    Huu ni ukweli kulingana na uzoefu wangu. Nchi wahisani wamekuwa na masharti magumu mno. Mengi ni kuhakikisha tunabaki tulivyo miaka nenda rudi. Serikali ichukue jukumu la kuendeleza uchumi wetu kulingana na rasilimali tulizonazo. Hii ya kujivunia kupendwa na wazungu ama kutaka kuonekana uko...
  18. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ifike hatua wanasiasa wetu wabadilike

    Katika jambo linalotafakarisha sana ni kitendo cha wananchi kuburuzwa na wanasiasa kwa namna wanayotaka. Wanasiasa huwaona wananchi kama watu wasiojitambua wala kujielewa hivyo wanaamini wanaweza kuwaambia chochote na kuwafanyia chochote na wakakubali. Ni jambo la kawaida sana kwa mwanasiasa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za kuanzisha biashara

    🏃‍♂️ HATUA YA 2 YA BIASHARA ✍🏿 karibu msomaji baada ya kuangalia mbiniza kukufanya wewe uwe na wazo zuri la kibiashara naimani mpka sasa una uwezo wa kuwa na wazo zuri la kibiashara. 🔽 Hatua ya pili ni kitafuta ujuzi wa biashara uliyo ichagua, kujifunza ni muhimu sana kuliko hata mtaji, make...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Hatua za uthubutu

    👨‍💻 ( POWER OF SETTING SPECIFIC GOAL) Bado tumejikta katika mada yetu ya hatua za mafanikio kipengele cha KUJIWEKEA MALENGO MAALUM. Swali : Hivi kuna mahusiano gani kati ya malengo na mafanikio? ✍🏿 Ngoja nianze na mfano: Ujue binadamu anapo anza safari ya kitafuta maisha huwa hana tofauti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…