hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania itapiga hatua kubwa ya maendeleo pale wakoloni watakaporudi upya

    Inchi za afrika, ikiwemo Tanzania haitakaa ipige hatua kama watu wengi wanavyotarajia! Tutasubiri sana! Ebu fikiria kwa haya maendeleo machache tumeyafikia baada ya miaka 60 ya Uhuru! Je ikitokea vita si ndo itakuwa kiama! Huko Ulaya watu hupigana vita na kuharibu kila kitu, lakini ndani ya...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Muswada wa Sheria ya Ulinzi wa Data Binafsi upo katika hatua za mwisho

    Waziri wa Habari, Nape Nnauye, leo Jumatatu, amesema muswada wa Sheria ya Ulinzi Binafsi, uko katika hatua za mwisho “hii ni sheria muhimu sababu vinginevyo uwekezaji utakuwa mgumu. Sio kwa sababu kulikuwa na kurekodi rekodi watu, hapana lakini ni kwa sababu ya kutunza faragha.” Nape ametoa...
  3. JamiiForums Tanzania Hatua 5 za kuanzisha biashara ya mikopo ya ukarabati wa majengo ya kupangisha mwaka 2022

    Mikopo ya ukarabati wa nyumba ni moja ya njia za kutengeneza fedha kupitia uwekezaji wa nyumba za kupangisha unaoweza kujenga utajiri mkubwa. Katika kila halmashauri kuna nyumba za kupangisha. Nyumba zinaweza kuwa ni nyumba za makazi, nyumba za matumizi mseto (mixed-use properties) na nyumba za...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapiga hatua muhimu kubadilisha jamii licha ya vikwazo

    Na Serah Nyakaru Juhudi za wanawake kuleta mabadiliko duniani sasa zinaonekana katika kila pembe ya dunia. Nchi zilizostawi na zinazostawi kote duniani zina miradi ambayo inaendeshwa ama ilianzishwa na wanawake tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo mfumo dume uliwatenga wanawake. Hivi sasa...
  5. JamiiForums Tanzania VIDEO: Watanzania tufanye yote lakini tusifike hatua ya kupuuza familia na kuishi maisha ya kipweke kama haya yanayotokea Japan

  6. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mkuu wa Mkoa asema walimu wanaodai malipo kwa wanafunzi wachukuliwe hatua

    Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Sophia Mjema ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria walimu watakaobainika kudai malipo kwa wanafunzi akisema elimu ni bure. Amesema hayo wakati akifungua kikao cha Wadau wa elimu Mkoa wa Shinyanga, leo Alhamisi Machi 3, 2022 chenye lengo la kujadili maendeleo ya elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Picha ya kwanza juu ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Donetsk bwana Denis Pushilin, Na picha ya chini ni kiongozi wa Jamhuri ya Watu wa Luhansk bwana Leonid Pasechnik, Jamhuri hizo ni majimbo yaliyojitenga toka Ukraine. Naomba nianze utangulize wa makala yangu kwakusema, Dunia ili iwe salama...
  8. JamiiForums Tanzania HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

    Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu. Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni. Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Msinililie mimi bali jililieni ninyi nafsi zenu na watoto wenu

    Leo nakuja na aina nyingine ya mawazo kwa dhamira njema ya nchi yangu na taifa, hii siyo kwa ajili ya maslahi ya mtu mmoja mmoja ila kwa maslahi ya nchi Hivi toka uhuru hakujawahi kutokea mjumbe, balozi wa nyumba kumi, mwenyekiti wa mtaa au mjumbe wa kamati ya ya ulinzi na usalama wa mtaa...
  10. JamiiForums Tanzania NATO wamefikwa na Nini? Mbona waliweza Kuwait na wakaweza Kosovo,wanashindwa Nini Ukraine?

    Hapo zamani,Sadam huseini wa Iraq alifanya kama anavyofanya Putin wa Urusi Leo kwa kuivamia nchi ya Kuwait. Marekani na washirika wake wakaivamia Iraq na kuipiga Hadi ikatoka Kuwait. Miaka kadhaa baadae Slobodan Milosevic wa Yugoslavia aliwapiga kishenzi waasi na raia waliokua wanataka...
  11. JamiiForums Tanzania Uwanja mkubwa wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma upo katika hatua gani?

    Moja kwa moja.. Miaka kadhaa imepita (toka 2016) tuliposikia kuhusu ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu Dodoma unatarajia kuchukua watazamaji 80,000 na miundombinu mingine. Ikiwa kama ushrikiano wa serikali ya JMT na Morocco huku serikali ya Morocco ikiahidi kutoa fungu kusaidia ujenzi...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Bashungwa "anatosha" pale TAMISEMI? Pamoja na Rais kutoridhishwa na mambo ya Mkoa wa Mara, bado hajachukua hatua

    Ningekuwa Mimi ndio Bashungwa, ningepiga kambi Mkoa wa Mara na kuusafisha, nikiwa na kikosi kazi maalum. Rais hajaridhishwa na yote yanayotokea Mkoa wa Mara, na hatusikii Waziri akitema cheche, amebaki Ally Happy tu alifanya ziara, na kwenye ziara bado anasema ataandika barua sijui TAMISEMI...
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Nchi hii acheni kudekeza Wamasai. Chukueni hatua kuwaondoa kiburi

    Wamasai wamedekezwa kwa miaka mingi kwa kisingizio cha kuwabadilisha; wapende shule, wapunguze mifugo, sijui bhla! bhla gani. Wamekuwa wasumbufu wanaojidai kutojua sheria za nchi kwa kisingizio eti ndivyo walivyo. Hawa wanajifanya na wametumia mwanya huo kundekeza ukabila na kujifanya wao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kilio cha Tigray: Jamii ya Kimataifa chukueni hatua

    Kumekuwa na kilio cha muda mrefu cha kuzorota kwa hali ya kibinadamu huko Tigray, Kaskazini mwa Ethiopia. Hali ya vita inasemekana kusababisha vifo, njaa na hata miundombinu msingi kama umeme, barabara na majengo. Kwa hali inayoripotiwa na viongozi wa Tigray, Jamii ya Kimataifa haijachukua...
  15. JamiiForums Tanzania Zifahamu hatua halisi za kutoa gari kwenye Meli na bandarini

    Katika mfululizo wa makala za bandari, leo tunakuletea utaratibu unaotumika kuhudumia shehena ya magari hatua kwa hatua katika bandari za TPA, kuanzia meli inapoingia bandarini, gari linavyoteremshwa kutoka melini na linavyopokewa bandarini, gari linavyotoka bandarini hadi mteja kukabidhiwa gari...
  16. JamiiForums Tanzania Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  17. JamiiForums Tanzania Maendeleo ya afya ya Profesa Jay

    Baada ya ukimya wa siku kadhaaa, taarifa kutoka kwa watu wa karibu na msanii wa Bongo Fleva, Joseph Haule ‘Profesa Jay’ ni kuwa anaendelea vizuri kiafya tofauti na ilivyokuwa wiki iliyopita. Hakuna mwanafamilia ambaye amejitokeza kuweka hadharani zaidi ya taarifa za awali ambazo zilieza Jay...
  18. JamiiForums Tanzania Gari yako ikifikia hatua hii kauze tu kwawanaokata magari

    Kinyume cha hapo hakuna rangi utaacha kuona. Hizi ndio zile Mercedes Benz zinauzwa 2m unahisi km umeangukia dodo. 😂😂😂
  19. JamiiForums Tanzania Ngorongoro hali mbaya: Maulid Kitenge ataka hatua za dharura zichukuliwe kuwanusuru Wamasai

    Kituo cha Wanahabari watetezi wa Rasilimali na taarifa (MECIRA) kimeitaka serikali kuchukua hatua madhubuti za haraka na dharura ili kunusuru maisha ya wananchi jamii ya kimasai wanaoishi katika tarafa ya Ngorongoro iliyopo ndani ya hifadhi ya Ngorongoro sambamba na kunusuru mazingira na...
  20. JamiiForums Tanzania Ingekuwa mama yako ndio anafanyiwa hivi ungechukua hatua gani?

    ona hapa jamani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…