HESLB loan refund: Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi japokuwa nilikamilisha hatua zote

Msingida

JF-Expert Member
Dec 1, 2010
9,729
10,811
Tunaishukuru Serikali kuondoa adhabu kwenye deni la bodi ya mikopo elimu ya juu.

Kuna waliorejesha na kupitiliza, wanahitaji kurejeshewa kiasi kilichozidi baada ya kulipa deni.

Ni zaidi ya miezi sita sasa sijaona nikirejeshewa kiasi kilichozidi, japo nilikamilisha hatua zote za "loan refund"

Naomba ufanunuzi wahusika, JF hamkosekani.
 
Subira yavuta kheri, system inajua kuchukua tu, haijui kurejesha..
 
Back
Top Bottom