hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa Apongeza Hatua za Ufutaji wa Leseni na Maombi ya Leseni Yasiyo na Sifa

    WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA -Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari -Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni -Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
  2. JamiiForums Tanzania Ratiba ya Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024

    Hatua ya 16 Bora UEFA Euro 2024 Juni 29, 2024 Switzerland Vs Italia (1:00 Usiku) Germany Vs Denmark (4:00 Usiku) Juni 30, 2024 England Vs Slovakia (1:00 Usiku) Uhispania Vs Georgia (4:00 Usiku) Julai 1, 2024 Ufaransa Vs Belgium (1:00 Usiku) Ureno Vs Slovenia (4:00 Usiku) Julai 2...
  3. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Dunia inapoeleka na matumizi ya mitandao Tanzania ichukue hatua ni muda sasa kuwa na tume ya kudhibiti uhalifu mitandaoni

    Matumizi ya mitandao ya kijamii sasa yanaongezeka kwa kasi Duniani na kufanya kila mtu kuwa rahisi kuwasilina na kujua vitu vinavyoendelea Duniani. Takwimu zinaonesha kuwa watu bilioni 4.7 kote ulimwenguni wanatumia mitandao ya kijamii ambapo ni sawa na asilimia 59 ya watumiaji. Kwa mujibu wa...
  4. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali ichukue hatua haraka, miili inaokotwa mara kwa mara Pori la Vijibweni-Kigamboni, pia kuna matukio ya ubakaji

    Sisi Wananchi wa Kata ya vijibweni, Mtaa ya Kibene na nyingine zilizopo jirani na maeneo hayo (Dar es Salaam), kumekuwepo na matukio ya kuogofya na yanayotokea mfululizo ikiwemo kuokotwa kwa miili ya watu. Siku za hivi karibuni miili zaidi ya mitatu imekutwa kwenye eneo hilo kwa nyakati tofauti...
  5. JamiiForums Tanzania “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge." Sehemu ya nukuu ya Professor Assad

    “Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG Wakati...
  6. JamiiForums Tanzania SoC04 Hatua gani zichukuliwe kwa ubadhirifu unaobainishwa kwenye ripoti ya CAG ili kuchochea uwajibikaji?

    Nini maana ya UBADHIRIFU? Ubadhirifu ni hali ya kukosa uwezo wa kujizuia au kujidhibiti, katika matumizi ya Fedha au Rasilimali mbalimbali, na hii hutokea kwa wale waliopewa mamlaka za kuongoza Serikali ama Taasisi mbalimbali katika jamii zetu. Je, nini kifanyike ili kuchochea Uwajibikaji dhidi...
  7. JamiiForums Tanzania CHADEMA msiiiweke Tanzania majaribuni kwa hili la CHOPA isiyo na leseni; Mamlaka chukueni hatua

    https://x.com/i/status/1804579043171299343
  8. JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  9. JamiiForums Tanzania Ili TAIFA letu lipige hatua kimaendeleo, tunahitaji ku-focus kwenye mambo machache na kuyapa kipaumbele zaidi.

    Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua. Kwenye principle ya uchaguaji wa jambo flani katika mengi, maana yake umekubali kuyakosa hayo mengine. Kumbuka kuwa haimanishi hayo mengine huyahitaji ila imekubidi kuchagua jambo moja muhimu zaidi kwa wakati huo. Ukiangalia kwa umakini, utagundua...
  10. JamiiForums Tanzania Tuache Unafiki: Bashe alichukua hatua sahihi kumaliza tatizo la sukari. Hongera Dr. Tulia kwa kumlinda na kulinda maslahi ya nchi

    Kwa miaka nenda rudi genge la wazalishaji wa sukari wamekuwa wakilichezea soko letu ili kupiga super profit. Wanatengeneza uhaba wa sukari, wanaacha ipande bei, kisha wanapata vibali vya kuagiza nje na kuuza kwa bei ya juu. Tena wakati mwingine wanabadili vifungashio ili ionekane imezalishwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ujerumani yaifunga Hungary 2-0 na kufuzu hatua ya 16 bora

    Mabao ya Jamal Musiala dakika ya 22 na Ilkay Gundogan dakika ya 67 yametosha kuipa alama 3 Ujerumani mbele ya Hungary kwa mabao 2-0. Ujerumani imefikisha alama 6 baada ya michezo miwili na imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya 16 bora.
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Kuelekea Taifa Bora: Hatua za Kuokoa Maadili kwa Vijana wa Tanzania

    Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ya JMT inatakiwa kuchukuwa hatua madhubuti katka kusimamia rasilimali za taifa hasa kwa kuwekeza kwenye rasilimali watu ambao ndio msingi

    Serikali ya JMT ili kufikia mabadiliko yatakayoleta maendeleo wananchi waliyo na kiu nayo serikali inatakiwa kuwekeza sana kwenye rasilimali watu kuendana na mabadiliko yenye mapinduzi ya tekinolojia katika kutelekeza miradi mbalimbali na kuchagiza ubunifu wa ndani uliosambamba na matakwa ya...
  14. JamiiForums Tanzania Hatua Tano (05) Za Kupata Pesa ya kutatua Dharura za Maisha

    Rafiki yangu mpendwa, Dharura huwa zinatokea kwenye maisha yetu na pale ambapo mtu anakuwa hajajipanga kwa dharura, huwa zinamrudisha nyuma sana. Watu wengi wamenasa kwenye umasikini kwa sababu ya dharura mbalimbali wanazokutana nazo na kuwa hawajajipanga. Kwenye mipango yako ya kujenga...
  15. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kwa Miaka 5-25 Ijayo - Katika Sekta ya Elimu

    Katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo, Tanzania inahitaji kuchukua hatua thabiti na bunifu ili kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu. Miongoni mwa sekta muhimu zinazohitaji maboresho makubwa ni elimu . Kwa kuzingatia umuhimu wa sekta hii, ni muhimu kuunda mikakati inayohakikisha...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali Kuwachukulia Hatua Kali Vishoka Wanaoshikilia Maeneo Yenye Malighafi za Ujenzi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua kali wale wote watakaobainika kujihusisha na mchezo mchafu wa kushikilia maeneo yenye malighafi za ujenzi. Bashungwa ameyasema hayo wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka 2024/25, Bungeni...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC04 Upanuzi wa Mfumo wa Kutunza Taarifa za Wagonjwa ni Hatua Muhimu katika Mapambano Dhidi ya Kansa

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imekabiliwa na changamoto kubwa katika sekta ya afya, ikiwa ni pamoja na upatikanaji duni wa huduma za matibabu na usimamizi mdogo wa taarifa za afya za wagonjwa. Mojawapo ya matatizo makubwa yanayokabiliwa na jamii ni kutopata matibabu sahihi kwa magonjwa...
  18. JamiiForums Tanzania MUFTI MKUU WA OMAN: Tunaipongeza Serikali ya Tanzania kwa hatua nzuri iliyochukua ya kupiga marufuku USHOGA

    Allah atuongoze, hakika ushoga ni udhalili wa kupindukia.
  19. JamiiForums Tanzania Hatua Za Kujijengea Uhuru Wa Kifedha

    Rafiki yangu mpendwa, Watu wengi wamekuwa wanasumbuka na fedha kwa maisha yao yote. Tangu wanaingia kwenye umri wa kufanya kazi, wanafanya kazi kila siku na kwa maisha yao yote. Lakini kwa bahati mbaya sana, bado wanakuwa hawafikii hatua ya kuweza kuishi aina ya maisha wanayokuwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Serikali ichukue hatua madhubuti kudhibiti utengenezaji na usambazaji wa pesa bandia

    Kumekuwa na utiriri wa pesa nyingi za bandia mtaani noti pamoja na sarafu za mia tano serikali inatakiwa kufanya yafuatayo ili kuondokana hali hii I) KUELIMISHA UMMA Uhamasishaji unatakiwa kufanyika ili kuwaelimisha wananchi jinsi ya kutambua pesa halisi na pesa bandia hii ni pamoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…