Ukiwa kwenye Daladala ukaona Mwanafunzi ananyanyaswa unachukua hatua au unakaa kimya tu?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
Kuna mambo ya ajabu sana wanafunzi wanafanyiwa hasa kwenye jiji la Dar. Makondakta na Madereva wananyanyasa sana Watoto mara wakatae kuwacha Chenji, mara wakatae kuwapakia kabisa, wengine wanazua wanafunzi kukaa kwenye siti hata kama gari haijajaa.

Sasa ndugu mzazi/mlezi wewe unaposhuhudia matukio hayo huwa unachukua hatua gani? au unashangaa tu na kucheka?

Nadhani kabla ya kulalamikia Mamlaka zichukue hatua, ni bora abiria wengine tuwe tunachukua hatua kwa kuzuia unyanyasaji huo.
 
huwa namlipia nauli tena kwene vibajaji vya majichumvi external wanaowaneaga sana asubuhi
 
Back
Top Bottom