Iran imepiga hatua kubwa kwa zana za kivita

profesawaaganojipya

JF-Expert Member
Apr 21, 2015
1,485
3,133
Taifa la Iran limepiga hatua kubwa kwa ugunduzi na utengenezaji zana vita.

Katika maonyesho ya zana vita, yanayoendelea Qatar,Iran imeonyesha Drone yake,inayoweza kubeba mabomu 13,na kutembea umbali wa km 2000,na kuruka futi 35000 toka usawa wa bahari.

Jambo hili limemuuzi sana USA na kuilaumu Qatary kwa kurusu Iran kuonyesha zana vita.

Mataifa mengi yame vutiwa na drone, GAZA, kwa uwezo wake.

Screenshot_2024-03-25-19-45-02-25.jpg
 
View attachment 2944506
Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.
Israel wakati Warabu wanawashambulia na Ndege za Mig 21 toka Urusi. Waliunda kikosi kazi ....japo walipoteza uhai wa mashushushu wao na pesa... walifanikiwa kuiba Ndege moja toka Iraq. Kilichofuata baada ya hapo Warabu awataki kukumbuka yaliyowakuta.
 
Attachments

  • RBR 10 Counter Drone Technologies Ebook-May-22-2023-12-26-14-0475-PM.pdf
    5.4 MB · Views: 2
Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.
Israel wakati Warabu wanawashambulia na Ndege za Mig 21 toka Urusi. Waliunda kikosi kazi ....japo walipoteza uhai wa mashushushu wao na pesa... walifanikiwa kuiba Ndege moja toka Iraq. Kilichofuata baada ya hapo Warabu awataki kukumbuka yaliyowakuta.
unayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,
Lakini,, iron dome ,,ya israel imethibitisha ubora wake,na ,,S,, series ya Russia iko vizuri.
 
Iran idhibitiwe kabla haijatengeneza sihala za akitomiki Serikali yoyote ya Kidini ni hatari kuwa na Silaha hizo kwasababu inaweza kushikwa na Extremists ikawa ni Balaa..
Pumbavu wewe

Na mwakani wajukuu wa ayatollah tunazindua Bomu la Atomic Urusi wametupa ahadi za kutransfere Tech yao
 
Hujajibu hoja yangu ulichofanya ni ushabiki ushabiki tu.
Unataka nani atuzuie ndg?

Tupo kwenye hatua za mwisho kumiliki silaha hiyo kwa msaada wa wataalam kutoka Urusi

Sisi tunawauzia Drone za Bei kitonga, missile za Bei ya nyanya amchakaze Shoga Zilezky
 
unayoongea ni kweli kiongozi,ila zana za kivita hazipimwi ubora kwenye makaratasi au magazeti,mpaka ziende field,yaani uwanja wa mapambano na zithibitishe,mfano mitambo ya kutungua makonmbora na ndege,ya USA ilifeli huko saudia,wahouthi wenye tecnologia duni,drone zao zilikwepa hiyo mitambo na kulipua mitambo ya mafuta,pia huko ukraine inalipuliwa kila leo,
Lakini,, iron dome ,,ya israel imethibitisha ubora wake,na ,,S,, series ya Russia iko vizuri.
Iron dome ina madhaifu mengi kuliko udhaniavyo.
Imeonesha udhaifu kwa kushindwa kuzuia guided missiles za Hizbollah hata moja na imeonesha kwa kuruhusu nusu ya maroketi dhaifu ya Hamas yaliyorushwa Israel.
Iron dome dhaifu sanaaaa.
 
Unataka nani atuzuie ndg?

Tupo kwenye hatua za mwisho kumiliki silaha hiyo kwa msaada wa wataalam kutoka Urusi

Sisi tunawauzia Drone za Bei kitonga, missile za Bei ya nyanya amchakaze Shoga Zilezky
Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.
 
Dunia hii ya ajabu sana. Kama vile ilivyo kuwa dawa ya Moto Mara nyingi ni Maji. Vile vile kila kitu kina mpinzani wake. Kuna zaidi ya aina 10 za Teknolojia za kuzuia Drones.... Israel na USA pamoja na Mchina wape Miezi 2-3 tu watakuwa wamegundua jinsi ya kuzidhibiti hizi Gaza Drones.Unaweza kuta muda huu tayari kuna kikosi kazi kimeshaundwa na wameshapewa deadline kuzifuatilia na waje na Mwarobaini wake.
Israel wakati Warabu wanawashambulia na Ndege za Mig 21 toka Urusi. Waliunda kikosi kazi ....japo walipoteza uhai wa mashushushu wao na pesa... walifanikiwa kuiba Ndege moja toka Iraq. Kilichofuata baada ya hapo Warabu awataki kukumbuka yaliyowakuta.
Hizi Gaza zinasemekana kuwa nzuri kuliko zile drone zilizopelekwa Russia kutumika dhidi ya Ukraine.
Iran namuamini huwa habahatishi.
Kama zile drone alizopeleka Russia zilikua game changer na US walikiri huku wakilalamika basi hata hizi Gaza zitakua ni balaa.
 
Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.
Kuna kundi Hatari Duniani zaidi ya magaidi wa Marekani??

Usiyoyajua Dunia sio salama kwasabababu ya hao Mabwana zenu Us

Iran ana Kila sababu ya kumiliki Hiyo Silaha kujilinda na wachokozi na Mashoga wa Tel aviv
 
Iran idhibitiwe kabla haijatengeneza sihala za akitomiki Serikali yoyote ya Kidini ni hatari kuwa na Silaha hizo kwasababu inaweza kushikwa na Extremists ikawa ni Balaa..
Huijui Iran wewe.
Iran ndio muokozi wa mataifa mengi pale Mashariki ya kati ambayo yameonewa na USA kisa USA anataka maslahi yake.
Iran ni muhimu ijilinde kwa inavyowindwa na Imperial nations.
Comment yako ipo kimihemko zaidi kuliko ki fact.
 
Mimi naongelea hatari ya Makundi yenye msimamo mkali yakihodhi Silaha za Atomiki yanaweza kutaka kurudisha Dola ya Safavids.
Hakuna mwenye akili hizo kwasasa.
Kama unazungumzia makundi kwa ku refer Hizbollah,Houthi na Hamas hayo ni makundi yaliyoibuka kutetea sovereignty ya mataifa yao.
Wanachotaka wao sovereignty tu na USA kutokuingilia maslahi yao baaas.
 
Huijui Iran wewe.
Iran ndio muokozi wa mataifa mengi pale Mashariki ya kati ambayo yameonewa na USA kisa USA anataka maslahi yake.
Iran katengeneza magrupu ya mengi ya kigaidi kuanzia Iraqi Syria hadi Yemen anatangaza Idiolojia yake ya Kishia.

Iko siku Dunia Italian na kusaga meno.
 
Back
Top Bottom