Mimi ni mwanaume mwenye umri wa late 30’s, mkristo kwa imani. ambaye kwa sasa nina mtoto mmoja, yupo shule na nakuwa nae kipindi cha likizo. Kiufupi naishi nae. Nafanya kazi katika sekta binafsi lakini pia nafanya na sekta ya umma kwa vipindi tofauti tofauti.
Kiufupi mimi si mrefu wala si mfupi...
Nchi za Mashariki ya Kati na Ghuba, pamoja na Marekani, zimeiomba Ukraine iwauzie vifaa vya kuzuia ndege zisizo na rubani ili kukabiliana na ndege zisizo na rubani za "Shahed" za Iran. Lakini Kiev bado haijakubaliana na mauzo hayo. lakini kwa nini?
"Mahitaji ya ndege zisizo na rubani...
Wakuu,
Mwimbaji mashuhuri wa Kongo, Koffi Olomide, ameamua rasmi maisha ya ndoa baada ya kuoa mpenzi wake wa muda mrefu, pia mwimbaji, Cindy Le Coeur. Wapendanao hao, ambao walikuwa wakipendana kwa takriban miaka ishirini, walioana , Februari 28
Sherehe hiyo iilihudhuriwa na marafiki na...
Huwa sielewi hawa makobaz akili zao huweka wapi, yaani mnajua vita vinakuja halafu mnaanika wakuu wenu kizembe, huyu kubwa la magaidi wa hiyo dini ameuawa kizembe sana....
Israeli and US strikes on Iran killed several senior Islamic Revolutionary Guard Corps commanders and Islamic Regime...
Floyd Mayweather mwaka huu mwezi wa nne anatarajia kupanda ulingoni kuzichapa na hasimu wake wa muda mrefu former heavyweight champion of the world Iron man Mike Tyson kwenye pambano la maonesho (exhibition fight). Ikumbukwe Floyd anacheza uzito wa light middleweight wakati mpinzani wake...
HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA.
Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
Mahakama ya kisheria ya Kimataifa inayohusika kusikiliza na kutoa hukumu kwa kesi za jinai ICC, kupitia Baraza la Wanasheria wake limeviambia vyombo vya habari kuwa litafika Tanzania kuanza uchunguzi na kukusanya ushahidi wa matukio yote muhimu yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29/10/2025.
Sijui Muisilamu mwenzangu uko inchi gani tuungani kufunga kwa matendo mema maana hii ni neehema hatujui kama mwaka kesho tutapata fursa ya kufunga kiafya na kiuzima
Kiongozi wa upinzani nchini Guinea-Bissau, Domingos Simoes Pereira, ameachiwa huru kutoka gerezani baada ya kukaa mahabusu kwa miezi kadhaa.
Alikuwa mmoja wa wanasiasa waandamizi waliokamatwa na jeshi baada ya kuchukua madaraka mwezi Novemba, kwa mapinduzi yaliyomwondoa madarakani Rais Umaro...
Kwa upande wa filamu bora zaidi kuwahi kutokea hapa Tanzania,basi kwenye hiyo listi Shumileta haiwezi kukosa hata iweje.
Stori ya filamu inasisimua sana na iliishia sehemu ya pili, na baada ya mashabiki kuomba muendelezo wake hatimaye gwiji Mussa Banzi anachia rasmi sehemu ya 3 ya filamu hii na...
Rasmi leo Disemba 6 adhabu ya kufungiwa kwa jukwaa letu pendwa la JamiiForums imemalizika
JF Ilipata ban tarehe 6 September 2025 kwa maelezo ya kukiuka Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta kuhusu maudhui mtandaoni
Soma Pia: Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) yatangaza kuifungia...
Baada ya kuona hakuna njia za kujipenyeza ili mkafanye uhalifu kwa kisingizio cha maandamano waandamanaji na wao wamekubali kutii mamlaka kwa kukaa majumbani.
Serikali ya Uholanzi imesitisha uamuzi wake wa kuingilia kampuni ya kutengeneza chipu, Nexperia, inayomilikiwa na China, baada ya mazungumzo kati ya pande hizo mbili.
Mnamo Septemba, serikali ya Uholanzi ilisitisha kampuni hiyo kutokana na wasiwasi kuhusu usalama wa upatikanaji wa chipu barani...
Siku chache zilizopita niliandika thread kuhusu hizi kamata kamata za watu kisha kubambikiwa kesi ya uhaini,
Rais Samia atakuja kutoa tamko hao watu waachiwe na malengo makuu ni mawili 1) Kumjenga Samuya Kisiasa 2)Kuwapumbaza wadanganyika.
Hatimaye yametimia leo.
Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro
Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi
Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea.
Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
Lilikuwa ni suala la muda tu. Hatimaye imetiki. Pepsi imemvua ubalozi diamond , hivyo diamond ameondoa utambulisho rasmi wa yeye kama balozi wa pepsi Tanzania.
Sasa hapa inabidi nguvu nyingine itumike kuwashawishi serengeti nao wamtose ubalozi
Pia jambo lingine Diamond amefuta picha ya...
Wananchi walipanga kuvamia Ofisi na Studio za Wasafi maeneo ya Mbezi Beach, lakini walishindw sababu ya Ulinzi ambao Uliwekwa pale.
Wengi waliishia kanisa la Katoliki na Maeneo ya Shoppers...
Ndo maana Diamond hakiweza kusema chochote kuhusu Maandamano.. Alishindwa awe uoande gani. Upande wa...
Rais Donald Trump (Mungu ambariki sana) amesema atatumia US military might kulinda Christians wanaouliwa na muslim jihadists nchini Nigeria.
God Bless D.Trump ...
—————
Christianity is facing an existential threat in Nigeria. Thousands of Christians are being killed. Radical Islamists are...
Polisi wa Mafinga wameamliwa kutii amri ya raia kutoa watu wote walioshikiliwa kwasababu ya Maandamano watolewe na wamewatoa wote.
MADAI YA WAANDAMANAJI.
1. Uchaguzi ufutwe,
2. Tunataka Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi
3. Waliotekwa waachiliwe huru,
4. Kesi za mchongo zifutwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.