Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

Anonymous77

JF-Expert Member
May 29, 2022
588
1,510
Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
 
Inaonekana kwa asilimia 50% kwa wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatari kupasuka makende hasa pale anapokuwa anajaribu kujisaidia kwa kutumia vyoo vya kukaa kitendo ambacho kinamuweka hatarini kuyakalia hatimae yapasuke.

Vile vile vyoo vya kukaa ni changamoto kwa watu wanene pale wanapoenda haja kubwa kwani inaonyesha asilimia 50% ya watu wanene hushindwa kujisafisha vizuri pale wanapotumia vyoo vya kukaa wengine wanajikuta wanajipakaza kinyesi tu pale wanapjaribu kujisafisha wamekaa huku kwa upande mwingine wanajikuta wanajisafisha na kubaki na vinyesi bila wao kujijua.

Pia kwa upande wa usafi na usalama wa mtumiaji vyoo hivi husababisha bacteria ambao mara nyingi bacteria hawa huzalishwa na mabaki ya uchafu pale vyoo hivi vinapokosa matunzo mazuri hasa vikiwa vinatumiwa na watu wengi tofauti tofauti hata mke na mume n.k ndio maana mtindo huu wa vyoo haupaswi kuwekwa kwenye public toilet, ni chanzo magonjwa mengi kama U.T.I, FANGASI SEHEMU ZA SIRI, BAWASIRI, MIWASHO MAPAJANI NA SEHEMU ZA SIRI, PUMBU EROSION, na magonjwa mengine mengi.

Kwa kifupi tu ni kwamba vyoo hivi sio salama kiafya.
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
 
Boss
Hii ni study yako.
Ungetusaidia waliopasuka makende wako wapi na hao wanene wasioweza kujisafisha.
By the way siku hizi vinatoa maji unasafishwa moja kwa moja
Usibishe kitu hapo kwa wanene waulize tu utapewa jibu vile vile sijasema wamepasuka ila wako hatarini kupasuka na kama wapo waliopasuka sizani kama watasema vile vile huenda ukapata injury tu sio lazima upasuke maana Ile mipira ni migumu sana
 
Mtoa mada umelewa.Hujuwi vyo vya kuchuchimaa vinasabashi mishipa midogo kwenye ubongo kupasuka na mtu kudondoka chooni.Duniani kote Kuna vyoo vya kukaa.Ni Tz pekee ndiyo hatuna elimu kuhusu hatari ya vyoo vya kuchuchimaa.
Mkuu kama kupasuka mishipa mbona vyoo vya shimo walivyokuwa wanatumia wazee wetu miaka iyooo vp walipasuka makende au vp?
 
Back
Top Bottom