hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. U

    JamiiForums Tanzania Dawa za gym/steroids Kwa wasanii na mabaunsa zina hatari za ushoga

    Kwa kuanza kabisa naomba tutambue wasanii wa bongo fleva wanaotumia dawa za kuchochea misuli gym wanaziita steroids/poda ni pamoja na Diamond, harmonize, jux, calisa, ney wa mitego Hawa ni baadhi ya wasanii wanaotumia dawa za kukuza misuli, ukinywa dawa hizi gym unajazia misuli haraka kwakuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Israel: Muswada watinga bungeni ukisema kumtaja Yesu kuwa kosa la jinai. Waziri mkuu asema hawana mpango wa kuendelea nao

    Wajumbe wawili wa Bunge la Israel(Knesset) wametambulisha muswada ambao ukiidhinishwa itakuwa ni kinyume cha sheria kuwaambia watu habari za Yesu kwenye Taifa la Israel na hukumu itakuwa kifungo kwa kila atakaekiuka. Waandishi wa muswada huo, Moshe Gafni na Yaakov Asher ni kutoka jamii ya...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya watumishi ni hatari kwa uchumi na afya ya akili na mwili

    Kwa muda niliofanya kazi serikalini (TAMISEMI) nimeona shida hii kwa watumishi wenzangu. 1. Ni kweli mikopo ina msaada kwa watumishi walio wengi kwa sababu bila mkopo, hawa watumishi wa local government wangeendelea kutia aibu na kuonekana ni watu masikini sana, kumbuka 75% take home za sisi...
  4. JamiiForums Tanzania Marbug ni hatari kuliko Ebola. Serikali isiweke siasa

    Nilikua napitia kwenye mtandao kuona tofauti ya Marbug na Ebola, nikakutana na hii kitu hapa chini. Marburg hemorrhagic fever is a severe and highly fatal disease caused by a virus from the same family as the one that causes Ebola hemorrhagic fever. Both diseases are rare, but can cause...
  5. JamiiForums Tanzania Aina mpya ya Dawa hatari za Kulevya yaingia mtaani

    Vita dhidi ya dawa za kulevya inazidi kuwa mbichi. Hivi sasa watumiaji wa ulevi huo, wamekuja na mbinu nyingine ya kutumia dawa za kutibu binadamu kama mbadala wa dawa za kulevya. Mbinu hiyo ni matumizi ya dawa aina ya methamphetamine’ ambayo kwa sasa inatumika kwa kasi na kuanza kuwa tishio...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake hatari zaidi hapa Bongo

    Hatari na nusu. Ndugu zangu leo nawapatia majina ya wanawake hatari mmoja bada ya mwingine ili nanyi muweze kushuhudia jinsi wanavyotisha. Katika mtiririko ufuatao Kadiri navyo waorodhesha ndivyo ukali unazidi, yaan wa kwanza anakuwa mkali anayefwata mkali zaidi. Hivyo hivyo. Tunaanza sasa...
  7. JamiiForums Tanzania Hatari! Ndani ya CCM Ukweli ni Sumu, Inakuangamiza Msemaji

    Kama mtu mzito kama Dr Anthony Diallo ambaye alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa, Mbunge na waziri mwandamizi mstaafu na mmiliki wa vyombo vya habari chini ya Sahara media ambavyo ni kama ilikuwa ni mali ya CCM anaweza sema ukweli na chama kikamla kichwa wewe mwingine ni nani upone baada ya kusema...
  8. JamiiForums Tanzania Madaktari wa JamiiForums huu Ugonjwa Hatari na Mpya Mitandaoni unaitwaje?

    Unakuta kuna Member Mmoja Maarufu mno Mitandaoni mpaka Rais Samia anamjua na Kufurahishwa nae na Wengine baadhi ila anachukiwa na Members kadhaa lakini hao hao Members Wanaomchukia huyo Member maarufu kila mara na kila Saa tu Wanamfuatilia na Kumsoma huku Wengine hata wakiwa Wanamfolo vile vile...
  9. JamiiForums Tanzania Mfumo wa elimu wa nchi yetu si salama kwa kizazi cha kesho. Ni hatari mno. Hebu tazama haya

    Mzazi unaweza unaweza ukajitahidi ukamlea mtoto katika maadili mema...Ila uhuni na utaahira...Ataupata shuleni...Shuleni ni sehemu kuu ya kuharibu watoto kitabia na kimaadili... Mimi ninafanya shughuli ya kukaa watoto kabla ya kwenda mashuleni...Tunawatengeneza vizuri tu kitabia na...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Magufuli kilileta udumavu mkubwa wa kifikra ambao ni hatari kwa Taifa. Watanzania tubadilike

    Habari JF, Inasikitisha sana kwa sana kuona Watanzania tumegawanyika na huu mgawanyiko umekaa kishabiki kiasi kwamba hata wale waliokuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri huo uwezo haupo tena. Kwa sasa ni dhahiri tumegawanyika makundi matatu kama ifuatavyo: 1. Wafuasi wa Awamu ya Tano (JPM), hawa...
  11. JamiiForums Tanzania KWELI Madafu Sio Salama kwa watu wenye ugonjwa wa Figo

    Maji ya nazi (Madafu) ni kinywaji maarufu sana mtaani. Ni maji hanayopatikana kwenye nazi changa (Cocos nucifera) ambayo hubadilika kuwa tui baada ya kukomaa kwa nazi. Kumekuwepo na madai kuwa maji haya sio salama kwa watu wenye Ugonjwa wa figo. Kwa kuongezea, mdau wa JamiiForums amesema kuwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kunywa madafu kwa wingi ni hatari kwa uhai wako

    Habari ndugu zangu. Nimekuja kuwatisha tena. Maji ya nazi/madafu yana madini ya potasium kwa wingi sana. Matunda kama machungwa na ndizi yana potasium kwa wingi lakini hayagusi hata kidogo kwa madafu. Sasa basi. Potasium kazi yake kubwa ndani ya mwili ni kujihusisha na masuala ya umeme. Mishipa...
  13. JamiiForums Tanzania Mwaka wa hatari kwa startups za Bongo zilizopata funds kutoka kwa VCs wa nje

    Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni interest rate ya banki Marekani ilikuwa karibia 0% hii ilikuwa na effect mbili, kwanza kukopa ilikuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Mkuu wa NATO: Kuacha Urusi ishinde Ukraine itakuwa hatari kwa dunia nzima, nchi za magharibi hawatakubali kitokee

    Katibu mkuu wa NATO amesema kuicha Urusi iishinde Ukraine ni hatari si kwa Ukraine tu bali kwa dunia nzima kitu ambacho NATO/magharibi haitakubali hilo litokee kamwe. ================== A Russian win in Ukraine would be 'dangerous for the whole world', says NATO chief as he accuses Putin of an...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kikosi hatari cha majasusi na makomando watakaoiangusha Serikali ya Russia

    Dunia inaenda kwa kasi sana na leo nimeona nije na huu Uzi ambao huenda ukawa kama ktk nadharia ya kusadikika ila ndicho kitakachotokea. Mataifa ya Dunia ya kwanza wanaona Kuna kila dalili Mrusi asipodhibitiwa kitakachofuwata kitakuwa ni kibaya sana. Kwa kuona hili mataifa yenye nguvu duniani...
  16. JamiiForums Tanzania Ngano ni nafaka hatari sana

    Ngano ni nafaka hatari sana na watz wengi hatufahamu. Tofauti na nafaka zingine kama mahindi, ulezi, mtama na mchele, ngano ina aina fulani ya protin inayoitwa Gluten. Protin hii ndiyo hufanya ngano ikikandwa iwe kama banzoka wakati ukikanda unga wa mahindi hauwi namna ile. Sasa hii protin...
  17. JamiiForums Tanzania UCHAMBUZI: Kifaru cha Leopard 2 ni hatari kwa Urusi

    Kwa mujibu wa BBC Kwakweli ndio maana Urusi inapaswa kukubali tu yaishe kama Poland itapeleka Leopard 2 Uingereza itapeleka Chalenger Us ikapeleka Abram,T90 ya Urusi haitakuwa na kazi tena Souce: BBC News Swahili
  18. JamiiForums Tanzania Kufanya kazi ya Ualimu ni hatari sana kwa maisha yako

    Wanaosimamia maisha ya watu wameidharau Sana. Wanatarajia watoto watendewe nini Kwa kutekeleza watendaji wake, hasa walimu. Fikiria Walimu Wakuu wanapata posho kwa kazi anazozifanya mwalimu wa kawaida. Ni kama utumwa. Mratibu Elimu kata anapata posho ya kazi ipi wkat anayeteseka na Kaz ni...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Wenye Damu kundi A wana hatari ya kupata Kiharusi kuliko wenye kundi O

    Chapisho la Timu ya Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Maryland katika jarida la Neurology, limeonesha wenye Damu ya Kundi A wana uwezekano mkubwa wa kupata Kiharusi kabla ya umri wa miaka 60. Wenye Kundi O la Damu wameonekana kuwa na uwezekano mdogo au kuchelewa kupata Kiharusi cha mapema...
  20. JamiiForums Tanzania Wanawake wa Shinyanga hatari tupu, Kajala, mke wa Masanja na mke wa Haji Manara wote kwao Shinyanga

    Ukitaka kwenda kuoa Shinyanga nenda na adabu zote, usije jikuta unaambulia maumivu ya moyo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…