Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala bora, kukandamizwa kwa demokrasia na uhuru wa maoni.
Uamuzi huu ulitangazwa jana Mei 03, 2026...
Siku wakizeeka hawa wanaofanya siasa sahz ndipo Tanzania tutakuja kuwa na kizazi chenye siasa za malengo na kizalendo (functional politics)
Kitakuja kizazi ambacho hakitataka kijue hata historia ya Tanzania kitaanzisha siasa za kisasa ambazo zitajikita zaidi kwenye kulinda heshima ya nchi...
Wanabodi,
Angalizo la Nyuzi Ndefu
JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
Kuna Baba Mmoja jirani yangu hapa juzi, katoka kwao Mbulu kwenye kilimo basi katika maongezi yanayohusu kilimo huko alikotoka Kuna jambo kidogo lilinishangaza sana na kufanya siku yangu yote kuharibika.
Ni hivi huyu bwana mara ya mwisho kutoka hapa kwenda huko kwao kwenye kilimo Kwa maelezo...
Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo!
JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT?
Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
Ni jumapili ambayo imetulia sana, tulivuuu HASWA natafakari mengi nabaini Kuna yaliyojil October 29.2025 nakumbuka Rafiki yangu, master tendwa, nakumbuka shekhe majini mzee wa kupaka kidevu Ina.
GHAFLA naiona inveterview ya kikeke na hasha rose migiro katibu MKUU WA ccm, akisifia mauaji...
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Nilinunua kiwanja iwambi changanyikeni mwaka2016.
Nikajenga na nyumba ila miaka kumi inayo hata milion 15 pesa ya kununulia madafu Iringa nimeshindwa kuuza.
Iwambi mbeya hapana kwa kweli.
Ingekua Arusha ingekua milion 200
Mambo ya kuuziana matumaini ni suala ambalo limechosha watu huyu mtu hatoshi hawezi kwendana na kizazi cha sasa namshauri akasome public speaking Edition six ajue namna ya kuzungumza nini kwa wakati gani. Kiongozi mkuu wa nchi anasema police wafiche clips za rushwa kweli...
Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
Yaan unajiita Mchumi, mara msomi, alafu kwenye Mkutano Unasema TUKIO la Lissu lilitengenezwa??
Yaan wewe unaona Watanzania ni Mazwazwa ?
Au TU umeamua kuwatia Watanzania Hasira wachukie zaidi?.
Niku challenge? Kwakua Ni TUKIO la kutengenezwa kwa Lengo la kuchafua Serikali, Toka 2017 Hadi...
Ooh hakikisha unaoa mwanamke mwenye bikra,
Mara ooh ukikuta hana bikra, piga chini.
Kama ingekuwa hivyo wengi wenu msingekuwepo hapa duniani.
Mwanamke akiamua kukubadirikia atakubadirikia tu haijalishi ulimkuta sealed au open case kwa maana mindset ipo kichwni na sio ukeni
Acheni utoto.
Kulingana na imani za kidini, hasa kwa kurejelea Biblia Takatifu na Qur'ani Tukufu, jibu la msingi ni kwamba shetani anaweza kutumia uganga na uchawi kusababisha magonjwa au madhara, lakini hawezi kufanya hivyo kwa mamlaka yake mwenyewe—lazima kuwe na ruhusa au makadirio ya Mungu.
Katika vitabu...
Kwa asivyo na mambo mengi,
sidhani kama huyo muungwana alikua anafikiria au hata kuizuru Burundi au Uganda tu kwenye maisha yake yake yote humu duniani, sembuse Marekani?
For sure,
Marco Rubio umekurupuka Mzee baba kwa kupotoshwa na vibaraka wako.🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth.
Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli.
Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
Makanisa yanayohimiza elimu, maadili na maendeleo yamekuwa nguzo muhimu kwa jamii nyingi.
hapa kwetu ukifuatilia jamii zilizoendelea, basi nyuma yake kuna Roman Catholic, Lutheran, Moravian, n.k.
Lakini pale dini inapogeuzwa sehemu ya kulinda matapeli, kuhubiri ujinga au kuwanyonya wananchi...
cancer
elimu
gongo
hata
hatuna
haya
jamii
janga
kagame
kanisa
kipaumbele
kuanzisha
kubwa
kupitia
kuweka
maendeleo
makanisa
matapeli
mbele
mchungaji
nyingi
taifa