hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

    Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati vijana waliishi kuendana na rythm ya maisha hata kwa ugumu kuna namna waliitafuta humour ila sasa hivi vijana wamekuwa sadists kupindukia

    Kuna namna afya ya akili imekuwa corrupted. Na ukiona afya akili imekuwa corrupted kwa mkupuo mara nyinngi ni kutokana na quality mbovu ya maisha na matarajio yasio na tija. Vijana wamechoka kula ugali mkubwa na samaki wa picha. Kama uongo kuna mtu ataandika tu comment ya matusi out of...
  3. Life2

    JamiiForums Tanzania Tusiposema sisi kuhusu Damu za Watanganyika wenzetu hata Mawe yatasema tu

    Ni maajabu karne hii ya uwazi, karne ya ChatGPt, AI, Copilot..nk unataka kudanganya umma wa watu milioni 70 na ulimwengu mzima kwa Propaganda fake. Lengo la yote hayo ni kuwasafisha makatili wachache wenye mikono inayovuja #DAMU za watanganyika waliouliwa kikatili sana na wengine kuishia...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jaji Chande: Hata Marekani watu wanapotea

    Jaji chande ameyasema hayo leo, Aprili 28, 2025, wakati akizungumza kwenye mkutano wa tume ya uchunguzi na waandishi wa habari kuhusu matukio ya Vurugu za Oktoba 29, 2025 kabla na baada ya uchaguzi Mkuu.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Suala la Upoteaji linatukera hata sisi, hata Ulaya watu wanapotea

    Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Matukio Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Mhe. Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman, akizungumza na waandishi wa habari tarehe 28 Aprili 2026
  6. S

    JamiiForums Tanzania Eti mpaka leo kesi ya Lissu haijapangwa kusikilizwa! Hata mtoto wa darasa la kwanza atakuwa amedharau mahakama zetu

    Yaani wameshindwa kabisa kuficha udhaifu wao kiasi kwamba hata wale waliokuwa hawaamini kuwa hii kesi no ya mchongo, sasa watakuwa wameamini. Tundu Lissu anaingia katika kundi la watu maarufu wa kupigania haki za watu duniani huku wao wakiingia katika historia ya watawala waovu na...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Heri uishi na mke mchafu au mwenye kiburi?

    Na wengi wao huwezi kuwajua kabla ya ndoa, Drama inaanza baada ya ndoa
  8. M

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kuacha pombe ya nini wakati hata za malaria tu watu wanahangaika kuzipata.

    Eti wanahangaika kuleta dawa za kuacha kunywa pombe. Huu ni kupoteza fedha za walipa kodi. Dawa za malaria ni tatizo kubwa huko vijijini.👇
  9. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  10. PLOII

    JamiiForums Tanzania Nipo bado kwenye Ndoto; Kile kilichotokea 29 October, 2025 kina mwelekeo na Maandiko Matakatifu?Kwa Report ya Chande hata Lucifer kanyosha Mikono.

    Umofia Wadau. Nipo ndotoni ndugu zangu kiukweli, hivi watu wamekufa kiasi kile ila Viongozi hawajutii wala kusikitika wanachofanya ni kujipalilia waendelee "KULA" Labda wale wa Rohoni mnipe tafsiri sahihi ya hili bila kujali Imani ya Dini zenu:- 1. Kila mtu aitii Mamlaka iliyo kuu;kwa maana...
  11. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ina maana TEC walikosa hata katekista kuwawakilisha kwenye report ya jaji Chande.

    Du Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo. Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, Wajua Kanuni za Bunge Zina Makosa?. Spika wa Bunge ni Bonge la Dikiteta! Uamuzi Wake ni wa Mwisho, Final and Conclusive, Hata Kama Sio wa Haki

    Wanabodi, Huu ni uzi wa kuelimishana, Uzalendo wa kweli wa nchi yako, ni pale unapobaini kuna makosa mahali, unakosoa, na kutoa ushauri namna ya kurekebishasha makosa hayo. Kwa muda mrefu, sisi humu tumekuwa tukilalamikia hoja mbalimbali kuhusu uendeshaji wa Bunge letu, ukiwemo udikiteta wa ma...
  13. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Video: Hizi ndio show za kuhudhuria mwanaume hata ukitoa 100k nafsi haitakudai

    Siyo hizo za kupelekwa pelekwa kama watoto wa shule mara washa Taa,Tuimbe wote,Ruka ruka juu. Kushoto kulia unapelekwa tu kana kwamba wewe ndo dancer wake. Show hizi hapa unapenda minono sawa vimbaumbau sawa size ya kati sawa vile utakavyo.ukitoka hapo hudaiwi jehanamu na duniani.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini magari yanayoingia Tanzania hutumia mafuta mengi mizunguko ya mjini kiasi cha kuwaumiza wanunuzi, hadi kuyaita majini au kuyauza?

    Ukipitia page za wauzaji wa magari yaliyofika nchini au waagizaji huwa kuna kigezo muhimu cha makadirio ya matumizi ya mafuta, huwa kuna makadirio ya highway na makadirio ya mizunguko ya mjini (city driving), na haya makadirio ya mjini ndio yatayogusa post hii. ,Mfano Brevis cc 2490 city...
  15. PAYE

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha damu na aliyekuwa mpenzi wangu kinanitesa, sijui hata nifanyaje kujinasua na maagano

    Habari zenu Wakuu! Nina jambo ambalo linanitesa kwa muda sasa baada ya kupita kwenye mahusiano ya nyuma ambayo niliyaona kuwa ni kila kitu kwangu. Wakati ule tulikuwa vijana, damu inachemka, na tuliamini kuwa upendo wetu ulikuwa wa kipekee kuliko wa mtu mwingine yeyote hapa duniani. Katika...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Trump alazimisha mazungumzo na Iran

    Kwa mara ya kwanza tangu ktk historia Rais wa Marekani amekuwa akiongea kila dakika. Leo anazungumza hivi kesho hivi. Leo ameomba mazungumzo tena na Iran
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Rushwa hii, Nchi ya kitu kidogo hii, hata Hormuz ikifunguliwa mafuta yaka flow kawaida bei ya Mafuta hapa Tz haitashuka

    Mtakuja kuniambia. Time will tell! Nchi hii ya kijambazi, majizi , wala Rushwa hata Hormuz ikifunguliwa to 100 % functional to let tankers sail through, na bei ya dunia ikashukakuwa kama mwanzo, HAPA BEI YA MAFUTA HAITASHUKA. Akina Msoga and Co. Ltd, ndipo sasa wanakuwa trillionaires!
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Na hata wakija 'Maghettoni' kwetu ili 'tuwashughulikie' kisawasawa wahakikishe wamezinyoa pia, kwani huwa zinatukata 'Stimu' ya kuwapelekea Moto

    Na sijui kwanini Wanawake wengi wanaopenda Kufuga ni wale walio Warembo hasa ila wale 'Sura Ngumu' huwa hawafugi kabisa. Kunyoa nywele za sehemu za siri kabla ya Hedhi ni uamuzi wa mtu binafsi, lakini kuna faida kadhaa za kiafya na za usafi zinazoweza kuzingatiwa. Moja ya faida kuu ni...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Elibariki Kingu: Tunashindwa nini kujenga Maghala ya Mafuta ili tuwe na akiba kubwa tuuze hata nje ya nchi?

  20. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Hata aibu hawana hii serikali katili sana

    Baadhi ya Kodi zilizopo kwenye Lita moja ya Petrol. 1.Excise Duty (Kodi ya bidhaa maalum) 2.VAT (Value Added Tax – 16%) 3.Road Maintenance Levy (kodi ya matengenezo ya barabara) 4.Petroleum Development Levy 5.Railway Development Levy 6.Import Declaration Fee 7.Anti-Adulteration Levy Jumla 40%...
Back
Top Bottom