hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wadangaji hatari sana. Unakunywa bia ya 1500 yeye anaagiza St Anna bila hata aibu

    Yaani hayana hata aibu. Kisa tu umeliita mahala njoo ili upate kilaji alafu nikupige mashine. Linaaagiza wine wakati lina njaa na matatizo lukuki.
  2. JamiiForums Tanzania Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui

    Nawashangaa Sana wanaokwapua tablet maarufu kwa kimombo kishkwambi. Jamani sensa itatusaidia sote mnaiba za nini. Mkatumie bando mnalo? Kwa kweli ukija hata ukinishia tablet nakwepa. Begi langu nalinda asije mwizi akanichomekea mtu. Ukija na kishkwambi chako hata kwa 200 Mbili sinunui.
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu hata kwa mafanikio au matatizo yao binafsi huwapongeza au kuwalaumu viongozi?

    Nimesikia mara nyingi sana baadhi ya wananchi wakiipongeza serikali kwa wao kumiliki nyumba, gari, buashara, kuwa na kazi, elimu hata kama wamelipa ada. Nk Au wengine kuwalumu serikali kwa kukosa maisha bora! Je, ni sahihi kwa mtu kuipongeza au kuilaumi serikali kwa mafanikio/matatizo yake binafsi?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa Kujichanganya huku tu tujiandae hata Takwimu zao nazo Kutuchanganya pia

    Kamishina Mkuu wa Sensa Spika Mstaafu Anne Makinda.... "Sensa itamalizika tarehe 31 August, 2022" Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dk. Chuwa.... "Sensa itamalizika tarehe 29 August, 2022" Matangazo ya Media za Tanzania.... "Sensa itamalizika tarehe 30 August, 2022" Mheshimiwa Rais wa Tanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Rayvanny kama umegoma kumlipa Diamond Platnumz pesa yake basi mlipe hata Chege pesa zake, acha dhulma...!

    Rayvanny unadaiwa na WCB Wasafi lebo iliyokutoa na kukupa mtaji wa jina lako. Mpaka sasa unarukaruka tuuu unafikiri utaondoka na biashara ya watu bure bure. Kiufupi usipolipa utaendelea kuwa msanii wa WCB Wasafi. Achana na ilo mpaka leo hutaki kulipa pesa za Chege Chigunda alizowekeza kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa IGP: Ukitaka uwazi katika uwajibikaji wa Polisi ruhusu wawe wanarekodiwa na Raia hata ndani ya kituo cha polisi

    IGP Ukitamani uwajibikaji na uwazi kwa jeshi lako we tangaza kwa vyombo vya habari kuruhuri matumizi ta teknolojia yaan Raia waruhusiwe kurekodi matukio ya polisi akiwa katika kazi zake hata ndani ya kituo cha polisi Na iwe ni sheria na pia marufuku kumkataza raia kurekodi matukio hata ndani...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Iramba hatumtaki tena Mwigulu Nchemba

    Huyu bwana Dkt. Mwigulu amekuwa akija hapa bila majibu ya maana kwa manufaa ya Jimbo na Wilaya yetu ya Iramba. Huyu hatufai tena kwani kiu yake ni kufanya siasa za KiTaifa ili aje amtoe Mama Samia mwaka 2025. Tunafanya utafiti ni nani sasa atafaa kuiwakilisha Iramba bungeni kuanzia Mwaka 2025...
  8. JamiiForums Tanzania Watoto wa wapigiwa kura hata mahabusu wanalala VIP

    Hili tabaka la wapigiwa kura na wapiga kura linazidi kuonekana. Rafiki yangu siku nyingi aliniambia wapigiwa kura hata wakiugua hawatibiwi katika zahanati zetu zilizojaa paracetamol. Watoto wao wanasoma Feza na hata ikitokea watoto wao wakumbane na mkono wa sheria, polisi atalala kwenye ofisi...
  9. JamiiForums Tanzania Hata TTCL wamepandisha bei ya vifurushi

    Nimeshangazwa Sana na hizi Gharama za BANDO la internet kutoka kwenye kampuni ya wazawa (TTCL) ambao nilihisi wapo upande wa Wananchi lakini matokeo yake kifurushi Cha 1.5GB Kwa Tsh 2000/-bkwa Wiki kimekuwa Cha 950 MB Kwa Ile ile 2,000/- Ndugu yangu kunahaja yakuhamia SAFARI COM.
  10. I

    JamiiForums Tanzania SoC02 Hata kufeli ni kufaulu

    KUFELI ni kushindwa kukamilisha jambo kwa wakati. Husababishwa na hofu, kukosa uzoefu au kukosa kujiamini. Hakuna mafanikio bila maumivu, hata mbegu hulazimika kuiumiza ardhi kwa kuipasua ili itoke. Hivyo kijana unapofeli, badala ya kulalamika, kujiona huwezi hata kutafuta mtu wa kumlaumu au...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake wana haki ya kubaki na majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa

    Wanawake kubadili majina yao ya ukoo (surname) baada ya kuolewa na kufuata majina ya waume zao ina onyesha au kuashiria hali ya utegemezi wa mwanamke kwa waume zao, mwanamke kufuata jina la mume wake baada ya kuolewa kunaashiria kuwa yeye ni mali ya mwanaume (mume wake), na anakosa mamlaka ya...
  12. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, kuongeza sifuri kwa mgongo wa tozo ni kuendeleza mateso kwa wananchi

    Kuwabebesha wananchi tozo na kodi nyingi sio suluhisho lenye tija la kuiongezea nchi mapato, ni kuendelea kuwatesa. Mwigulu Nchemba anachojua ni kuongeza sifuri, hana ubunifu wowote ule. Kama akiendelea kufanya anayoyafanya sababu ndo mwisho wake wa kufikiri ulipofikia, atawatesa sana wananchi...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie Walimu wanaojitolea iwasaidie hata kwa chochote

    Kuna Walimu wanamiaka miwili wengine zaidi wanajitolea kwenye shule za umma, wamepewa mpaka vipindi kabisa na wanafanya kazi hawana tofauti na waajiriwa.
  14. JamiiForums Tanzania Kunani Bandari ya Dar es Salaam? Hakuna Meli hata moja

    Wakuu, nini kinaendelea Bandarini hapa Dar hakuna Meli, inayopakia wala kupakua. Gati zote ziko wazi!! Nini kinaendelea?
  15. JamiiForums Tanzania Mitindo ya Koffi Olomide siielewi hata kidogo

  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Tanzania hawajawahi kufanikiwa chochote maishani, hata tu ufaulu wa mitihani

    Tanzania haifati meritocracy, hivyo viongozi wengi kuanzia chini mpaka Juu hawajawahi achieve chochote maishani ukiachia labda kuoa na kuanzisha familia, hilo nalo unaweza kulijadili pia kama hata kwenye Familia wamefanikiwa. Ukingalia nchi nyingi utaona viongozi wanafika juu kwa merit, unaweza...
  17. JamiiForums Tanzania Bugati: Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi

    Tupo tayari kwa lolote Kutoka kwenu ikiwapendeza mtushushe hata madaraja kumi Ila hatupo tayari kwa maamuzi yenu ya kuikandamiza Yanga kila siku. Kuna kesi ngapi za Yanga zipo mezani kwao hadi leo hatujapata ushirikiano wowote Kutoka kwao.Tupo tayari ikimpendeza atupeleke kabisa Fifa. MY TAKE...
  18. JamiiForums Tanzania Hata kama ni Byuti, ndio mfungwe sekunde ya 30?

    Timu ina mdomo sana,jana imekomeshwa. Magoli yote ya aibu, sekunde ya 30 ikapigwa cha kuku chwiiiiiiiii. Kipindi cha pili ikanyunyizwa kona goli. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  19. JamiiForums Tanzania Tusidanganyane kwa Kiwango cha Vipers FC, Kiwango cha Wachezaji wa Uganda na Ubora wa Kocha Wao hata Simba SC nayo ingefungwa tu

    Kiutani GENTAMYCINE nawacheka mno Yanga SC na nimefurahi sana kwa Kufungwa Kwako ki 'Beauty Beauty' Goli ( Bao ) Mbili za Vipers FC ila tukiondoa Utani Wetu wa Simba na Yanga kwa ninavyowajua Waganda, walivyowekeza katika Soka na kuwa very Serious hata Simba SC yangu ingecheza nao Leo nayo (...
  20. JamiiForums Tanzania Nampenda sana lakini ananisaliti mara kwa mara

    Haya mapenzi yasikieni tu. Huyu mdada nmempenda mpaka basi. Kila mara namfumania live au nakuta msg za mapenzi kwenye simu jamaa wakimsifia kuwa ni mtamu. (hapa huwa najipongeza kwa kuchagua mtoto ambaye hata wenzangu wana kiri) Nikimfumania mara nyingi anakuwa mkali nami namwomba msamaha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…